biskuti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano. Wakifafanua sakata hilo Wazazi wanadai kuwa walipata mashaka baada ya kuona mtoto wao wa miaka 6 anajinyea mara kwa mara na...
  2. Pfizer

    Kiwanda cha biskuti za bangi chagunduliwa Kawe

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa maarufu kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi. Kilogramu 158.54 zilikamatwa eneo la Kigamboni na Kawe jijini Dar es salaam zikiwa...
  3. Majok majok

    Simba nendeni Misri kukamilisha ratiba. Ukuta wa Yericko umegeuka kuwa ukuta wa biskuti, kila mechi bao

    Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha! Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada...
  4. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA sio chama cha kuwasaliti Watanganyika kwa biskuti , kahawa na Ubwabwa

    Sisi ni Chama makini sana. Tunajua nini maana ya maslahi ya taifa. Hatuwezi kuwa na fikra potevu kudanganya dunia kuwa kuna Demokrasia nchini Wakati hakuna. Zaidi ya CCM Kandamizi iliyojisahau na sasa inawakandamiza Watanzania kwa kila namna ya ufisadi. Hatuwezi kuwa sehemu ya wasaliti wa...
  5. tpaul

    Tahadhari: Bangi inawekwa kwenye biskuti, keki, chocolate, majani ya chai na vyakula vingine

    Kwa mujibu wa Gazeti la Nipashe la leo 31/5/2023, imedhahadharishwa kwa walaji wa vyakula tajwa kupunguza ulaji wake kwani imebainika bidhaa hizo zinatiwa bangi ndani yake. Lengo hasa la watengenezaji bidhaa hizi kutia bangi ndani yake ni kuwajengea wateja uraibu ili kuongeza mauzo kwa kuwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenister Mhagama: Tumebaini Uwepo wa Cake, Juisi na Biskuti Zenye Bangi

    Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali. Kutokana na hilo serikali kupitia kwa Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya hali ya...
  7. GENTAMYCINE

    Kama huu Utafiti wa Bangi kuwekwa katika Biskuti na Keki ni wa Kweli nahisi nitakuwa nimeitumia kuliko hata Mdau Mkuu Hayati Bob Marley

    Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu. Ewe Mwenyezi Mungu...
  8. Jade_

    Upishi wa Biskuti za Tangawizi

    Habari zenu wakuu, natumai mnaendelea vizuri. Jumamosi iliyopita niliwaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga. Wiki hii nitapika Biskuti za Tangawizi. Biskuti hizi zinaweza kuliwa na maji, chai, maziwa, kahawa, juisi nk. Usipomaliza kuzila muda huo unaweza kuzihifadhi kwenye kontena...
Back
Top Bottom