Habari za wakati huu wana-JamiiForums,
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti 2026 na msanii Rocha Maria umeacha alama ya kipekee sana. Huu sio wimbo wa kuburudisha tu, bali ni...
Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana,
Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza.
Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?
au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
Jitihada za kibinadamu zimeleta matokeo makubwa baada ya mfanyabiashara na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Niffer, kufanikisha ukusanyaji wa Shilingi milioni 111 kwa ajili ya matibabu ya mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Najath Ibrahim, anayesumbuliwa na tatizo la figo.
Najath...
Haya maisha ya kuishi ki huni huni hayana maana.
Nitafanya ibada saana,
Fanya mazoezi sanaa.
Ongeza muda wakulala.
No fegi...no kilevi chochote.
Kunywa maji kwa wingi.
NO SExiiii
WATU:...eeeeeehh!! we mzee toka apa acha fixii
Leo Chuo kimetoa majibu kuhusu appeals zilizowasilishwa na wanafunzi mbalimbali, wakiwemo wanafunzi wa Shahada za Uzamili (Masters). Kwa masikitiko makubwa, wanafunzi wote 295 waliowasilisha appeals wamejulishwa kuwa maombi yao yamekataliwa kwa sababu hayakuonekana kuwa na hoja za msingi...
Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso
kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
WAKUU, KUNA WAKATI MAISHA YANAKUFUNDISHA KIMYA KIMYA...
Kuna kipindi mtu anafika mahali anaacha kulalamika kuhusu maisha na anaanza kujiuliza maswali mazito.
Kwa nini mtu mmoja anaanza maisha akiwa na kila kitu, mwingine anaanza akiwa hana hata pa kushikilia?
Kwa nini wengine wanapata fursa...
Salaam
Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi,
Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu...
Kijana MWENZANGU acha kukata tamaa maisha yanawezekana ni kuamua na kusimamia ndoto zako.
Nilimaliza form 4 mwaka 2017 ndoto zangu ni kuwa doctor lakini matokeo yalipotoka Aiseee sikuamini nilipiga 4 ya 28 ingawa masomo ya sayansi nimepiga D zote. Nikawacheki wazazi nikawaomba wanipeleke chuo...
Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu.
Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu.
Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha?
Unamhitaji Yesu ndugu...
Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality.
Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi yuko Sehem sahihi?
Unaingia kula chakula sehemu meza hazijapangiliwa, maji ya kuna wa mtu kaweka...
Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme.
Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani?
Kama huna connection subiri matangazo ya kazi ya SEKRETERIETI YA AJIRA, na hicho Kiingereza chako...
Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara.
Lakini kuna wakati maisha yanapofika kwenye fursa, uraia na umiliki, tofauti inaanza kuonekana.
Mtoto wako na...
HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani
Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo.
Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani.
Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu.
Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
Mfano unapoteza kazi,madeni,huna hata mia mbovu,unahit rock bottom huku una wategemezi
Na pengine unaingia kwenye ulevi ama uraibu wa madawa unageuka teja
Kiasi kwamba ukiangalia Hadi kuinuka Tena kurudi kwenye mafanikio ni safari ndefu ngumu
Lakini Cha kishangaza umesonga mbele na kuinuka Tena...
🏠 MDau ameuliza:
“Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?”
Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇
Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja.
Kwa nini...
Hebu fikiria kitu kimoja.
Kama binadamu asingekufa, maisha yangekuwa na thamani ileile?
Nadhani jibu ni hapana.
Tunathamini muda kwa sababu una mwisho.
Tunathamini ujana kwa sababu tunajua utapita.
Tunathamini watu kwa sababu tunajua siku moja wanaweza kutuacha.
Tunathamini maisha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.