kuzunguka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nani anahusika kuratibu na kugharamia wasanii wa DSM kuzunguka kutoa burudani kwenye mkesha wa Mwenge? Hizi fedha zinapitishwa na bunge?

    Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye mkesha wa Mwenge? Je hizi fedha za kuwalipa zinatokana na bajeti inayopitishwa na bunge? Mbona...
  2. Kang

    Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako. Fanya backup! Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote. Tahadhari na factory reset...
  3. Ritz

    Yemen inalazimisha meli za Israel kuzunguka Afrika kupata hasara kubwa ya kiuchumi

    Wanaukumbi. ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸 Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba, "Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji...
  4. O

    Adaiwa kumuua mkewe kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe

    Polisi wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wako katika uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kutoka eneo hilo aliyedaiwa kumuua mkewe, kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe. Tovuti ya NTV ya nchini humo imesema mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 46 anadaiwa kutekeleza mauaji hayo kwa...
  5. R

    Nchi inaweza kuendelea kwa viongozi kuzunguka Duniani kuomba fedha?

    Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
  6. Chizi Maarifa

    Huyu Demu alinifanyia Mupe Muruke akidhani Dunia imeishia pale kuzunguka.

    Alijiona mjanja akawapa K jamaa zangu wawili... Nami siku flani nikawa na njaa nikategemea nami angeni poza akanitolea mbavuni. Akaniruka. Ila next week yake alipokuwa na jamaa wakanywaaa weeeeee akaenda akampa jamaa. Iliniuma sana. Kila nilipokuwa nikifikiria machozi yalikuwa yananitoka kuwa...
  7. EvilSpirit

    Three phase motor kuzunguka Anticlockwise

    Habari za leo Motor ya 3 phase inazunguka kuelekea upande tofauti na unaotarajiwa(Anticlockwise) hivyo kushindwa kufanya kazi inayotakiwa kufanya. Ni connection gani ifanyike au marekebisho gani yanatakiwa ili iweze kuzunguka kawaida(clockwise)
  8. chiembe

    Chalamila, badala ya kuzunguka Mkoa wa Kagera ukilalamika na kuzogoa, tafuta Suluhu, vinginevyo wapinzani unawapa njia, shirikiana ujue tatizo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo. Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda anaotumia kushambulia na kulalamika, hautasaidia lolote. Kahawa imekufa, sawa, lakini kina zao la...
  9. R

    Anayejua bei za nguzo za(Seng'enge) kuzunguka plot /kiwanja sehemu za Kijichi - Kigamboni

    Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele. Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
  10. JanguKamaJangu

    China yaanza mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ili kutoa onyo kwa Marekani

    China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan. China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine...
  11. Nguku Wakabange

    Nguruwe wangu ametokwa na mapele kuzunguka titi

    Habari za hapa wanajamii forum!! Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti yalipo anza ukigusa mengine magumu na mengine malaini lakini hayatoi usaha na cha ajabu sahivi...
  12. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu: Kama Mtu anataka kuhama Ngorongoro, Serikali itamuhudumia

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la idadi ya watu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ni kubwa, hivyo kama kuna watu watakaotaka kuhama kwa hiyari serikali itawahudumia. Pia amewataka wakazi wa Ngorongoro wasiwalazimishe watu watu kubaki kwa kuwa...
  13. B

    Wateule wa Rais katika idara na Wizara wanatuhumiwa kutumia siku 14 kila mwezi kuzunguka mikoani

    Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji. Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
Back
Top Bottom