mafia

A mafia is a type of organized crime syndicate whose primary activities are protection racketeering, arbitrating disputes between criminals, and brokering and enforcing illegal agreements and transactions. Mafias often engage in secondary activities such as gambling, loan sharking, drug-trafficking, prostitution, and fraud.
Nowadays the 'Ndrangheta, originating in the southern Italian region of Calabria, is widely considered the richest and most powerful mafia in the world.The term "mafia" was originally applied only to the Sicilian Mafia and originates in Sicily, but it has since expanded to encompass other organizations of similar methods and purpose, e.g., "the Russian Mafia" or "the Japanese Mafia". The term is applied informally by the press and public; the criminal organizations themselves have their own terms (e.g. the Sicilian Mafia and the related Italian-American Mafia refer to their organizations as "Cosa Nostra"; the "Japanese Mafia" calls itself "Gokudō" but is more commonly known as "Yakuza" by the public; and "Russian Mafia" groups often call themselves "Bratva").
When used alone and without any qualifier, "Mafia" or "the Mafia" typically refers to either the Sicilian Mafia or the Italian-American Mafia and sometimes Italian organized crime in general (e.g., Camorra, 'Ndrangheta, etc.).

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Lini tutaanza kukiendeleza Kisiwa cha Mafia kwa ajili ya utalii

    Hivi unajua beach za Mafia hazina tofauti na za Zanzibar Kwa nini serikali isiwekeze kuitangaza Mafia kwa utalii at least pafanane kimaendeleo na Nungwi, Zanzibar Nilienda Nungwi mwaka jana, actually ni pazuri sana. Nungwi hata sio mji mkubwa kama Stone Town ni kamji kadogo tu lakini kana...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Assemahle Wellem aachane na Mafia Boxing kwa manufaa ya career yake ya ngumi , kawa mdebwedo sana

    Miongoni mwa maamuzi ya hovyo zaidi kuwahi kuyaona basi hili la Assemahle Wellem kutoka South Africa kutoka huko kwao kuja Tanzania kupigana kwa bendera ya Tanzania chini ya Mafia boxing. Jamaa kabla hajaja Mafia boxing alikuwa Predator kweli kweli , anatembeza kichapo balaa mpaka...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania kuzaliwa kwa makundi mfano mafia Italy ilikuwa sababu kukosa haki kwenye serikali.

    Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa. Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao. Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali za ovyo na kugeuza haki kuwa ugaidi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 14 wafa maji kisiwa cha Mafia

    Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia nchini Tanzania, afisa wa eneo hilo alisema Jumamosi. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo...
  5. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda “Mafias want to put me down”Works Minister Byamukama Alleges "Mafia" Plot

    The Minister of Works and Transport, Fred Byamukama, has claimed that unnamed “mafias” are plotting to undermine him after he launched efforts to address alleged corruption and inefficiencies within the ministry. Byamukama, who was recently elevated from State Minister for Works to full Cabinet...
  6. emmarki

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 4,000,000 biashara gani inafaa Mafia

    Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia. Mnipe muongozo
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tanganyika tunafeli hatuitangazi Mafia island

    Tanganyika tunafeli sana tuna kisiwa cha kitalii kizuri lakini hatukitangazi , vivutio vilivyopo mafia havina utofauti na Zanzibar lakini hatuweki juhudi kukitangaza kisiwa cha Mafia , sina maana ya ubaguzi mimi ni muumini wa Muungano ila tu nakumbushia pia vivutio vyetu vya bara huku
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mererani Mafia Tanzanite - Hii documentary ni nzuri

    Algorithm imenitumia hii youtube doc about tanzanite mafia kuna mpaka al-qaida ndani, Sijui kama ni ya zamani na ilishawekwa hapa jf, lakini its interresting https://www.youtube.com/watch?v=HmGC4D1_ccI
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vifo vya Ajali ya Boti (FIBER) Mafia vichunguzwe!

    INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
  11. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso? King La Jr
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bongo kutoboa inafaa uwe mafia

    BONGO NYOSO: Nimegundua kuwa Bongo kutoboa inafaa uwe mafia sana na umafia wenyewe ni ule wa kuvunja mifumo sababu kila mahala ni husda. Ajabu sana unaweza kwenda mahali wanauza nguo uuze maji lakn wakaeka husda, unaweza enda mahali uchome mahindi wao ni watengeneza magari na watakukazia na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa za CCM Mafia zinazidi kuwaka moto

    HUKU vikao vya Chama ngazi ya Mkoa vikiendelea kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kwa Wagombea Udiwani na Ubunge, siasa za Kisiwa cha Mafia zinatajwa kuwa moto. Pamoja na ushindi wa Omar Kipanga katika kura za maoni bado kunaonekana kunafukuta chini kwa chini huku maamuzi ya mkoa yakiwa...
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni Mkatoliki mfia dini

    Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu Jambo la kufahamu jurassic Park ilikuwepo Tanzania ndo maana kuligundulika mabaki ya mifupa ya dinasours kipindi cha ukoloni wa...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wa Kwale Deus Clement Sangu atilisha kupoteza Wanaotaka gombea ubunge Kwale. Asema yeye ni MAFIA

    Msikilize ANASEMA ATAUA MTU YEYE NI USALAMA WA TAIFA. ANAAPA KUUA YEYOTE ATAKAYEJITOKEZA KUGOMBEA KWALE NA JIMBO HALITAGAWANYWA https://www.youtube.com/watch?v=tklwP9kcx_M
  18. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

    Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya. . Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  20. emmarki

    JamiiForums Tanzania AZAM MARINE mlete vivuko vyenu Mafia

    Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025 ili kupisha matengenezo pamoja na kufungwa injini mpya. Kivuko MV. KILINDONI kimewasili leo kikiwa...
Back
Top Bottom