miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Southern Highlands College Mbeya Yatumia Vyeti Vyetu Kupata kibali cha kozi ya "Utabibu wa Kinywa na Meno" NACTVET, Yagoma Kutulipa Miezi 6 sasa

    Mnamo mwishoni mwa mwezi Februari 2026, uongozi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Southern Highlands kilichopo Iyela-Mbeya uilitangaza kuwa wanahitaji Madaktari wa upasuaji wa Kinywa na Meno kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa Stashahada ya Utabibu wa Kinywa na Meno (Diploma in Clinical...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya selcom inauzwa Ina miezi 4

    Mashine mpya Bado ,lk 250,000 unachukuwa mzigo sababu za kuuza Mgonjwa
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha tumepitisha miezi miwili bila kulipwa mshahara

    Kuna Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha ambao wamekuwa wakifanya kazi zao kama kawaida lakini wamekaa miezi miwili bila kulipwa mishahara. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapoulizia malipo yao, baadhi huambiwa, “kama hutaki kufanya kazi, acha kazi.” Hali hii inawaweka wafanyakazi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wananichanganya kuhusu madai yangu, naambiwa nisubiri miezi 18

    Mwaka 2025 nilifungua madai ya mafao ya kukosa ajira NSSF wakanipa 33.3% mwisho ikawa ni mwezi wa 11 kuingiziwa sasa Januari 2026 nilifanya kazi kwenye taasisi Fulani na mwezi wa Tano nilimalizana nao (yaani nimefanya kazi kwa muda wa Miezi mitano) sasa kwa mujibu wa Taratibu za NSSF mpya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi yetu ya uhamisho Halmashauri ya Busokelo – Mbeya yanasoma TAMISEMI, zaidi ya miezi 6 hakuna majibu

    Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona. Mwaka jana 2025 walitoa ujumbe kwenye account zetu za ESS kuwa wanaotaka kuhama kuwafuata wenza wao waandike...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Malasusa nia yako ni kuiua Chuo Kikuu Tumaini Makumira, miezi 3 wahadhiri na wafanyakazi hawajalipwa mishahara, mnategemea wanaishije?

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kipo mkoani Arusha, kilikuwa chuo kizuri sana na kilishawahi kuwa ndani ya vyuo vikuu 10 Tanzania. Chuo kikuu hiki kimelea vyuo vikuu vishiriki ambavyo sahv ni vyuo vikuu kamili km University of Iringa, KCMC University, Dar Es Salaam Tumaini University(DarTU)...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ukiendesha gari wakati umefungiwa leseni miezi 6, utafungiwa miezi sita mingine na faini ya Sh500,000 au jela mwaka mmoja

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Aweso: Ndani ya Miezi mitatu mradi wa maji Ngorongoro ukamilike

    Mkandarasi anaetekeleza Mradi wa Maji wa vijiji Nane Ngorongoro ametakiwa kuhakikisha ndani ya miezi mitatu Mradi huo umekamilika na unaanza kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa vijiji vya Ng'arwa,Mageri, Tinanga, Olorieni, Magaiduru,Mgongo,Yasi na Mdito. Waziri wa Maji Mhe Jumaa...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya Madini Yafikia TSh Trilioni 7.78 ndani ya Miezi Sita tu

    Sekta ya madini Tanzania imeendelea kuimarika, huku mauzo ya madini yakifikia TSh trilioni 7.78 katika miezi sita ya kwanza ya mwaka, hatua inayoonesha kuongezeka kwa shughuli za uchimbaji, biashara na uuzaji wa madini. Sekta hiyo pia imeendelea kuwa chanzo muhimu cha mapato ya Serikali na fedha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa muda Hospitali ya Halmashauri Musoma DC hawajalipwa mishahara ya miezi mitatu

    Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma DC kuna wafanyakazi wa muda (temporary) hawalipwi mishahara yao zaidi ya miezi mitatu, na hata wakilipwa baada ya miezi hiyo wanalipwa mwezi mmoja. Kila wakijaribu kufatilia wanatishiwa kufukuzwa kazi, wakimueleza Mganga Mkuu na DMO wanaambiwa...
  12. madubakito

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa PostGraduate UDOM tulitoa hela za extension na sasa wameweka grace period, ila hawataki kurudisha fedha

    Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo. Hata hivyo, mwaka huu chuo kimetangaza kuwa grace period ipo kwa muda wa miezi mitatu. Changamoto ni kwamba sisi tuliolipia extension...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED DAWASA warekebisha bomba karibu na Kituo cha Daladala Gongo la Mboto lililovuja zaidi ya miezi miwili

    Baada ya Mwananchi kuwasilisha hoja Mtandaoni kuhusu tatizo la maji kutitirika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeshughulikia changamoto hiyo. Mafundi wa DAWASA wamefika eneo la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  15. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

    Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu). Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi. Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi. Moderator...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo, Wilaya ya Ilala kinachukua muda kushughulikia leseni

    Kero yangu ni Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo (SME), Wilaya ya Ilala. Kimekuwa kikichukua muda mrefu sana kushughulikia maombi ya leseni. Unaweza kukuta umeomba leseni kupitia mfumo wa TAUSI, halafu inapita hata miezi minne bila kupata leseni. Ukienda kufuatilia, watumishi wao...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

    Nimemaliza. Lisu hujawahi kwenda kumuona. Au??? mara moja!
  19. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Utekaji utapungua kwa hadi 80% kwa kipindi cha miezi minne ijayo Mid September to Mid December

    Huu ni utabiri wa kweli kama nilivyo oneshwa na mizimu ya kwetu. Iko hivi kwa kipindi cha kuanzia week ya pili ya Sept 2026 hadi week ya pili ya Dec 2026 hali utekaji wa wananchi itapungua kwa kiwango kikubwa sana. Inatarajiaa hali ya utulivu itaripotiwa maeneo mengi ya nchi. Hata hivyo...
Back
Top Bottom