Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano.
Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
Habari ukisubiria kikao cha Kamati kuu CHADEMA tupitie hapa
Nilisema nitakuja kuwaelezea vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao mpaka leo wamemtia unyonge Putin pia warusi wenzetu wa pale Tandika kaburi 1.
Putin alisema lengo lake la kuivamia Ukraine ni kui demilitarize na...
Siku chache zilizopita nimetumia muda mwingi barabarani nikitumia usafiri wa Mabasi yanayofanya safari kati ya Dar Es Salaama na Arusha.
Hakika kuna mengi nimeshuhudia yanayokera mpaka unajiuliza ziko wapi Mamlaka zinazotakiwa kusimamia na kutoa miongozo, ina mana hawaoni haya?
Kati ya mambo...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 Wizara imetenga fedha kwa ajili ya kutoa ufadhili wa elimu ya juu (scholarships) kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo ya Sayansi.
Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dodoma...
WIZARA YAENDELEA KUIFIKIA MIKOA ISIYOFANYA VIZURI ANWANI ZA MAKAZI
Mkoa Wa Singida Wapewa Siku Nane Kujinasua Kabla Ya Uhakiki
SINGIDA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ametoa siku nane kuanzia tarehe 27/4/2022 hadi tarehe...
Habari zenu Wakenya
Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana.
Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi...
Nawaamuru wafuasi wa CHADEMA msome kwa makini sana huu uzi na muufanyie kazi.
Hivi karibuni kama mmefuatilia mwenendo wa kisiasa hapa nchini inaonyesha CHADEMA (Chama cha Mbowe) hakina matatizo mengi sana na wala watu wengi hawana ubaya nacho. Na pia inaonekana CHADEMA hawana visasi na watu...
"Nilishatabiri mapema tu kuwa Simba SC inacheza Fainali ya Shirikisho. Na hata hiyo Jumapili nakuhakikishia Simba SC anaenda Kumfunga Orlando Pirates FC na kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho. Simba SC ina Wachezaji wakubwa, wazuri, wanaofika na wanaweza Kukimbizana.
"Nimewaona Orlando Pirates FC...
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano,
Nipo hapa kuwakumbusha kauli inayotawala miongoni mwa watu, VIZURI HUWA HAVIDUMI. Nimelileta kwenu kutokana na mijadala inayoendelea ya kumuattack hayati JPM.
Wapo wanaoshangilia mpaka leo kuwa yule kuondoka ni kusudio la Mungu kuwaepusha na balaa...
Ukienda ofisi yoyote mpe heshima zote Secretary.mlinzi, wafanya usafi. Ikiwezekana mpooze hata na buku 5 tu. Hawa watu huwa wana mchango mkubwa sana katika kufanikiwa katika shughuli inayokupeleka hapo ofisini.
Mtaani kwako wape 500 au 200 za sigara hawa vijana wahuni wahuni. Hawa madogo huwa...
Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu.
Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
Watu hao waiuponda uongozi wa Simba in the name of mashabiki kindakindaki wa Simba. Nafkri wanajukwaa hasa ambao ni wanaSimba wenzangu, mtakuwa mashahidi kama nikisema mwenzetu GENTAMYCINE ana chuki binafsi na uongozi uliopo pale Simba, lila kukicha Uongozi wa Simba umefanya kosa hapa mara...
Pili Mwinyi
Bara la Afrika, ambalo lina watu zaidi ya bilioni 1.3, hivi sasa linakabiliwa na mtihani mkubwa wa baa la njaa. Mbali na sababu nyingine nyingi zikiwemo ugaidi na vita vya wenyewe kwa wenyewe, baa la njaa pia linatokana na ukosefu wa mvua unaopelekea ukame na hatimaye kuwa na uhaba...
HIARI YASHINDA UTUMWA ni moja ya msemo wa Kiswahili wenye hekima kubwa sana unaoonesha umuhimu wa personal integrity.
Ukiwa muadilifu, utakuwa na nidhamu ya kutekeleza wajibu wako bila kusukumwa wala kulazimishwa.
Kwa bahati mbaya sana, Watanzania kwa asilimia kubwa hatujalelewa kuwa waadilifu...
Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli.
Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu.
Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi.
Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola.
Changamkeni mtumie hii fursa.
Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu?
Celine Dion
Whitney Houston ( Rip)
Mariah Carey
Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda.
Love doesn't ask why
A new day has come
Tiririka hapa ni nani ulikuwa...