Geita: Auawa kwa kupigwa risasi wakati akichanja kuni kwenye hifadhi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia Askari wanne wa maliasili kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Semeni Hamisi (34), mkazi wa Kijiji cha Nyamigota, Kata ya Nyamigota, baada ya kukutwa ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Samina akiokota kuni za matumizi ya nyumbani.

Mkuu wa Wilaya ya Geita, Cornel Magembe amesema miongoni mwa watu wanaoshikiliwa yupo pia mwananchi mwingine aliyekuwa miongoni mwa watu walioingia kwenye hifadhi ambaye baada ya mahojiano hatua za kisheria zitafuata dhidi yake.

Chanzo: Global TV
 
hIzo sheria zimetungwa na serikali dhwalimu.

Sheria za namna hIyo ziko nyingi zikiwamo hata ukikamatwa na madini au zinazoitwa nyara za serikali bila kujali hata kama umeziokota.

Kwamba kunazilizoitwa njia kuu za uchumi kuwa haramu mwananchi kuzimiliki?

Bila mzizi wote wa fitina kutinduliwa? Huku vikiwamo vyama vya upinzani tukikenua?

Bado tupo tupo sana.
 
Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia Askari wanne wa maliasili kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Semeni Hamisi (34), mkazi wa Kijiji cha Nyamigota, Kata ya Nyamigota, baada ya kukutwa ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Samina akiokota kuni za matumizi ya nyumbani.

Mkuu wa Wilaya ya Geita, Cornel Magembe amesema miongoni mwa watu wanaoshikiliwa yupo pia mwananchi mwingine aliyekuwa miongoni mwa watu walioingia kwenye hifadhi ambaye baada ya mahojiano hatua za kisheria zitafuata dhidi yake.

Chanzo: Global TV
Bila Katiba Mpya na Tume huru Huu unyama hautaisha

Na wanaohendekeza unyama huu hawataki kusikia Katiba Bora.

Rest in Peace Mwamba
 
Mijizi ya rasilimali zetu, ina haki kuua,kuning'iniza, kusafiri wanyama wakiwa hai toka hifadhi zetu! Maskini anayetafuta kuni for survival, hana haki nchini make!

Afu watatokea mataahira wanasifia royo tua! Shame!
 
Ila Askari wa maliasili ni km wamevurugwa vile, sijui wakojee yaan.
Nawachukia had baas. Mfyuuuh zao.
Dawa Yao inakuja ngwalangwala atakaporudishwa kwenye wizara yake.
Watatembezwa kwa magoti Hadi watie akili.
 
Wazazi mnaowapeleka Watoto wenu kusomea u-askari game na mnalipa ada zenu muwe makini sana maana Askari gemu nusu wazima nusu wendawazimu sijui huko wanalishwaga nini wanajua wenyewe 🙌
 
Back
Top Bottom