kamba

Kamba, or Kikamba, is a Bantu language spoken by millions of Kamba people, primarily in Kenya, as well as thousands of people in Uganda, Tanzania, and elsewhere. In Kenya, Kamba is generally spoken in four counties: Machakos, Kitui, Makueni, and Kwale. The Machakos dialect is considered the standard variety and has been used in translation. The other major dialect is Kitui.Kamba has lexical similarities to other Bantu languages such as Kikuyu, Meru, and Embu.

The Swedish National Museums of World Culture holds field recordings of kamba language made by Swedish ethnographer Gerhard Lindblom in 1911–12. Lindblom used phonograph cylinders to record songs along with other means of documentation in writing and photography. He also gathered objects, and later presented his work in The Akamba in British East Africa (1916).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kauli ya Rais Samia ya kila mtumishi wa umma kula kwa urefu wa kamba yake inasababisha ufisadi na ubadhirifu?

    Pesa nyingi za umma zinatolewa kwa ajili ya miradi ya umma na maendeleo ya wananchi. Zinaliwa na zinatafunwa. Ripoti ya CAG ipo wazi Rais Samia aliwahi kutamka wazi kuwa watumishi wa umma wale kwa urefu wa kamba zao. Ila tu wasivimbiwe. Acheni pesa za umma zitafunwe huku wananachi wakikosa...
  2. Msanii

    Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma. Tujisahihishe. Bado hatujachelewa Pia soma: Rais Samia...
  3. Nyendo

    Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
  4. Mwande na Mndewa

    Awamu ya sita kipimo ni kamba sio unyonge

    Sera kuu...kula kwa urefu wa kamba....wanyonge tutasubiri sana😢 Ukiendelea kung'ang'ania kuwa chumvi ni chumvi tu na siyo sukari, subiri tu kutupwa ubalozini.👨🏿‍🦯 Hii sera ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake haijawahi kuondolewa wala kukanushwa, ndiyo maana wengine wanavimbiwa na kujisahau.😢
  5. Buyaka

    Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
  6. M

    TV 15 zaibwa hospitalini Njombe. Mkuu wa mkoa azunguka mitaani kuzisaka

    ======= Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu wa Idara ya manunuzi pamoja na Idara ya TEHAMA ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa TV 15...
  7. Mwl.RCT

    Bodaboda atekwa, akatwa mikononi na miguu, afungwa kamba

    https://youtu.be/L0w57wSMol8 Credit: MillardAyo
  8. Mhafidhina07

    Upinzani wanaipenda CCM, kama hawaipendi basi waanzie kukosoa sera za Hayati Mwalimu Nyerere

    Historia ya Tanzania(Tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi Mwalimu Nyerere ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based. Lakini napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani...
  9. benzemah

    Manyara: Kijana akutwa amejinyonga

    Kijana wa Kimasai rika la Morani, aliyejulikana kwa jina Sabaya Isaskar (31) mkazi wa Njaniodo, wilayani Kiteto mkoani Manyara amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ya manila. Mwenyekiti wa Kijiji cha Partimbo, Kimirei Mesiaya amethibitisha kutokea kwa kifo hicho leo Jumatatu Oktoba...
  10. Mwande na Mndewa

    Dawasa Kinyerezi naona mnakula kwa urefu wa Kamba

    Salaam! Salaam toka Kinyerezi mtaa wa Sadani kwa Babu Ali,huu mtaa una miezi miwili hauna maji,ratiba ya kufungulia maji mara moja kwa mwezi mtaa huu inarukwa either kwa makusudi au wanatuona sisi manyani,kuna mitaa michache inapata maji kwa mwezi hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama...
  11. Burkinabe

    Mbuzi wamekata kamba

    Leo nimejikuta nakumbuka haya maneno "mbuzi zimekata kamba". Wakati niko mdogo nilipewa kazi ya kuchunga mbuzi wa mzee wangu. Kwa sababu hakukuwa na mbuzi wengi kivile, nilikuwa nawapeleka asubuhi sehemu yenye majani na kuwafunga ili wasije kwenda kuharibu mazao ya watu. Kwa bahati mbaya...
  12. H

    Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

    Tukionee huruma hiki chama cha harakati Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
  13. OCC Doctors

    Sababu ya kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni

    Kikawiada Kamba ya kitovu hulindwa na mafuta laini yaitwayo 'Wharton's jelly'. Husaidia kamba isijifunge fundo ili mtoto awe salama bila kujali ni kiasi gani anajikunyata na kujipindua ndani ya tumbo la mama yake. Inapotokea kamba ya kitovu ina upungufu wa mafuta hayo laini (insufficient...
  14. OCC Doctors

    Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni

    Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni kabla ya kuzaliwa (nuchal cord), matatizo yanaweza kujumuisha shida ya kupumua, na kuzaa mtoto aliyekufa. Kamba ya kitovu inaweza kumzunguka mtoto kwa ulegevu (loose), na inaweza kumzunguka mtoto kisha ikamkaza (tight), na inaweza kumzunguka mtoto mara...
  15. Lycaon pictus

    Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Mazoezi bora yanatakiwa kuwa na sifa nyingi. Sifa moja kuu ni yachome nguvu za kutosha. Chakula tunachokula kinaenda kuupa nguvu mwili wetu. Kama tunakula zaidi ya mahitaji ya miili yetu, chakula hicho kinaenda kuhifadhiwa kama "Kitambi." Basi mazoezi bora yanatakiwa kuchoma kitambi cha...
  16. Asante CCM

    Unahisi jamaa ilikuwaje baada ya kamba kufunguka

    Eti, alipona kweli?
  17. Kiboko ya Jiwe

    Kula kwa urefu wa kamba yako

    Inasikitisha sana! Mtu unajawa uzalendo mpaka unamwagika. Unakuja kuona wapumbavu wachache wanaihujumu nchi yao wenyewe kwa tamaa ya mali na fedha. Ukijiangalia unajiona wewe ni kama tone la mvua linalopiga juu ya bahari. Unaamua tu nawe utafute mpenyo ule kwa urefu wa kamba yako.
  18. C

    SoC03 Kamba ya mbali haifungi mzigo

    Siku zote wahenga husema kamba ya mbali haiwezi kufunga mzigo na fimbo ya mbali haiwezI kuua nyoka, Vijana wengi hasa wa wakulima na vijana wa maskini hupata shida sana katika utafutaji wa ajira. Utakuta wazazi wamepambana kumsomesha kijana wao kwa kuuza mazao shambani na wengine hata kuuza...
  19. Teslarati

    Stori ya huyu kijana imeniumiza sana, ama kweli wanawake legezeni kamba kuwanusuru vijana waliobakia dhidi ya hili janga la wanawake toleo jipya

    Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi. Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln hv shoga hivyo ikaleta vulumati sana pale kazini. Mimi ndie msimamizi wake wa kazi hivyo dogo...
  20. tawakkul

    Kiongozi wa Mwenge ameshang'amua miradi mingapi iliyojengwa chini ya kiwango? Au anakula kwa urefu wa kamba yake?

    Habari wakuu, Tanaambiwa kuwa moja ya kazi ya mbio za mwenge ni kung'mua miradi iliyojengwa chini ya kiwango na kukataa kuifungua. Japo kuna mkaguzi mkuu(CAG), wakaguzi wa ndani(Internal Auditors), kamati za bunge, TAKUKURU, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa lakini bado na Mwenge unatumika kukagua...
Back
Top Bottom