Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Diwani wa Kata Myamba wilaya ya Same, Greyson Kyondo Fue (42), kwa tuhuma za kuendesha gari kwa uzembe na kumgonga mwendesha pikipiki maarufu kama boda boda aliyetajwa kwa jina la Daudi Kibwengo (24), mkazi wa Kijiji cha Myamba na kusababisha...
Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili za mkononi za Biashara yake ya miamala na majambazi watano na kati yao watatu wanashikiliwa na...
Tusikwepe kuiona picha kubwa inayochezwa na mihimili ya serikali haramu ya Tanzania dhidi ya raia, wakosoaji na wanaharakati wa Haki na Demokrasia nchini
Mahakama inapopokea kuendesha kesi za kisiasa dhidi ya wapinzani ni ushahidi kuwa mahakama imekubaliana na Executives kubaka Katiba, Haki na...
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma za kumteka mtoto mdogo mwenye umri wa Miaka Mitano na kudai fedha kiasi cha shilingi Milioni tano kutoka kwa Baba mzazi wa mtoto huyo kabla ya kumuua mtoto huyo baada ya kuzikosa fedha hizo.
Kwa mujibu...
Aliyekuwa Mfanyakazi wa Nyumbani Jijini Mwanza, Faima Yasin Twaibu (17), ameachiwa huru na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ya Mwanza, baada ya shauri la jinai lililokuwa likimkabili kufutwa kutokana na upande wa mashtaka kushindwa kuwasilisha ushahidi wa kutosha kuthibitisha shtaka dhidi...
Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin.
Hata...
Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio...
Miaka ya 1980 na 1990 iligubikwa na vita vya umwagaji damu kati ya serikali na makundi makubwa ya kihalifu. Wote tunaijua hadithi ya Pablo Escobar, lakini kulikuwa na mwanamke mmoja katili zaidi aliyetawala jiji la Miami na Colombia kwa mkono wa chuma:aliitwa Griselda Blanco, aliyefahamika pia...
Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa
Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa Israeli.
Kamati ya mawaziri ya Israeli kuhusu masuala ya Shin Bet imeidhinisha ulinzi ulioongezwa kwa...
Kama kichwa kinavyojieleza watu wa Mungu tuzidi kumuinua kwenye maombi mchungaji AMIELI KATEKELA mara kwa mara amekuwa akiwekewa sumu na hata kutumiwa watu wenye silaha za moto bunduki kutafuta kumuua ,kwa sababu ya kuhubiri injili ya kweli ambayo kwa sasa haihubiriwi sana,mitume na manabii wa...
hii stori nimekuwa nikizisikia mara nyingi lakini mpaka leo sijawahi kuamini moja kwa moja. Simba ni mnyama mwenye nguvu, kasi, makucha na meno ya kutisha. Hata wawindaji wa kisasa wenye bunduki humheshimu sana.
Naambiwa kwamba zamani au mpaka sasa kulikuwa na baadhi ya Wamasai ambao shujaa...
Habari za jumapili!
1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni.
2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai.
Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai.
3. Wamasai ni moja ya Makabila...
Queen Mbuba, Mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe, anadaiwa kumuua mume wake baada ya kumchoma sindano inayodaiwa kuwa na sumu na baadaye kumshambulia kwa kitu chenye ncha kali.
Taarifa iliyotolewa Mei 26, 2026 kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe...
Residents wa Mukuru kwa Njenga wako kwa shock baada ya mwanamume mmoja anayejulikana kama “Sugu” kudaiwa kumbaka na kumuua mamake mzazi ndani ya nyumba yao ya kupanga. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mapema wiki hii na limeacha jamii ikiwa na maswali mengi kuliko majibu.
According to...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Salmin Rajab (29) fundi ujenzi, mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Sahiri Salmin mwenye umri wa miezi nane, kwa kumchinja shingoni na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Akithibitisha kutokea kwa...
Cole Tomas Allen ameshtakiwa kwa jaribio la kumuua Donald Trump baada ya kujaribu kuvamia Chakula cha Jioni cha Waandishi wa Habari wa Ikulu ya Marekani akiwa na bunduki na visu.
Allen, mwenye umri wa miaka 31, alifikishwa katika mahakama ya shirikisho huko Washington na bado yuko kizuizini...
Netanyahu ‘shocked by the attempted assassination’ of Trump
Today, 9:56 am
)
Prime Minister Benjamin Netanyahu says he is “shocked by the attempted assassination” of US President Donald Trump at a gala dinner in Washington DC.
Netanyahu says he is relieved that Trump and the first lady are...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.