Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges.
Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji.
Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview.
Msikilize Peter Madeleka, Wakili
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026.
Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
Wakuu umuofia kwenu!
Nawasilimu kwa jina la Tanzania......
Leo Watanzania wameionyesha dunia kuwa sio "cheap"
Watanzania huwa hawashirikiani na jambo wasilolijua mzizi wake, unaweza ukawanunua/wadanganya baadhi kwa mara ya kwanza ila hawawezi kurudia kosa!
Kongole na kazi iendelee
Nirudi...
Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza kufanya mitihani hii.
Katika mitihani hii, chochote kinaweza kuulizwa hata kile ambacho hujasomea. Hata...
Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka!
Tangu zamani...
Mazingira ya kutoroka kwa David Joseph Mghanja (Djumbe), msaidizi wa karibu wa Tundu Lissu, usiku wa Mei 20, 2026, yamevuka mipaka ya akili ya kibinadamu.
Wengi wanajiuliza: Je, kuna nguvu gani ya ziada inayotembea na watu walio karibu na Lissu?
Tukio hili linaashiria uwepo wa "Ngao ya...
Nasikia kwamba Msaidizi wa Lissu aliyedaiwa kukamatwa akiwa nyumbani kwake maeneo ya Bunju amerejea akiwa na pingu.
Je, nani walikuwa wamemkamata ? Amefikaje nyumbani akiwa na Pingu?
Pia soma:David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) adaiwa kutekwa
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa...
Katika pitapita zangu fb mara nikakutana na video ya Vicky Kamata kajipost facebook kwenye page yake akiuza sura na gwanda ya Tawa akiwa kwenye gari akielekea kwenye majukumu yake maana kwa sasa ni kamishina msaidizi mwandamizi TAWA
Aisee kucheck comment watu wanaponda balaa ila na mimi kwa...
Mwa 2:18
BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mk 10:8
na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
Kila mtu ana maamuzi yake na mtazamo wake na mapenzi yake na uhuru katika kufanya mambo yake bila...
Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula
Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
Kutoka Makumbusho ya Taifa
Kabla ya vita vya Majimaji na kufahamika kwa mashujaa mbalimbali katika mji huu wa Songea eneo hili lilikuwa linafahamika kama mji wa Ndonde, jina hili la ndonde limetokana na kabila la watu walioishi mwanzoni kabla ya ujio wa wangoni katika eneo hili waliofahamika...
Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
Mwenye hits zozote kuhusu written ya interview kuhusu kada tajwa hapo juu tunaomba uje hapa ikiwezekana kama tutakuwa wengi tuanzshe ata group whatsapp nipo tayari, Asanteni..!!
Huyu mzee anajua kilemba chake sasa ndio kimebaki baada ya manyuklia kusambaratishwa, ameingia mitini, anaongea kwa kupitia msaidizi, hataki kuwahishwa kwenda kwa mabikira.
Hezbollah supporters organize a demonstration in support of Iran as it continues its mutual attacks with Israel, in...
Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na uangalizi wao.
Hayo yamesemwa Juni 02, 2025 na Polisi Kata ya Ipunga, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.