polisi


 1. M

  Gari lilikuwa nyumbani siku 2, mfumo wa Trafiki Polisi unaonesha ilipigwa faini

  Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu. Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo...
 2. R

  Mapendekezo: Serikali ibadilishe madaraka ya mkuu wa mkoa na yasiingiliane kabisa na Jeshi la Polisi

  Habari wakuu. Nafikiri umefika muda wa Serikali yetu kuliangalia hili suala la wakuu wa Mikoa kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa, haya ni madaraka yanayoingiliana moja kwa moja na Jeshi la Polisi, na wote tunajua ya kuwa wateule hawa wengi wao hawana mafunzo ya kijeshi, hata kwenye...
 3. Kurzweil

  Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

  Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na...