kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kampuni zenye mabasi ya Scania kutoka kiwanda cha kuunda mabodi Gemilang

    Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi huwekwa kwenye chasis za Scania. Kampuni maarufu za usafiri nchini zilizowahi au zinazoendelea kutumia...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Bila janja Janja, watengeneza sukari Tanzania ni Hawa hapa; Huyu Tajiri analima wapi na anatengenezea wapi? Au ni winga?
  3. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kutengeneza Misumari

    Habari wanajukwaa. Wakuu natambua humu kuna wajuzi wa mamb mbali mbali. Nina dhamira ya kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote. Ninaomba nipate mtu anaejua biashara hii, anaweza kuwa bisness consultant wangu ili niweze kushindana sokoni. Ninafikiria kuanza na mikoa mitatu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je mkataba wa kujenga kiwanda cha usafishaji Tanga ni kweli au utapeli

    Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi 133 wa Lamu waipeleka Serikali Mahakamani kupinga ujenzi wa kiwanda cha Dangote hadi pale watakapolipwa fidia

    Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote. Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
  7. the ostrich eggs

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Vioo

    Habari wakuu... Baada ya pilika pilika za siku nimeona fursa ya kuanzisha kiwanda cha Vioo vya kujitizama... Hapa Kahama Naweza vipi pata marighafi na maganga mzuri wa jadi kuzindika kiwanda changu kisife? Ili kusupport Sera ya Serikali ya Viwanda Tanzania.. Mtaji $300,000 tu
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane awekeza kwenye kiwanda cha embe (Mango plant) kijijini kwake Bambali

    Sadio Mané: Ameendelea kujenga maisha ya watu Bambali Alizaliwa katika kijiji kidogo cha Bambali, Senegal, akaanza safari yake ya soka kwenye mazingira ya kawaida kabisa. Amewahi kuichezea Southampton, Liverpool, Bayern Munich na sasa Al-Nassr, akishinda UEFA Champions League, AFCON na kuwa...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Burkinafaso wamejenga kiwanda cha kuzalisha sare za jeshi cha dola milioni 30

    Wameamua kuzalisha sare zao wenyewe kutoka kwenye pamba wanayolima wenyewe. Wanatarajia kuzalisha sare za majeshi na nguo za kiraia. Sasa hivi tutaona wanauza nje sare za kijeshi. Wanapunguza import na kuongeza ajira nchini mwao. Kila la kheri kwao.
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unga Unaonunua Ni Halisi? DCI Yafichua Kiwanda cha Siri cha Kupakia Unga Unaodaiwa Kuwa Bandia Kasarani

    DCI imevamia godown moja Canaan, Kasarani, na kufichua kile inachodai kuwa operesheni kubwa ya kupakia upya unga wa mahindi kwa kutumia vifungashio vinavyofanana na vya brands maarufu nchini. Watu saba walikamatwa katika operesheni hiyo ya Septemba 15. Ndani ya godown, detectives walipata...
  11. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha toys midoli

    Habarini anaefahamu kiwanda cha toys midoli ya kuchezea watoto au anemfamu saplaya mkubwa naomba msaada tafadhali
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kiwanda cha Condom, vikinga Ukimwi+STDs na dawa za kuzuia harufu mbaya kwenye papuchi

    Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni 1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3) 2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/= 3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Serikali ichunguze kwa kina kiwanda cha Lindi graphite technology.

    Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo: 1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini. 2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi. 3. Mazingira ya eneo la kulia chakula ni mabovu na chakula hakina ubora wa kutosha na hawana wataalamu wa upishi wala bwana...
  14. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania UKWELI NI UPI KUHUSU HIKI KIWANDA CHA BAKHRESAA

    Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu ila mziki wake utapenda we na roho yako Picha linaanza .Unakimbia na roba la kilo 50...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    My Take Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥 Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇 https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
  16. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mchele

    Habari Tanzania !... Kwanini hatuna kiwanda cha kuchakata mpunga kuwa mchele yaani ile Heavy Rice Mill ambazo aidha ziwe kikanda au kimikoa. Hapa nachochea hali ya kuwa na uwezo wa soko kubwa na upatikanaji wa bidhaa kirahisi na bei za mchele uwe kitonga. 1. Ajira za moja kwa moja zitakuwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wanaofanya kazi ya kununua mchele kwa ajili ya Wilmar Rice wanateseka sana kwa mishahara duni na mazingira magumu ya kazi

    Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania kilichopo Morogoro. Kuna mmoja kati yao ambaye nimekuwa nikimdai fedha tangu alipofika huku. Alikuwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited - Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, hatuna mikataba, bima wala likizo

    Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba baada ya miezi 6. Tulipata ajira Mwaka 2023 na wengine 2024 lakini hadi leo Julai 2026 ahadi hiyo...
  19. Aen Urner

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha TanChoice Limited

    Kuna interview nimeitwa hapo kiwandani, mwenye idea na hicho kiwanda kuhusu hali ya maisha (huduma muhimu) huko, nimeambiwa kipo kibaha, vipi kuhusu utamaduni wa kampuni husika kama unafanya/ulishawahi fanya hapo kazi n.k Mawazo/michango yenu inahitajika Karibu.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kidogo Cha mafuta ya kula

    Wakuu habari za Leo naombeni msaada mwenye taarifa zozote juu ya mtaji, gharama za mashine, malighafi Kodi na tozo zote za serikali anisaidie hapa zinazohusiana na kiwanda kidogo Cha mafuta ya alizeti Natanguliza shukrani 🙏
Back
Top Bottom