NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao.
Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza?
Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
Majuzi nilikuwa river side vikao vya harpsichord
Yaan wachaga wameanza kuogopwaa aisee
Toka mmoja huko kumtwanga mkewe watu wameanza kuogopa wachaga wenzetu
Na wa arusha huko mjipange
Soma Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam
Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua...
Polisi nchini Afrika Kusini walisema siku ya Jumapili Septemba 27, 2026 kuwa wameanzisha msako mkali baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi usiku wa Jumamosi Septemba 26, 2026 kwenye kilabu cha pombe (tavern) katika mtaa wa Wedela, kusini magharibi mwa Johannesburg.
Huduma za...
Shimo la Mungu lipo Mtwara, wilaya ya Newala jirani na makazi ya alyewahi kuwa Waziri wa Utawala Bora ndg Mkuchika....
Hatma ni nyingi kwa watekwa nyara na serikali hii...
Kipande cha video kinachosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii kimezua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamume mmoja akimwaga vitisho vya kuua na kuwadhalilisha wanawake waliokuwa kwenye chumba cha kujipamba (powder room) katika eneo la Sandton, Afrika Kusini.
Kwenye video hiyo...
Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio la kuzima vurugu waliobeba virungu, filimbi na pingu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa...
Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani. Tundu lissu kapitia mengi
Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi, akidaiwa kuingia katika Benki iliyopo Rock City Mall, Mwanza.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, tukio hilo limetokea...
Mlinzi wa kituo cha mafuta cha Puma kilichopo Kata ya Kihonda Magorofani, Manispaa ya Morogoro, anadaiwa kumpiga risasi mwananchi aliyekuwa ameegesha gari katika eneo la kituo hicho.
Kwa mujibu wa mashuhuda akiwemo mwandishi wa TBC, mwananchi huyo alikuwa ameegesha gari katika eneo hilo kwa...
Nimeshangaa sana kuona leo hii Mwigulu Nchemba anasema waliompiga risasi Lissu walifanya hivyo ili ionekane serikali ilihusika.
Niwaambie ukweli wa siku ya tukio la Lissu kupigwa risasi. Wakati huo Mwigulu Nchemba alikuwa waziri wa mambo ya ndani. Mara tu baada ya Lissu kujeruhiwa kwa risasi...
Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye Mkutano wa wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Warioba amesema:
"Kurudi kwenye amani ya kweli, ni lazima turudi kwenye misingi ile ya zamani. Tuwe na usawa, tusiwe...
Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16..
Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya...
Kijana wa miaka 18 aliyetajwa kuwa mshukiwa wa shambulio la risasi 13 Feb 2026 lililoua watu wanane na kujeruhi makumi ya wengine huko British Columbia, Canada, Jesse Van Rootselaar alipatikana amefariki katika eneo la tukio kutokana na kujipiga risasi.
Aidha Uchunguzi wa polisi Umesema Kabla...
"Ukikimbia kuingia chumbani, wanakichoma moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia, wanakupiga risasi."
Watu hao waliojihami kwa silaha, waliofanya shambulio hilo saa nane usiku (saa...
Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa paa la nyumba yake na kuingia ndani.
Tukio hilo lilitokea Agosti 20, 2026. Kwa bahati nzuri, hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.