Mwalimu Mkuu adaiwa kumlawiti mwanafunzi Bunda

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Masaunga wilayani Bunda, Vicent Nkunguu (39) kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la sita shuleni hapo kisha kumnywesha sumu.

Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Machi 13, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salum Morcase amesema vitendo vya ubakaji na ulawiti vilifanyika siku moja kabla ya kunyweshwa sumu siku iliyofuata lengo likiwa ni kupoteza ushahidi.

Kamanda Morcase amesema mwanafunzi huyo (16) alibakwa Machi 8, 2024 usiku akiwa amelala nyumbani kwa mtuhumiwa huyo Kijiji cha Kisorya alipokuwa amekwenda kwa ajili ya kuwapikia watoto wa mtuhumiwa baada ya kuombwa na mke wa mwalimu huyo aliyesafiri kwenda kwenye maombi katika Kijiji cha Igundu.

"Akiwa amelala na watoto chumbani, mwalimu huyo alikwenda kwenye chumba cha watoto na kumwambia mwanafunzi huyo kuwa, amekosa usingizi na kwenda naye kwenye chumba chake ambako alimbaka na kumlawiti," amesema.

Kamanda Morcase amesema baada ya kumaliza haja zake alimruhusu kurudi chumbani kwa watoto na siku iliyofuata mtoto huyo aliitwa na mama yake kwenda kufukuza ndege kwenye shamba lao la mpunga.
 
twatakiwa kuwa na uangalizi mkubwa sana kwa watoto wetu, watoto hata kama sio wako,mashuleni, majumbani.
 
Wagalatia tujifiche wapi maamae? Kibao kimetugeukia issue ya marinda kutatuliwa imetuandama kichiz wiki hii. Kobaaz walipo wanashangilia balaa. Yesu anazidi kuaibishwa kizembe.

JESUS help us please!

Accumen Mo adriz Mlolongo hydroxo Jagina Mufti kuku The Infinity
 
Matukio kama hayo yapo mengi sana tu ,ila humu watu wamekosa uadilifu na kujadili mambo kishabiki.
 
Kamanda Morcase amesema mwanafunzi huyo (16) alibakwa Machi 8, 2024 usiku akiwa amelala nyumbani kwa mtuhumiwa huyo Kijiji cha Kisorya alipokuwa amekwenda kwa ajili ya kuwapikia watoto wa mtuhumiwa baada ya kuombwa na mke wa mwalimu huyo aliyesafiri kwenda kwenye maombi katika Kijiji cha Igundu.
Maombi yamemponza mume
 
Hatari sana huyu mwalimu,siku hizi kuwa mwalimu mkuu/ mkuu wa shule hakuzingatii maadili ya mhusika bali ni kitita alichotoa mhusika kwa maafisa wa juu,sidhani kama huyu mwalimu alipitiwa na shetani kama ambavyo wengi hudai bali ni inaonekana anatabia hiyo tangu mwanzo na hapo ndo arobaini zake zimefika.

Akili za kijinga na kihuni,unabaka ,haitoshi unalawiti na hujaridhika unaamua kujaribu kutoa uhai wa mtoto wa mwenzio ,akili gani hizi.?
 
Hatari sana huyu mwalimu,siku hizi kuwa mwalimu mkuu/ mkuu wa shule hakuzingatii maadili ya mhusika bali ni kitita alichotoa mhusika kwa maafisa wa juu,sidhani kama huyu mwalimu alipitiwa na shetani kama ambavyo wengi hudai bali ni inaonekana anatabia hiyo tangu mwanzo na hapo ndo arobaini zake zimefika.
Enzi zile vetting ilikuwa inafanywa kwa siri sana bila mhusika kujua, nafasi za uongozi hazikupatiokana kimagumashi kama sasa
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Masaunga wilayani Bunda, Vicent Nkunguu (39) kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la sita shuleni hapo kisha kumnywesha sumu.

Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Machi 13, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salum Morcase amesema vitendo vya ubakaji na ulawiti vilifanyika siku moja kabla ya kunyweshwa sumu siku iliyofuata lengo likiwa ni kupoteza ushahidi.

Kamanda Morcase amesema mwanafunzi huyo (16) alibakwa Machi 8, 2024 usiku akiwa amelala nyumbani kwa mtuhumiwa huyo Kijiji cha Kisorya alipokuwa amekwenda kwa ajili ya kuwapikia watoto wa mtuhumiwa baada ya kuombwa na mke wa mwalimu huyo aliyesafiri kwenda kwenye maombi katika Kijiji cha Igundu.

"Akiwa amelala na watoto chumbani, mwalimu huyo alikwenda kwenye chumba cha watoto na kumwambia mwanafunzi huyo kuwa, amekosa usingizi na kwenda naye kwenye chumba chake ambako alimbaka na kumlawiti," amesema.

Kamanda Morcase amesema baada ya kumaliza haja zake alimruhusu kurudi chumbani kwa watoto na siku iliyofuata mtoto huyo aliitwa na mama yake kwenda kufukuza ndege kwenye shamba lao la mpunga.
Akiwa amelala na watoto chumbani, mwalimu huyo alikwenda kwenye chumba cha watoto na kumwambia mwanafunzi huyo kuwa, amekosa usingizi na kwenda naye kwenye chumba chake ambako alimbaka na kumlawiti," amesema.
 
Back
Top Bottom