mkandarasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Mkandarasi Mwalyambi kutolipwa, TANROADS yasema 'Serikali haiwezi kufanya malipo kwa msingi wa madai bila kazi husika kuthibitishwa'

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA NDG. ODWEN MWALYAMBI WA M/S RUHAMA TRIPPLE THREE JUNIOR ENGINEERING KUHUSU BARABARA YA KAWAJENSE -UGALLA-MNYAMASI Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imefuatilia taarifa na malalamiko yaliyotolewa na Ndg. Odwen Mwalyambi wa M/s Ruhama Tripple...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpogolo ampa mkandarasi siku 14 amalize kumwaga lami! TAKUKURU, TARURA kufuatilia

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amemtaka Mkandarasi China Wu Yi Construction kuhakikisha anakamilisha hatua ya kumwaga lami katika barabara muhimu inayopita eneo la Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya siku 14, huku akimtaka Meneja wa TARURA Wilaya ya Ilala kusimamia utekelezaji...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi: Mkandarasi wa Songea - Masasi amelipwa Bilioni 33 lakini kilichopo site hakiendani na fedha

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ametoa onyo kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Songea hadi Masasi kupitia Tunduru kilovoti 220 na kumtaka Mkandarasi huyo kuongeza kasi ya utekelezaji wa Mradi ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati uliopangwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Waziri Ulega atoa miezi mitatu kwa Mkandarasi wa Barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100) kukamilisha Kilemeta 50

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100), kuhakikisha wanakamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kuufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi na kuunganisha Wilaya mbalimbali za mkoa huo. Ulega ametoa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tanroads na Mkandarasi wa Barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji Kushindwa Kutekeleza CSR badala yake kusababisha Kero kwa Wakazi wa Mtaa wa Tumaini

    April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi. Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Ni kweli Mkandarasi wa Mradi wa Mwendokasi Mwenge - Tegeta anasuasua, Serikali imechukua hatua za Kimkataba

    Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi? UFAFANUZI WA TANROADS: Serikali kupitia TANROADS inatambua...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda: Mkandarasi anayejenga Soko la Kirumba - CHINA RAILWAY GROUP ameanza kuingiza malipo ya NSSF ya Watumishi wake

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums aliyelezea kuwa Mkandarasi raia wa China anayejenga soko hilo hawasilishi michango ya Wafanyakazi wake katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Mtaka amesema “Ukweli ni kuwa kampuni hii tangu kusajiliwa na...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Tumerekebisha bomba lililopasuliwa na Mkandarasi Keko Juu na huduma imerejea

    Ufafanuzi na hatua zimechukuliwa na mamlaka husika ya maji muda mfupi baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuandika “Wakazi Keko Juu tuna shida kubwa baada ya Mkandarasi kukata mabomba ya maji kwa takriban wiki nzima." Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MTUWASA: Maeneo ambayo hawajapata maji Mbae Mashariki, Mkandarasi yupo site kuongeza Mtandao wa maji

    TAARIFA KWA UMMA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu maunganisho ya huduma ya maji Mbae Mashariki. Hoja ya Mdau ~ Wakazi wa Mbae (Mtwara Majini) tumeomba...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TANESCO, Twange aeleza kutoridhishwa na kasi ya Mkandarasi wa Mradi wa Hale, Tanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange ameeleza kutoridhishwa na kasi ya mkandarasi anayetekeleza mradi wa maboresho ya Kituo cha Kufua Umeme cha Hale kutokana na kuchelewa kukamilika kwa Mradi huo ulioanza kutekelezwa tangu mwaka 2022. Bw. Twange ameyasema hayo leo Mei 22, 2026 wakati...
  11. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Hekari 25 zafungua njia ujenzi wa kambi ya mkandarasi kipande cha saba

    Wananchi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wajitokeza kushiriki zoezi la utwaaji wa ardhi ili kupisha ujenzi wa kambi ya mkandarasi Mradi wa Kimkakati wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha saba kutoka Uvinza hadi Malagarasi. Zoezi hilo ambalo limesimamiwa na timu kutoka Shirika la Reli Tanzania...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa barabara ya Sinza Madukani -miradi ya DMDP unasuasua; mkandarasi alichimba barabara na kuiacha, sasa imekuwa kero

    Wakazi wa Sinza Madukani wanakabiliwa na kero kutokana na kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya kutoka Sinza Madukani kwenda Namnaan Hotel, baada ya barabara hiyo kuchimbwa na kuachwa katika hali ya matope na madimbwi kwa takribani miezi mitano. Inaelezwa kuwa barabara hiyo ni miongoni...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mwenge - Tegeta ajitahidi kumwaga maji. Atatuua kwa vumbi

    Hebu Tusaidie kupaza sauti Mkandarasi anayejenga Barabara kutoka Mwenge Mpaka Tegeta a jitahidi kumwaga maji atatuua kwa vumbi.
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

    Kuna baadhi wanadai ni kile chama cha majambazi lakini kiuhalisia hakina akili kubwa namna hiyo.. Maana chenyewe kiko hoi bin taaban chali kabisa Haya ni matukio yakuja na kupita Yapo Yalikuwepo Na yatazidi kuwepo Baadhi ambayo yaliwahi kuvuma sana ni Mtu joka wa buguruni TV za kumuona nwizi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tenda za Zabuni za Taka, Kata ya Miburani hazijafunguliwa toka Mwezi Oktoba 2025. Mkandarasi apewa mkataba kinyume na taratibu za vikao

    Mkandarasi mwenyewe wa TAKA Kata ya Miburani ameshindwa kufanya kazi na kuna Hatari ya Magonjwa ya Mlipuko. Mchakato wa tenda umeingiliwa na wanasiasa
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mkandarasi aliyepewa mradi wa umwagiliaji Karatu na hajatekeleza, anyang'anywe pasipoti na ashikiliwe mpaka atapike pesa zetu

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameyasema hayo wakati akiwa Karatu
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tuliona tunasumbuana na Mkandarasi wa Mradi wa Imalilo tumeamua kuuendeleza na Wataalam wa ndani

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
  19. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi Kings Ltd tengeneza njia mbadala unapojenga barabara

    Hili ni kumbusho kwamba Kings umeshinda tenda zote za ujenzi hapa dsm onesha uwezo wako kwa ujenzi wa barabara kuwa wa viwango na uishe kwa wakati kwani umezua taharuki kubwa hasa maeneo ya kilongawima mpaka mbezi jangwani beach. Ni takwa la. Kisheria na kitendaji unapochepusha barabara basi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tumwambie Mwigulu, anapodai mikataba imwelekeza mwekezaji na mkandarasi jambazi atumieje hela yake, hiyo ni nonsense na wazimu

    Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu??? Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi. Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na hela yake na kishakupiga. Huyu knucklehead ni mkenge mkubwa tumeingia. Umeuza rasilimali ya nchi au...
Back
Top Bottom