Dar es Salaam authorities have confirmed the arrest of a young online personality known as Ninja Damour, following days of uncertainty and online speculation about his whereabouts.
In an official public notice issued on May 3, 2026, the Tanzania Police Force stated that the individual...
Wasiojulikana? Inakuwaje taifa linakuwa na watu wasiojulikana?
Tangu afariki Mzee Kibao kwa kifo ambacho kilishangaza dunia kwa mtu kunyakuliwa kama kuku kwenye basi kisha kupatikana amekufa kinyama taifa letu limegawanyika na kupasuka.
Leo hii watu wanashangilia hadharani kwenye majukwaa ya...
Mwanahabari Arnold Anthony Mukose, ambaye ni mkurugenzi wa vipindi katika kituo cha runinga cha mtandaoni cha Alternative Digitalk, anaripotiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana waliovalia nguo za kiraia jijini Kampala.
Tukio hilo la kushtusha lilitokea siku ya Jumapili mwendo wa saa saba...
"Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda
Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti.
Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni.
Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo...
Wakuu,
Naona huko Zimbabwe napo wameanza kujifunza mbinu za Malawi. Yaani kuna huyu kiongozi wa upinzani hajulikani hadi sahivi.
Kiongozi wa Jukwaa la Watetezi wa Katiba (CDF), Tendai Biti huko Zimbabwe nae inaonekana amekutana na wale watu wasiojulikana
Kwa mujibu wa taarifa ya CDF, mapema...
Wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚
Sote tunajua kuwa mtu huyu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetangaza kuanza uchunguzi wa kina kufuatia taarifa za kutoweka kwa mfanyabiashara wa Soko la Buzebazeba, Mahamoud Juma Abdallah (25), anayedaiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo lake la kazi.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Kamanda wa...
Vijana hawana Kazi licha ya kua wana Elimu.
Vijana wameshuhudia wenzao Walotekwa, kuuliwa .
Vijana wanashuhudia Viongozi, WATOTO wao na familia zao kwa ujumla wakiendesha magari ya mabilion, wakifanya Anasa .
Vijana wanashuhudia Utendaji wa JESHI LA POLISI .
VIJANA WANA HASIRA .
Nimekuja...
Wakuu,
Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya watu kutoweka yaliyoripotiwa tangu alipochukua madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka 1971. Tume...
Wakuu,
Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?!
====
Ameandika Liberatus mtandaoni;
"Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi...
Salam Wakuu,
Taarifa zilizombaa ni kuwa toka Nicodemus Julius Loyore akamatwe Disemba 19 akiwa ofisini na watu waliojitambulisha kuwa Polisi, mpaka leo hajulikani yupo kituo gani!
Toka siku hiyo ndugu zake wanamtafuta katika vituo vya polisi bila mafanikio yoyote! Kama alikuwa na kosa...
Majuzi Waziri Simbachawene alitoa maagizo akiwataka Jeshi la Polisi kukamata raia kwa kufuata taratibu na sheria, kwa kutokamata raia kihuni. Wawe wanavaa sare, na waache kuvaa kininja.
Itakuwa Simbachawene si lolote si chochote, maana toka atoe maagizo hayo bado watu wanakamatwa kihuni, mara...
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.
Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia...
Ameandika Malisa kupitia ukarasa wake mtandaoni;
"Nasikitika kuwajulisha kuwa jana majira ya saa 8 usiku (kwa saa za huko nyumbani) watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Kabla ya uvamizi huo watu hao walionekana wakiwa na gari mbili (Landcruizer)...
Wakuu,
Huyu kijna anayejulikana kwa majina Aloys/Patrick, ambaye ana biashara ya duka, amepotea Mabibo Sahara juzi usiku tarehe 19 ambapo watu waliovaa kiraiya walivamia nyumba yake, kuvunja mlango na kumchukua. Hadi sasa, familia na polisi bado hawawezi kupata taarifa za mahali alipo...
Yaani unataka tujadili SGR badala ya maisha ya watu?Shame on you!!! Hiyo SGR hata wakaloni walijenga, wewe Msigwa hujui reli ya kati iliyojengwa na wakoloni ilikua SGR wakati huo?Je unajenga SGR ili itumike kufanya nini kama mnaua binadamu wanaotakiwa kuitumia?Mnajengea wanyama au miti?Hivi...
Wakuu
Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania).
Huyu ni Kada wa Chadema anaitwa Joseph Mwasote maarufu kama China, mkazi wa Tunduma mkoani Songwe. Anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwezi uliopita. Familia yake imehangaika kumtafuta maeneo mbalimbali bila mafanikio. Oktoba 29, 2025 mwanae aitwae Stephano akaamua kuandamana kama sehemu ya...
Wakuu,
Huyu kijana Ramsi alipotea siku chache kabla ya maandamano naona kwa sasa amerudi tena.
Twaha Mwaipaya wa CHADEMA anasema Ramso alitekwa Dar na kupelekwa Dodoma na kuishilikiwa huko kwa zaidi ya wiki 3 na alichiliwa siku ya maandamano.
Najiuliza tu hivi unawezaje kumuweka mtu ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.