siri

 1. B

  Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

  Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Kwa mwendelezo wa updates kuhusiana na huu ugonjwa hapa nchini Tanzania, watake wasitake (wakiwamo mabeberu) wanacho cha kujifunza tokea katika mafanikio yetu. Maeneo matatu muhimu kwenye mafanikio hayo wakiyadharau itakuwa imekula kwao vilivyo: 1...
 2. GENTAMYCINE

  Kuna siri gani iliyofichika kati ya kusema ukweli au kudanganya unapokuwa 'Unamtongoza' Mwanamke wa Kitanzania?

  Ni kwamba 99% ya Wanawake Wanaotongozwa kwa Kudanganywa na Wanaume huwa wanawakubali haraka sana lakini pia 99% ya Wanaume ambao huwa wakiamua kuwa Wakweli kwa Wanawake pale wakiwa Wanawatongoza huwa wanawakosa japo wao (Wanaume) hudhani kuwa Mkweli ni 'Tiketi' ya moja kwa moja Kuuona Ufalme wa...
 3. N

  Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

  Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums) Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20 Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili Lijuakali...
 4. miss zomboko

  Bunge lapitisha sheria ya afya ya mimea. Faini ya milioni 500 kutolewa kwa watakaoikiuka

  SHERIA ya Afya ya Mimea 2020 imepitishwa pamoja na mambo mengine imetoa adhabu kwa Bodi ya Shirika itakalovunja sheria hiyo kupigwa faini isiyopungua Sh milioni 10 na isiyozidi Sh milioni 500. Vile vile kwa mtu atakayevunja sheria hiyo atatozwa faini isiyopungua Sh 50,000 na isiyozidi sh...
 5. D

  CHADEMA inamuandaa mgombea wao wa urais kwa siri kubwa

  Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM. Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
 6. Roving Journalist

  Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

  Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao. Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara. ======...
 7. F

  Wagonjwa wote wa Corona wa Faeroe Islands wapona, hakuna kifo, Waziri Mkuu aanika siri ya mafanikio

  Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK. Waziri mkuu wa Faero Bárður á Steig Nielsen awashukuru watu wake na kutaja siri ya ushindi huu: 1. Kufunga shughuli...
 8. Jidu La Mabambasi

  Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

  Hii picha ya front page leo 11/5/2020, Daily News imenifikirisha sana.
 9. M

  Virusi vya Corona: Nadharia za kuficha ukweli zaibuka kuhusu kifo cha mtaalamu wa Corona, Bing Liu

  Haki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGH Mauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake. Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha...
 10. JamiiForums

  Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

  Wakuu, Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya Mba, Fangasi na mabaka (hasa kwenye sehemu za siri, yakiwemo mapaja). Shukrani Tafadhari tunaomba ushauri...
 11. S

  Sitashangaa kuona ripoti kamili ya uchunguzi ikawa ni siri ya waliounda kamati ya uchunguzi

  Huu ni mtazamo wangu kutokana na historia ya Jamuhuri husika ambapo kwa nyakati tofauti zimekuwa zikiundwa tume/kamati mbalimbalu za uchanguzi na mara baada ya kamati hizo kukamilisha kazi na kuziwasilisha kwa walioziteua,matokeo ya kamati hizo hubaki kuwa siri au ripoti kamili ya uchunguzi...
 12. N

  Siri nyingine ya mabeberu kutuandama hii hapa, tuna swag sana, tupo pazuri

  Niliangalia ile hotuba ya Profesa Kabudi United Nations General Assembly kimoyomoyo nikasema tumekwisha aisee, yaani kamera ilikuwa iki pan na ku-zoom kwa mabeberu unaona jinsi yanavyokunja uso kwa WIVU haswa pale profesa wetu bobefu la sheria na diplomasia liliposema kwamba ndani ya miaka...
 13. Unko T

  Tetesi: Uhamiaji Dar haitoi passport kisa hakuna mtandao wa TTCL. Ukitoa kitu kidogo unapatiwa kwa siri sana

  Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako" Nikajiuliza...
 14. Jojo123

  Nyaraka za Siri za Mali za Kifamilia zina hifadhiwa wapi?

  Ndugu wana Jamii Forum! Naombeni Ushauri! Famili yangu ina migogoro ya mali za thaman zilizo achwa kama Urithi .. Familia ina Pande Mbili mke mkubwa na mke mdogo.. watoto Jumla tupo 9 kutoka pande zote mbili.. Baada ya Mtafaruku mkubwa ulio tokea baada ya Kifo cha Baba cha ghafla.. ambapo...
 15. GENTAMYCINE

  Haji Manara: Nimeshamuonya DC wa Arumeru Jerry Muro akiendelea Kunishambulia natoa Siri yake Kubwa mno na Mbaya sana

  Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa leo Jumatano tarehe 8 Mwezi April 2020 alipokuwa akizungumza katika Kipindi bora cha Michezo cha Mchana chaa Kipenga Extra kinachorushwa na Redio bora kabisa ya Kiswahili Afrika Mashariki ya East Africa Radio Msemaji wa Klabu Kubwa, bora na iliyobarikiwa...
 16. J

  Ni nini siri ya Manispaa ya Ubungo ( Chadema) kutoathiriwa na " Hamia Hamia CCM" hadi Meya wake anastaafu kwa Heshima?

  Kijiografia manispaa ya ubungo inaanzia Kigogo round about hadi Kibamba kwa maana ya Kigogo, Mburahati, Mabibo, Manzese, Ubungo, Kimara,, Mbezi, Msakuzi, Kwembe hadi Kibamba. Meya wa manispaa ya ubungo ni mh Jacob Boniface kupitia Chadema hivyo manispaa hiyo iko chini ya chama chake. Meya...
 17. T

  Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

  Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Said Kubenea, kesho Alhamis Aprili 2, 2020 atazungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka ofisi za gazeti la MwanaHALISI Kinondoni, jijini Dar es salaam.
 18. No retreat no surrender

  Kama sio mama yako, basi ni baba, bibi au babu yako ndo wanajua siri ya hali yako ya maisha

  Rejea kichwa cha somo hapo juu chausika. Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zoote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi...
 19. Maboso

  Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

  Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
 20. kid ink tz

  Rayvanny afichua siri ya Harmonize kuondoka WCB

  Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi. Amefunguka kwa kusema mwanzo alijua mwenye kosa ni Uongozi wa Wcb Wasafi akawa anawalaumu management...
Top Bottom