Msemaji wa kundi la wanamgambo wa Palestinian Islamic Jihad, Abu Hamza, ameripotiwa kuuawa katika shambulio la Israel katika Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa chombo cha habari cha Saudia, Al Hadath, Jumanne asubuhi.
Kulingana na ripoti hiyo, Hamza na familia yake waliuawa katika nyumba yao huko...
"Allah Akbar (Mungu ni mkubwa)
- Kifo kwa Amerika
- Kifo kwa Israeli
- Laana juu ya Mayahudi
Ushindi kwa Uislamu"
Sijui lakini, ila kama huyo allah anakuruhusu ulaani na kufanya maangamizi kwa viumbe wake wengine tofauti na wewe, mimi nafikiri unamuongelea allah mwingine.
Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na Syria ameuwawa.
Gaidi huyo ameuawa kwenye opereseheni iliyofanywa na vikosi vya ulinzi vya Iraq kwa...
1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa
Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
Majeshi ya Israel yanaendelea kuwasaka magaidi wa Hamas popote walipo siku ya leo kiongozi wa magaidi hao huko JENIN aliweza kuuwawa na sasa.
.Jenin imekuwa ngome kubwa ya Magaidi ambao mara kwa mara walikuwa wakipigana na wenzao wanaoongozwa na Serikali ya Mahmoud Abas. Israel imekuwa ikiingia...
Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi.
Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote.
Yaani wenye uwezo mkubwa dalasani na pia wenye uwezo mdogo na hata uwezo wa kawaida tu dalasani lakini pia wakaongoza...
Rais Trump wa Marekani anatarajiwa kukutana na Rais Zelensky wa Ukraine, siku ya leo, ikulu ya Marekani White House.
Jana, Rais Trump akisubiria ujio wa Rais Zelensky, alimsifia kiongozi huyo kuwa ni kiongozi jasiri, na kwamba anamheshimu sana.
Rais Trump, alipoulizwa kama yupo tayari kumwomba...
Wakuu,
Yaani Rais Samia unawapa kazi kubwa kweli chawa kukusafisha:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:, kila wakianza kupiga hatua kuanza kuondoa tope unaenda kuogelea kwenye dimbwi kabisaaa usionekane hata ukucha.
Yaani wanafanya maigizo ambayo yanakukandamiza wewe na kuzidi kuonesha picha...
Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja!
Modes naomba uzi huu...
Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao
Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa.
Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili...
Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli?
Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai?
Au wanahisi watadanganywa tena kama...
Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani viongozi wanasaidia kusimamia kanuni ambazo zimekubalika, na kanuni hizo haziwezi kusimamiwa na watu...
Mjasiriamali bilionea Elon Musk ameibua mvutano mpya na kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, akipendekeza kwamba Malema atangazwe kuwa mhalifu wa kimataifa.
Mvutano huu umetokana na video ya Malema akidai kuwa chama cha Democratic Alliance (DA) kinawaunga mkono...
Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za wapinzani wake kueneza kampeni chafu dhidi yake, ukweli unabaki palepale—hana doa la ufisadi, hana tuhuma...
Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa.
Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23).
Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini.
Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.