wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. M

  Wafanyakazi wa New Sideway Bar Bunju, Dar es Salaam jirekebisheni mnafukuza wateja

  Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja. Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu...
 2. beth

  #COVID19 Misri: Marufuku kwa Wafanyakazi kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa yaanza kutekelezwa

  Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo Zaidi ya watu Milioni 14...
 3. sky soldier

  Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

  Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7. Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko...
 4. M

  Jukwaa la wafanyakazi huru (freelancers marketplace) kwa Afrika linaweza kushamiri?

  Nauliza kama jukwaa au soko la freelancers au wafanyakazi huru linaweza kua na tija au uhitaji kwa Africa mashari au hata Africa kwa ujumla. Kwa kiasi flani watu wengi naona wako Fiverr, Upwork etc ambayo ni makampuni ya Marekani au ughaibuni huko. - Najua vijana wanahitaji na wako tayari...
 5. Equation x

  Viashiria vya kutambua taasisi, shirika au kampuni yenye mafao mazuri kwa wafanyakazi

  Utawatazama waajiriwa wake, wengi wanakuwa na afya nzuri, uso na mwili umetakata, wana sura za furaha, wana magari mazuri haya makubwa makubwa, wanakuwa na furaha ya kumuhudumia mteja n.k Lakini ukienda kwa taasisi, shirika au kampuni ambapo wafanyakazi wake hawana furaha, wako kinyonge nyonge...
 6. nyboma

  Kama umeoa jua kabisa mke wako anatoka kimapenzi na Ex- wake, kijana wa mtaa mmoja au mfanyakazi mwenzake)

  Kwako ndugu yangu uliye oa hao ndio maadui zako.
 7. T

  Lini Serikali hii sikivu itakamilisha ulipaji wa malimbikizo kwa wafanyakazi?

  Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena Mimi kama mfanyakazi naomba serikali ilipe malimbikizo ya wafanyakazi Hawa kwa sababu Kuna...
 8. beth

  Tunisia: Chama kikuu cha Wafanyakazi champinga Rais Saied

  Chama cha Wafanyakazi kinachotajwa kuwa na ushawishi zaidi Nchini humo kimepinga kitendo cha Rais Kais Saied kushikilia Madaraka yote na kuonya juu ya tishio kwa Demokrasia Rais Saied ameendelea kusisitiza kitendo chake ya kusitisha shughuli za Bunge na kumfuta kazi Waziri Mkuu kilihitajika...
 9. Teleskopu

  Waajiri wanahangaika kutafuta wafanyakazi

  Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa! Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa. Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi? Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema: A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of...
 10. Chukwu emeka

  TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

  Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
 11. W

  Natafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya. Nina Shahada ya Biotechnology and Laboratory Science

  Habari zenu ndugu, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Ndugu zangu ninatafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya na taasisi zinazohusu utafiti. Nina bachelor degree ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika kufanya kazi maabara especially kwenye...
 12. Jidu La Mabambasi

  #COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

  Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo. Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao. Tutavaa barakoa hadi lini? Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii. Ni jambo la kusikitisha...
 13. Jo Africa Tz

  Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalam wafanyao kazi

  Kwa maana jinsi hii... Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua matatizo badala ya kuyakwepa, hapatokuwa na shida yo yote katika dunia ambayo hawatoweza kuishinda...
 14. Sam Gidori

  #COVID19 Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

  Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
 15. B

  Kweli nimeamini CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi

  CCM inajidhirisha kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi na hiyo ni baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo kuagiza Serikali kununua mahindi yote zaidi tani 100,000 katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya bilioni 14 zilizotolewa awali kununua tani 24,000 za mahindi kuisha...
 16. K

  Kampuni ya Alpha Homes inahitaji wafanyakazi wawili (Accountant na Civil Technician).

  Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician. Sifa za waombaji; 1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani...
 17. Plan Paris

  Labda nifukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe

  Nikiwa kati kati ya interview nzito, Mara ghafla simu ya HR ikaita, akaipokea huku akisikiliza kwa makini anachokiongea mpiga simu, akamjibu mpiga simu kuwa "labda niwafukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe" hiyo kauli mpaka leo haijafutika kwenye akili yangu tangu niisikie akijibiwa...
 18. F

  Wafanyakazi ( staffs) wa NMB bank wanapwaya sana kujua huduma za mwajiri wao

  Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
 19. F

  Wananchi wa NMB Bank wanapwaya kwenye kuelimisha wateja kuhusu products zao

  Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
 20. K

  Hongera CMA kwa kuendesha kesi na Migogoro Makazini kwa weledi

  Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC. Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA ambae ni Afisa Mfawidhi wa CMA Kanda ya Dar, ameweza kueleza ni jinsi gani CMA imejikita kuhakikisha...
Top Bottom