arusha

 1. N

  Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

  Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
 2. Tlaatlaah

  Tetesi: MAKAO MAKUU YA CHEDEMA TAIFA KUHAMISHIWA ARUSHA

  lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile. hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie.. alidokeza mnyetisha wa...
 3. salosalo

  Employment opportunity Arusha; teacher for daycare school-2 vacant posts

  Please apply based on the post's requirements and be ready to join early July 2024 upon successful interview
 4. L

  TANESCO mmeanza mgawo Arusha?

  Mmekata umeme toka saa mbili asubuhi bila taarifa yoyote hadi muda huu hamjarudisha tuelewe vipi ?Mgao umeanza au?
 5. GENTAMYCINE

  Wa Kawe Tanzania analndwa kwakuwa anakula na aliye Bungeni, wa Fedha, Juha wa Arusha na ni Mganga pia wa Queen Sheeba wa Baharini

  Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari. Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
 6. GENTAMYCINE

  Kumlaumu Dkt. Ayub Rioba kutoibadilisha TBC ukijua TBC ni CCM B ni kutaka kutuonyesha chuki zako dhidi yake

  Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba...
 7. B

  KERO Mitaa ya Tengeru Arusha vibaka wanapora na kuumiza watu. Hatua za Haraka zinahitajika

  Jana nilikuwa naongea na moja ya wananchi washio Arusha. Ktk kupiga stori za hapa na pale aliniambia visa na matukio ambayo mimi binafsi yamenitisha na kuniumiza kichwa. Usalama wa Wananchi Arusha hasa mitaa ya Tengeru umekuwa Mdogo. Kuna matukio ya kiharifu yametokea kati ya Tarehe 12 na 15...
 8. Saidama

  Arusha kuna harufu ya Mgawo wa umeme

  Umeme umekua ukikatika mara kwa mara hivi sasa. Jana (15/06/2024) umeme umekatika saa mbili asubui na kurudi saa moja jioni. Leo umeme umeshinda siku nzima ila majira ya saa kumi na mbili jioni umekatika (ratiba kama ile ile ya mgao). Hili linakuja bila taarifa yoyote kutoka Tanesco kuelezea...
 9. T

  EXPRESSIONS OF INTEREST (EOI) - CONCEPTS FOR PROPOSED SPORTS PROJECTS AT THE SCHOOL OF ST JUDE, SISIA CAMPUS, MOIVARO, ARUSHA.

  Invitation: Interested and registered architectural firms are hereby invited to express their interest in carrying out the “Concepts for sports fields in the new land at The School of St Jude, Sisia campus, Moivaro ward, Arusha”. For more details, see the attached document.
 10. Melubo Letema

  Wanariadha wa 4 kutuwakilisha kwenye mashindano ya Olimpiki huko Paris Ufaransa Mwezi Julai, Kambi kuwekwa Arusha

  BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la Riadha Tanzania (RT),imefunguka kuwa kambi hiyo itaanza mapema wiki hii. Tanzania itawakilishwa na...
 11. S

  Paul Makonda nakupa pongezi kwa kazi nzuri hapo Arusha. Mungu aendelee kukutia nguvu

  Salaam wakuu. Nimeona vema kumpongeza Mheshimiwa Makonda kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuwatetea wanyonge. Hakika si kazi ndogo. Tunapoona watu wamejaa kwenye mikutano yake hii inamaanisha wanaimani naye. Na hakika anaweza kutokana na uthubutu alionao. Mkuu hata kama tumekutafsiri vibaya...
 12. J

  Kwa mdada aliye Arusha, njoo PM tuyajenge

  Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
 13. JanguKamaJangu

  Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6

  Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa. Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
 14. Wadiz

  Tuwe Wakweli Bar za Arusha zina wahudumu wenye matrakoo ni noma

  Shalom, Daah nimepita jumapili na jumatatu pale Arusha Kila mwenye Bar anafanya ubunifu wa kuweka Wahudumu Wenye Matako mazuri na makubwa ni full shangwe. Sijui hii tabia ya Arusha na matako kwa Wahudumu wa bar chanzo chake ni nini, naona na jamaa wa bar hapa Dodoma wanapita njia hio hio. Ee...
 15. A

  Chini ya Uongozi wa cde Makonda - Arusha kuipiku Geneva

  Chini ya uongozi wa Comrade Dr Makonda. Jiji la Arusha litaizidi Geneva kwa miundombinu, huduma za jamii na kupokea idadi kubwa ya watalii
 16. Pfizer

  Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania ulioendeshwa na TLS

  Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania Wakili Gloria Baltazari, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman akiwakaribisha na kutoa neno kwa washiriki wa Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania unaofanyika jijini DArusha leo tarehe...
 17. Suley2019

  Kuelekea 2025 Migogoro ya Ardhi Arusha yamliza Silaa

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza Makazi wa jijini Arusha ajulikanae kwa jina la Respis Brasius ambaye amekiri kwamba angekunywa Sumu kama asingesikiliza Hotuba yake ya Bajeti ya Mwaka 2024/2025 wakati akiwasilisha...
 18. P

  Tanzania imehamia Arusha

  Taarifa zinazobamba na ambazo hazipoi kusikiliza na za mkuu wa mkoa wa Arusha. Huyu wa kwetu anasema ukifikia umri wa miaka 40 na bado wewe ni maskini huna hela usimlaumu rais.
 19. R

  Kila anayefanya vibaya serikalini uhamishwa na kulipwa gharama za Uhamisho zisizopungua milioni kumi kwa mtumishi mwandamizi na 25M kwa wakuu wa Idara

  Only in Tanzania ndipo kufanya kazi kituoni muda mrefu ni kigezo cha kushuka ufanisi. Tanzania Uhamisho wa watendaji ni maamuzi ya kila mtu. Hakuna sera inayoongoza taratibu za uhamisho. Leo kwa kauli za wakuu wetu mganga mbobezi anaweza kuhamishwa kituo kisa amekaa muda mrefu; wakuu wa Idara...
 20. Poker

  Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

  Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia ukifika ndani ya jiji hilo ni shida tupu. Biashara ndani ya jiji hilo ni ngumu sana, watu wanafanya...
Back
Top Bottom