karibu

 1. Majan

  NIMAENEO GANI AMBAYO HUWEZI KUANBIWA KARIBU TENA.?

  Nidesturi ya sehemu nyingi kuambiwa "KARIBU TENA" baada yakupatiwa huduma fulani lakini maneo haya kamwe huwezi kuambiwa karibu tena nakama utaambiwa hivyo basi utahisi unatakiwa NUKSI ama UCHURO baadhi yamaeneo hayo ni (1):-MORTUARY (2):-KWAMUUZA MAJENEZA (3):-GEREZANI ongeza na ww sehemu...
 2. B

  Kujenga Kituo cha Mafuta karibu Shule imekaaje?

  Kuna Kituo cha Mafuta inajengwa karibu na Shule ya MOSHI fountain, iliyopo MOSHI BAR - MOMBASA -UKONGA Wilaya ya Ilala. Sheli ipo mbele nyuma kuna shule hii imekaaje kwa afya za hao watoto wanaosoma hapo. Pia, usalama wa hiyo shule. Mwenye uelewa na haya masuala sheli adadavue. Me naona kama...
 3. B

  Kama hujajenga na mshahara wako ni wa kuunga unga, usipite karibu na Tumaini ya Dar!

  Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa. Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu. Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au...
 4. Carleen

  Hivi tutawapoteza watu wetu wa karibu mpaka lini kisa Pesa.!?

  Hi guys, Kiukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA, Unazungumza na mtu...
 5. Ferruccio Lamborghini

  Karibu Dar es Salaam, njoo uyashuhudie

  JIJI linaitwa Dar es Salaam. Rapa wa Kimasai, marehemu Abel loshilaa Motika ‘Mr Ebo’ anaita Saridalama. Wenye mikogo wanatamka Das’lam. Watu na vifupisho, kuokoa nguvu na muda wanaita Dar. Jiji linaitwa Bongo, kwamba ukiishi ndani yake lazima ubongo wako uchangamke. Sifa za jiji ni kubwa mno...
 6. G

  Hodi karibu

  Nimeona nijikaribishe tu maana naona nachelewa naamini mtanipa usirikiano maana sijui chochote humu sijui kutag ndio nn tajifunza taratibu humu jf kuna mambo mengi sana hongera jf na member wote.nikikosea kuandika msijari mradi uelewe tu maana mambo mengine tumeshaayaacha shuleni huko.
 7. Kitomai

  Car4Sale Tunauza Magari aina Mbalimbali Nchini Tanzania

  10,000 Litres water tanker capacity with an automatic intake and off loading pump Manual Gear transmission Diesel engine Imported from Japan🇯🇵 PRICE IS 115 MILLION TSHS PLUS NEW REGISTRATION CALL 0784225000
 8. Tunzo

  Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

  Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
 9. MK254

  Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

  Japo haya mataifa tumekua watani wa jadi, ila hatukuwahi kufikia kwenye kilele cha chuki ambacho tumeshuhudia miaka michache ya hivi majuzi, hongera sana mama, binafsi nitaacha shughuli zangu ili tu nikuone hata kama wapambe hawataruhusu tukukaribie sisi akina Yahaya wa mtaani...
 10. K

  Gharama za vifurushi jamani zinaumiza Sana Tunaomba watawala Karibu kuliona ili kwani sisi wanyonge ndo tuna teseka.

  Vifurushi vina faida nyingi kwa kwetu Wana nchi wa chini . Kwanza ndipo chanzo Cha mapato, kwani Kuna wajasiliamali wanaotegemea vifurushi vya internet kufanya biashara zao. Pili wanafunzi wanaotegemea vifurushi vya internet kujisomea
 11. Analogia Malenga

  Waziri atoa rai kwa wanaoishi karibu na mbuga na hifadhi washauriwa wasilime maboga na matikiti kuepuka tembo

  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema wananchi wanatakiwa kulima mazao ambayo hayatawavutia tembo na wanyama wengine kufanya uharibifu. Tembo huvutiwa na maboga na matikiti. Ili kuepuka changamoto ya wanyamapori kuvamia mashamba na vijiji, vilivyo karibu na hifadhi za...
 12. P

  Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

  CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO Na Philipo Mwakibinga. 0758910403. Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
 13. Ramah eid

  Ndugu wa mbali ni bora zaidi kuliko ndugu wa karibu

  Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!! Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia...
 14. Red Giant

  Naomba kujua kwanini Special Economic Zones (SEZ) hazijengwi nyingine mikoani?

  Kwa Tanzania, Export processing zones authority(EPZA) ndiyo husimamia na kuendesha hizi (SEZ) special economic zones. Haya ni maeneo ambayo bidhaa huzalishwa kwaajili ya kuuza nje ya nchi. Mara nyingi huwa kunakuwa na punguzo kubwa la tozo. Mtu anaaigiza mashine na malighafi za viwandani bila...
 15. THE SHADOW ONE

  Karibu tukuhudumie kwa huduma ya nyumba yako (Wiring, kupaka rangi, kuweka CCTV Camera)

  Kwa huduma zinazohusiana na nyumba kuweka wiring bei nafuu, kupaka rangi za kisasa, kuweka CCTV Camera, Umeme wa Fensi, Alarm systems. Karibu sana tupo kanda ya ziwa mikoani tunafika. Hutajutia huduma zetu popote tupo. Biashara ni uaminifu huna haja ya kuni-pm.
 16. D

  Utumishi, Usahili wenu kufanyikia Dodoma, ni mzigo kwa waomba ajira. Wanatakiwa wawe na pesa ndefu ya kujikimu karibu laki tatu

  Sijui waziri husika hajaliona hilo au vipi. Vijana wetu wanaoomba ajira ni dhahili serikali haina huruma nao kabisa. Sera za ajira siyo rafiki kwa wasaka ajira. Leo hii unamuita kijana kwenye interview Dodoma, nafasi moja (one post) unaita watu 200 wakagombanie nafas moja kutoka mikoa ya...
 17. rosemarie

  Mwanamke aliyekaa karibu na CAG, says it all!!

  Mimi sikuwa muumini wa Magufuli, lakini naomba kuwaeleza kwa body language ya mwanamke aliyekaa karibu na CAG inasema yote Ripoti ya CAG imejaa siri nzito na siku si nyingi tutaona kuna nini nyuma ya hii report Huyo mama aliyekaa karibu na msoma repoti simfahamu lakini hisia zangu zinaenda...
 18. Infantry Soldier

  2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

  Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031? Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya. Uganda imetupa dili la bomba la...
Top Bottom