Nimelipia huduma za Serikali kupitia Lipa Namba kwa miamala miwili ili kumtoa mgonjwa wangu hospitalini.
Nimeelezwa kuwa malipo hayo hushughulikiwa ndani ya saa 24, lakini hadi sasa zaidi ya saa 24 zimepita na bado sijafanikiwa kumtoa mgonjwa kwa sababu malipo hayajaonekana.
Sina fedha...
Anonymous
Thread
gharama
hospitali
kupitia
malipo
masaamasaa 24
mgonjwa
wangu
yas
Eti mtu anaandika allah ndio amemuadhibu nchimbi kutoka madarakani kwa hio sasa huyo allah chama chake ni vegetable ndio maana haoni wengine wa kuadhibu humo?
Umasikini ni mzigo haswa wa ufahamu na utashi.
Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo.
Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia.
Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
Habari, nawasilisha malalamiko haya kwa niaba ya watumishi wa Bunda DC.
Kwa kawaida, watumishi tumekuwa tukipokea posho za masaa ya ziada kila mwezi, fedha ambazo hutolewa na Hazina kwa ajili ya kuwalipa watumishi wanaostahili. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, hadi sasa hatujapokea...
Chadema wamefikisha milioni 100 katika kampeni yao ya marathon ya kutafuta milion 300 na kitu
Imewachukua siku sita tu sawa na masaa 144 kufikisha kiwango hiki pamoja na changamoto ya tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili makamu mwenyekiti ndugu Heche
Hapa lipo funzo kwa watanzania...
mimi kwa wastani nina nyuzi 17 ambazo hua nina andika kisha ninazifuta kabla ya kuzipost.
hata uzi huu nilishawai kijaribu kuandika wiki kadhaa zilizopita, kabla ya leo tena kuufikiria..
leo ni wasaa wa kuandika nyuzi ambazo ulizifikiria na ukaona haina sababu tena ya kuendelea nayo, nami...
Nimefuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala ya Tiktok nikagundua huwa hawatoki online.
Nadharia yangu miongoni mwao hizo live kuna Mapolisi na maafisa vipenyo ambao wanafanya kazi ya kuzirekodi na kujaribu kuvuruga mijadala ambayo inaweza ikawa na tija na mbinu. (Wapo wanafanya doria)
Katika...
Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa
Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani.
Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash?
Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
Ninaomba kuwasilisha kero yangu kwa Tanesco kuhusu hali ya umeme katika maeneo la Majohe, Dar es Salaam.
Kwa muda sasa tumekuwa tukikumbana na tatizo la kukatika umeme mara kwa mara bila taarifa yoyote. Karibu kila baada ya siku mbili au tatu tunakaa siku nzima bila umeme, huku wananchi...
Halotel wanashida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia sms moja mara mbili had sita, mtando piah umekuw ukisuasua nini shida maana imekuw kero sasa.
Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi.
Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria?
Kama hawana hatia waaachiwe.
Kuamka saa 9 usiku (3 a.m.) si tatizo. Ni mabaki ya mfumo wa kale wa usingizi uliowahi kuwa wa kawaida kwa binadamu.
Kabla ya wazo la kisasa la kulala saa nane mfululizo, usiku wa binadamu ulikuwa umegawanyika katika sehemu mbili. Mwanahistoria Roger Ekirch ameonyesha kupitia zaidi ya...
Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana
Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani
Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja
chafya ngumu
min -me
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa
Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING
The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused
United States is...
kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu
Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini nilisubiria kwa zaidi ya dakika 15 lakini sikupata Meseji.
Nikawapigia huduma kwa wateja wakaniambia...
Anonymous (c723)
Thread
changamoto
habari
masaamasaa 24
muamala
nmb
nmb mobile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.