Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA”, iliyotekelezwa katika Kata ya Ketaketa na Kijiji cha Ketaketa, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro.
Programu hiyo imelenga kuwapa wananchi fursa ya...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA,” iliyotekelezwa katika Kata ya Lukande, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro.
Programu hiyo inalenga kuwapa wananchi fursa ya kueleza kero na changamoto...
Ndugu wanajamii,
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu
. Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na...
Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro.
Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa.
Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
bank
crdb
gharama
heche
igp
jeshijeshilapolisijeshilapolisi tanzania
kufuru
kuhusu
mange
mange kimambi
meza
mkuu
mkuu wa
polisipolisi tanzania
sawa
sio
statement
tanzania
vinywaji
wambura
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi
Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi...
Kama waungwana tunatoa pole. Basi na nyinyi tunawaombea mubadirike muwe Police Peoples Service and NOT Force.
Ikataeni falsafa ya Kifo ni Kifo.
RIP Kamanda.
Kuna mapungufu makubwa sana ya kimfumo na kiutendaji hadi kwa individuals, sasa hivi hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu...wanaweza kukufanya chochote.
Nashauri kabla ya Wananchi hawajaamua kujilinda dhidi ya majambazi haya ni muhimu sana hatua zikachukuliwa.
Kuna siku watoto wa Polisi...
Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT
Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi
Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi
Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
Wadau, hili jambo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara maeneo Bagamoyo Road na Morogoro Road.
Idadi kubwa ya bajaji zinazoingia na kufanya shughuli kwenye barabara kuu, hasa maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari, imekuwa ikichangia usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Tatizo...
Gestapo walikuwa ni kikosi cha siri ndani ya jeshi la polisi la serikali ya kinazi chini ya utawala wa Adolf Hitler.
Kikosi hichi kiliundwa mwaka 1933 na bwana Hermann Goring kwa kukusanya vikosi mbalimbali vya wanazi wenye msimamo mkali wa kisiasa na ule wa kuchukia jamii wa wayahudi...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeipokea na unaifuatilia taarifa iliyotolewa na Wakili Dickson Matata tarehe 31 Agosti 2026 kuhusu kushikiliwa kwa Godlisten Malisa baada ya kuwasili katika mpaka wa Namanga. Malisa alikuwa akirejea nchini akitokea Marekani kupitia...
Wakuuu someni AYA ya mwisho ya Waraka wa kijinga wa Polisi!!.
Juu wanasema uchunguzi ulifanyika, chanzo ni kukoswa hewa kwa kujinyonga, na kwamba Mwili umekabidhíwa Tayari kwa Ndugu Tayari kuzikwa kwa kusaidiwa na Polisi.
Hiyo Aya ya Mwisho, wanasema, Uchunguzi unaendelea !
Haya Majamaa ndio...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga.
Tarehe 27 Agosti 2026 majira ya saa moja na dakika tatu usiku, askari huyo alikutwa akiwa amefariki...
Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana wa miaka miaka 23, mkazi wa kijiji cha Bwakila Chini wilaya ya Morogoro.
Soma Pia: Jeshi la Polisi: Watu 130 wakamatwa kwa tuhuma za mipango ya kuchoma shule na kuua viongozi
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda?
Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika?
Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao.
Pia soma:
~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na jumla ya mita 14 walizoziiba usiku wa kuamkia Agosti 22, 2026 kwenye Mji Mdogo wa Himo.
Akizungumza na waandishi wa habari Mhandisi Kija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.