zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. sepema

    JamiiForums Tanzania Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

    Niende tu kwenye mada kwani kichwa imevurugika hata sielewi. Nilifunga ndoa ya kanisani miaka kadhaa nyuma. Baada ya kama miaka mitatu yandoa tukashindwana kila mtu akawa na maisha yake. Mwaka jana nikafunga ndoa ya serikali na mke mwingine bila kuvunja ile ndoa ya kwanza. Tatizo limekuja baada...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania kuna watu wanajiona wakamilifu kama wao wapo zaidi ya wengine.

    Hii tabia nimeona sana kwa watu hawa. Mtumiaji wa soda ni hakimu wa mtumiaji wa pombe. Mwenye imani tofauti na mwenzake ni adui yake. Maskini ni adui wa tajiri na tajiri ni adui wa maskini.
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya waTz zaidi ya milioni 70 waliopo sasa, ikitokea hata waTz milioni 10 wakasusia jambo fulani mathalani uchaguzi hapatakua na athari zozote

    Kwasababu, idadi ya ambao hawatasusa inatosha kabisa taifa kumove on bila ya changamoto yoyote kama ilivyo sasa. In fact, Idadi hiyo ya waTanzania, inafanya taifa kufocus zaidi na mambo yajayo kuliko kubabaika na porojo au misimamo isiyo na tija ya ving'ang'anizi ambao wanajipa umuhimu na...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

    Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda Hallelujah Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe vibali kwa mabasi ya masafa marefu ya abiria zaidi ya 40

    Kwa barabara zetu hizi nyembamba na mbovu sana ni hatari sana haya mabasi yanayobeba abiria 55 mpaka 60, yanakuwa hayako stable barabarani na ajali zikitoea watu wengi sana wanakufa. Serikali sasa isiruhusu tena mabasi ya abiria zaidi ya 40 safari za masafa marefu.
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, kutakuwa na viwanda vya Satelaiti na tutarusha Satelaiti aina ya Mega Constellation 15,000 na Geostationary Earth Orbit(GEO) satellite 30

    Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo Geostationary Earth Orbit (GEO) satellites hizi satellite ambazo hutumika kwenye telecommunication, weather...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna njia yoyote nyingine ya kumtengeneza mtoto bora zaidi ya ukaribu na mtoto ila ule ukaribu ambao sio wamazoea bali ule uitwao SECURE ATTACHMENT.

    Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake. Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  9. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha nguo Sinovest Industry Bagamoyo cha zalisha zaidi ya ajira 10,000

    Mradi wa Sinovest Industry katika Bagamoyo Special Economic Zone (BSEZ) unaendelea kwa kasi, ukiwa na uwekezaji wa Dola milioni 50 na eneo la mita za mraba 210,080. Kiwanda hicho kinatarajiwa kuzalisha bidhaa mbalimbali za nguo ikiwemo jezi, T-shirt na boxers, huku tayari kikiwa kimezalisha...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini ndio yenye Mabilionea wengi Watanzania wenye utajiri zaidi ya bilioni 100+

    Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100 Silvestery Koka SF Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80 Ernest Massawe Erncon Holding Tol...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Jaguar Wamezindua rasmi Jaguar Type 01 GT ya Umeme. Very Luxury ila Expensive!

    Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP. Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD. Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h. Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wamefanya zaidi ya Tulia na Makinda

    Ukiangalia hawa madada wamefanya zaidi ya hao masipika ambao wamepitisha sheria nyingi za kukandamiza demokrasia , kutuletea uchawa na umasikini mkubwa ambao unatokana ma mfumo mbaya wa ubinafsi. Kumbe sio lazima uwe mwanasiasa kuweka kuleta mabadiliko na misukomo ya kimaendeleo na demokrasia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania unachopitia baada ya kulipiza kisasi (Revenge), Ukipewa nafasi ya kurudia utafanya maamuzi yale yale ?

    Ukipewa nafasi ya kurudia maisha yako, ukarudishwa kwenye ule muda ambao uliamua kulipiza kisasi… 👉 Utafanya maamuzi yale yale? Au leo, ukiwa umeona madhara yake, ungechagua kusamehe, kuondoka, au kunyamaza? Hebu sema ukweli bila kuogopa kuhukumiwa: Ukipewa nafasi ya pili, ungefanya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi yetu ya uhamisho Halmashauri ya Busokelo – Mbeya yanasoma TAMISEMI, zaidi ya miezi 6 hakuna majibu

    Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona. Mwaka jana 2025 walitoa ujumbe kwenye account zetu za ESS kuwa wanaotaka kuhama kuwafuata wenza wao waandike...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania IPU Arusha: Zaidi ya Mkutano wa Bunge

    #IPU Arusha si mkutano tu wa viongozi wa mabunge. Ni diplomasia. Ni fursa za kiuchumi. Ni utalii. Ni utamaduni. Na kwa Tanzania… Ni nafasi ya kuonesha dunia kile ambacho nchi hii inaweza kufanya. #IPU2026.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya asilimia 90 ya Wanandoa sio wenza wa ndoto zao.

    Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline. Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
  18. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa wa Saratani wakutana Dar kujadili hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo

    Madaktari Bingwa wa Saratani na wataalamu mbalimbali wa matibabu ya ugonjwa huo, wamekutana Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa kujadili maendeleo na hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo tishio duniani. Akizungumza katika Mkutano huo, Rais wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa Watanzania wana roho za kichawi

    Kila nikiwaza, nabaki kusikitika tu. Uongozi wa Magufuli, ambao aliuita serikali yake “serikali ya viwanda”, tangu alipofariki hakuna hata media moja kati ya zile zilizokuwa zikimpigia promo na kuitakasa serikali yake inayoweza kukuonyesha hata viwanda vitano tu vya enzi ya Magufuli. Wananchi...
  20. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WATANZANIA 2 WALIOKAMATWA MOMBASA KWA KUDUWAZA ABIRIA NA KUWAIBIA KUZUILIWA SIKU 21 - Mali ya Zaidi ya Sh2M Yadaiwa Kuibwa

    Mahakama ya Mombasa imewaruhusu Polisi kuwazuilia kwa siku 21 raia wawili wa Tanzania wanaoshukiwa kuhusika na madai ya kuwaduwaza abiria wa mabasi na kuwaibia mali zao. Uamuzi huo unawapa wachunguzi muda zaidi wa kukamilisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo linahusisha mali yenye thamani ya zaidi...
Back
Top Bottom