Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo.
Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano.
Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
Shule ya St. Marks, Dodoma, inakabiliwa na changamoto ya Kunguni katika mabweni, huku uongozi wa shule ukidaiwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo.
Licha ya hali hiyo, wanafunzi wanaendelea kulazimishwa kuishi mabwenini bila hatua madhubuti za kufanya usafi na kuondoa...
kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi.
Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
bandari
ccm
code
hisabati
ili
jezi
kiingereza
kompyuta
kuiba
kuiba kura
kura
maadili
masomo
mbovu
mkataba
msingi
sana
serikali
serikali ya ccm
shuleshule za msingi
ufanisi
vipi
vizazi
wao
wenye
Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti
Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto unavyoongezeka kwa kasi eneo hilo. Bado kikosi cha zimamoto hakijafika eneo la tukio ingawa watapata...
Serikali inahimiza utoaji wa chakula shuleni ili kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya kupata chakula. Lakini kuna baadhi ya walimu na kamati za shule ambao wanashindwa kuratibu jambo hili kwa haki.
Kwa mfano, utaratibu unaweza kuwa mwanafunzi anatakiwa kuchangia jumla ya madumu 15 kwa mwaka...
Kuna shule inaitwa Mission Kitunda Primary School iliyopo Kata ya Kitunda, Dar es Salaam, ambayo imewachukua wanafunzi wa darasa la tano na la sita na kuwaamishia katika shule ya sekondari ya Mission Kitunda kwa madai kuwa wanafuata mfumo wa mtaala wa miaka 10 ya elimu ya lazima.
Swali langu...
Anonymous
Thread
darasa
sekondari
shuleshule ya sekondari
wanafunzi
Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna ya kupata nafasi masasi girls A-Level bweni
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio.
Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto wake kwenye Shule za kawaida akiamini kuwa shule za kawaida hazifundishi watoto namba ya kufikiri...
Wanafunzi takriban 36 katika Shule ya Wasichana ya Bakisa, iliyopo Webuye Mashariki, Kaunti ya Bungoma, wameripotiwa kuwa wajauzito au tayari ni kina mama.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Ruth Mulik, ameeleza kushtushwa na kusikitishwa na ongezeko la mimba za utotoni miongoni mwa wanafunzi wa shule...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema tuzo za tafiti na gunduzi katika maeneo ya ubunifu, sayansi, kilimo, nishati, mazingira na afya zinazotolewa kwa wanasayansi chipukizi na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi...
Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao.
Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa.
Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
Habari za jioni wana-JamiiForums (JF Entertainment)!
Leo natamani tuimbe na kurudi nyuma kidogo kwenye zama za dhahabu za muziki wa Congolese Rumba. Tukizungumzia bendi kongwe na yenye heshima kubwa barani Afrika, T.P. OK Jazz chini ya maestro Franco Luambo Makiadi, hatuwezi kuacha kutaja wimbo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya Mkuu wa Shule ya Msingi Mkwajuni, Kata ya Kitomanga, Manispaa ya Lindi, ikiwa ni utekelezaji wa...
Muonekano wa Shule ya Msingi Grace Mesaki iliyopo katika Kijiji cha Singa, Kata ya Kinampundu, Wilayani Mkalama.
Mradi huu wa ujenzi wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 300 umeboresha kwa kiasi kikubwa mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku ukiongeza fursa kwa wanafunzi kupata...
Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya
Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...
Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na unatarajiwa kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu.
Awali, wanafunzi wa Kijiji cha...
Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
Shule ya Sekondari Bombambili iliyopo kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita, Mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji unaoathiri usalama wa wanafunzi ilihali maji ya GEUWASA yanapatikana 400m tu kutoka shule ilipo.
Ukosefu huu wa maji umesababisha uchafu uliokithiri wa vyoo vya...
Anonymous
Thread
maji
sekondari
shuleshule ya sekondari
ukosefu
ukosefu wa maji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.