robot

 1. Baba Kisarii

  Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

  Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice. Yaani nimeumia...
 2. Melki Wamatukio

  Kama wanateknolojia wa JF wangeungana na wale wa X wangetutengenezea "Humanoid Robot" lenye kueleweka

  Siku ya leo nilikuwa Mawasiliano na mrembo Eunice tukiwa tunapiga story mbili tatu, niishie tu hapa maake niliyoyaona yanafurahisha sana Niseme tu, kama akili ya Eunice itakuwa imetengenezwa na vijana wa kitanzania, sisi kama nchi tutakuwa tumepiga hatua kadhaa kwenye suala zima la teknolojia...
 3. 100 others

  Yule ni robot au ni ile midoli inakaa nje ya maduka ya nguo.

  Mtu unachukua mdoli anawekwa nje ya maduka ya nguo unamvalisha kilemba na kitenge unakuja kutuambia ni robot, robot anatoa mkono utasema excavator ama grader ya kubebea mchanga. Hivi mtu kweli unaandaa hafla ya kiserikali kabisa watu wakashangae mdoli. Hivi mnashindana na Elon Musk ama? Kwenye...
 4. Lanlady

  Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

  Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge. Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi? Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi? Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia...
 5. P

  The Robot Writing Apocalypse Is Not Nigh: A Totally Human Guide for Fleshy Content Creators to Thrive in the Age of Artificial Intelligence

  Listen up fellow carbon-based content wordsmiths! I know times seem strange and scary with all these robots running amok. You can't scroll two lines on LinkedIn without some AI "guru" ominously proclaiming that machine learning will replace human jobs. Apparently, creative professions aren't...
 6. snipa

  Kampuni ya TECNO Leo kuzindua Robot Yao Mpya.

  Kampuni ya TECNO Leo imetangaza kuwa itazindua Robot yake. Kaa tayari kwa uzinduzi wa TECNO Robot! Siku ya Leo! TECNO itazindua kwa mara ya kwanza mbwa wake wa kwanza wa roboti iliyoboreshwa kwa AI, TECNO Dynamic 1, kwenye MWC Barcelona 2024. Roboti hiyo ya kisasa inajumuisha slogan ya TECNO ya...
 7. Mjanja M1

  MOI kufanya upasuaji kwa kutumia Robot

  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema Taasisi hiyo inatarajia kuanza kutoa huduma za kitabibu kwa kutumia roboti ndani ya miaka mitatu ijayo. Akiongea kwenye mahojiano maalum Prof. Makubi amesema “Sasa hivi tunafanya evaluation tuweze...
 8. nzalendo

  Huyu ni mtu au robot?

  Raraa reree Hujamaliza ku comments ameshalike iwe usiku iwe mchana halafu iko kama hana changamoto za umeme
 9. Suley2019

  Mhandisi wa Kiwanda cha Tesla avamiwa na Roboti na kuachiwa jeraha

  Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa. Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na mashine iliyoundwa kushika na kuhamisha vipande vipya vya gari vilivyotengenezwa kwa alumini. Roboti...
 10. Surya

  Chapa ya Mpinga Kristo nyuma ya Worldcoin na Crypto currency, AI robot

  Kabla sijaenda kwenye lengo kuu la mada hii nielezee kwanza Worldcoin ni nini ? Cypto/Cryptocurrency ni nini ? na mahusiano yake na AI robot. Baadhi ya member wa JF nimeona wakigusia mada hii kwa sehemu ndogo.. Worldcoin ni nini? Worldcoin ni jukwaa la utambuzi wa kidijitali ambalo linalenga...
 11. Internet-Money

  Yule Robot wa Airtel ana aibu sana

  Sijaona robot ambaye yuko emotional kama yule wa Airtel. Nazani mama mpaka Leo anajua yule jamaa ni Robot. Kwa maana ile siku alimsifia kweli kweli , bila ya kujua ni mtu Na bado sijajua elimu ya Waziri Mawasiliano na Habari ( Nape ) , coz inaonekana na yeye hajui kinacho endelea
 12. Robert Heriel Mtibeli

  MKE wangu ameridhia kununua Robot wa kike ili awe MKE Mwenza, nimkubalie au nikatae?

  Kwema Wakuu! Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Baada ya tangazo LA ajabu la kubuniwa Kwa ma-Robot ya kike yenye mvuto WA kimapenzi, kumbe MKE wangu nayo aliyaona hayo madude. Kwanza aliyasifia Sana ingawaje ni kiwivuwivu Mimi nikibaki kwenye msimamo...
 13. Binadamu Mtakatifu

  Ambao tunasubiri Robot za elon musk Tuoe Tujuane

  Hata wakiuza milioni 20 nitauza mbaka boksa ninunue nikafunge nae ndoa Maana sio kwa hekaheka za mademu wa udongo thanks elon musk Mungu akuweke Haina kisonono wala kaswende no kugongwewa, style zote unakula + romantic sound yani full kupizzz ubongo No stress nipo tayari kuandamana serikali...
 14. 2 of Amerikaz most wanted

  Elon Musk: My wife is a Robot

  According to report Elon Musk and his company are on the final stages of making a Robot Wife. The supply of Robot Wives is expected to roll out in September 2023. They will reach Africa by November 2023. Robot Wife will use batteries that last in accordance with menstrual circle. Batteries will...
 15. bahati93

  Nimeongea na robot juu ya Tanzania haya ndio majibu yake

  Wandugu mambo yanaenda kasi sana. Kuna huyu mdudu mpya kwenye mtandao anaitwa ChatGPT. hii ni AI ambayo ipo mbioni kufuta kazi nyingi sana za waandishi habari. Hapa ni machache tu ambayo nilikuwa naongea nayo. Hata hivyo ilinipa moyo baada ya kuona huzuni yangu Asanteni kwa kushiriki
 16. sky soldier

  Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

  Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!! Views milioni 1.3 hizo ndani ya sekunde 30😳😳 ..... Koh koh koh, Konde gang mziki umewashinda kihivyo mpaka mnunue...
 17. J

  Natafuta mtaalam wa kuunda Forex robot anafundisha hata kwa malipo?

  Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) hata kwa malipo Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha kwenye demo account ikileta faida...
 18. Kasomi

  YouTube Yafuta viewers kwenye wimbo wa Harmonize

  Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba kutoka nchini Congo Awilo Longomba. Utaratibu wa kufuta Viewers hua upo katika mtandao wa YouTube...
Back
Top Bottom