1. Mlango wa mbele ni mkubwa
2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali
3. Sometimes nafikiria milango ya chuma, ile steel security door. Ina show nzuri sana, Lakini vipi kutu na...
Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!!
Magaidi wa...
Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
Meli tatu zimeshambuliwa na jeshi la wanamaji wa IRGCC ikiwa mlango wa Hormuz ukiendelea kufungwa.
Meli iliyokuwa na bendera ya Panama ikitokea kwenye bandari ya Saudi Arabia na kuelekea Singapore imeshambuliwa na imepata uharibifu.
Meli ya pili ya kigiriki nayo imeshambuliwa siku ya leo baada...
Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda
Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka yakiitwa ila Kwa Iran yameogopa kuungana na marekani.
Mwaka 2011, NATO Hawa Hawa walivamia Libya na...
Jumanne itakuwa Siku ya Mitambo ya Umeme, na Siku ya Madaraja, zote kwa pamoja nchini Iran. Hakutakuwa na siku mfano wa hiyo !!! Fungueni hiyo Mlango wa Bahari sasa hivi, enyi vichaa, la sivyo mtaishi katika Jahannamu – SUBIRINI MUONE! Atukuzwe Allah . Rais DONALD J. TRUMP.
Jeshi la Anga la Israeli lilifanya shambulio sahihi huko Bandar Abbas ambapo Alireza Tangsiri, ambaye alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC kwa miaka minane iliyopita aliondolewa.
Tangsiri alihudumu katika nafasi kadhaa muhimu ndani ya Jeshi la Wanamaji la IRGC, ambapo alisimamia...
Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz.
Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameviambia vyombo vya habari kuwa; Marekani imekubali kwa makusudi kuruhusu meli za mafuta za Iran kupita katika Mlango wa Hormuz bila kuzuiliwa kijeshi kwa sasa.
Hatua hii imechukuliwa ili kudhibiti bei ya mafuta duniani isipae zaidi (baada ya...
Wanaukumbi.
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz
- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN...
Kimya kingi kina mshindo mkuu, Waswahili wanasema. Hivyo ndivyo mikakati inavyopangwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kurejeshwa kwenye chama hicho kwa mlango wa nyuma kwa ajenda ya maridhiano.
Hii inakuja kufuatia juhudi zakumshawishi Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Tundu...
Mlango wa siri, chumba kilichofichwa…
Mwaka 2017, wakati wa ukarabati, Makumbusho Ndogo ya Nykøbing Falster iligundua chumba cha siri ndani ya jengo hilo.
Chumba hicho kilikuwa kimejaa masanduku ya zamani, maandishi na michoro, vikifunua urithi wa mmiliki wa awali wa nyumba hiyo, Cornelius S...
My people,
Hakika hakuna ajuaye kesho yake, hata wewe kamwe usije kujikatia tamaa katika maisha kwahakika siri ipo kwa Muumba wetu.
Haimaanishi kwamba nawe utakuja kutamba na VAT laa,namaanisha kwa safari yoyote ya maisha uliyokuwa nayo basi haijaisha mpaka iishe, kwa hiyo endelea kupambana...
Tuombe Mungu usiku upite salama, Israel anazengea kwenye viunga vya Nyumbani kwa aunty LuLu, kaweka ujumbe kwenye Instagram usiku huu wa manane 👇
Msiomjua Aunty LuLu ni huyu
Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke?
Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari?
Hii ofa huwezi kuipata sehemu yeyote..Njoo inbox nikufungie mlango mzuri wa uPVC kwa bei ya ofa
Milango ya PVC ni mizuri kwa chooni na kwa ofisi yako na hata nyumban kwako.
Ubora wake ni kwamba haupati kutu,hauna kelele,haushuki hata ukiutumia kwa miaka10..gurantee ni miaka10
Husipigwe tena...
Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo...
Walidhani kwa kumfungia Tundu Lissu ndani mambo ndio yatakuwa mepesi, kumbe sasa ukuta mzima umepasuka ni afadhali yangekuwa ya mlango tu.
Jinsi siku zinavyokwenda ndio CCM inavyozidi kupoteza control ya mambo mwishoni wataishia kutoa amri ya piga vunja miguu wakatibiwe hospitali, hapo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.