barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Barabara ya Iringa kushuka Mikumi imaliziwe kuwekewa kipande cha zege pembeni

    Barabara ya kutokea Iringa kushuka Mikumi kipande walichoweka zenge kina muda mrefu hakijamaliziwa chote, eneo hilo ambalo halina zege ni baya na hatarishi kwa wanaotumia vyombo vya usafiri. Breki ikifeli basi inaenda moja kwa moja kwenye nyumba za watu, nashauri wamalizie kwa kuweka zege...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila ya aibu mashabiki wa Afcon watatumia barabara ya Katesh Manyara to Singida huku Makonda akiendesha magarinya kifahari?

    Makonda anaendesha magari mpaka ya bil 1.7 huku akijinasibu kupambania michezo na timu ya taifa ambayo jezi zake zina kiwango hafifu kama za friends corner ya Manzese. Anapambana kiwanja cha Arusha kikamilike kwa wakati. Vipi kuhush miundo mbinu? Babati kupitia Katesh mpaka roundabaout ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kipunguni Hali ya Hewa (Banana) hatujamaliziwa kulipwa fidia ya kupisha Barabara

    Mimi ni mmoja wa wakazi wa eneo la Kipunguni Hali ya Hewa (Banana), Wilaya ya Ilala, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam, tulioathiriwa na zoezi la kupisha makazi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara. Eneo letu lilikuwa sehemu ya mradi unaohusiana na viwanja vya ndege, ambapo baadhi ya wakazi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro Mjini: Barabara ya kuelekea Kididimo iboreshwe wakati wa mvua itasumbua

    Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo. Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha ya SUA kuwa na magari na uwezo wa kufanya matengenezo ili ipitike vizuri. Hali hii imekuwa kero...
  5. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baba Levo kavuka mipaka yake, barabara za jimboni kwake zinategemea makusanyo ya kodi.

    kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi? Ametumia vibaya nafasi ya ubungo. Yeye baada ya kujiridhisha kuwa yule alikuwa afisa wa TRA kazi yake ilipaswa kuishia hapo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kibada-Mwasonga ina ajali nyingi, iwekwe matuta, wanakimbia kama kwenye mashindano

    Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam Oil, Dar es Salaam, Kigamboni
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Barabara mbovu si mali ya CCM

    .
  9. W

    JamiiForums Tanzania KERO "Wagumu" wadaiwa kutupa taka za mlimani katika barabara ya Mweka

    MOSHI, KILIMANJARO. Ni majira ya saa moja na nusu usiku wa Ijumaa. Katika utulivu wa usiku, eneo la barabara ya Mweka lilikuwa likipokea wageni ambao wananchi hawakuwatarajia — si watu, bali marundo ya taka. Kwa mujibu wa mashuhuda, watu wanaotajwa kuwa ni wapagazi wanaoshuka kutoka katika...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Halmashauri ya Biharamulo tunalazimishwa kufanya usafi huku tukilipa fedha za usafi kila mwezi

    Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Dampo la takataka liwekwe kwenye njia ya Watembea kwa miguu katika daraja la Mirongo, Mwanza

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza. Uamuzi huu umeleta usumbufu mkubwa kwa watembea kwa miguu, kwani njia hiyo sasa imezibwa na kuwalazimisha baadhi ya watu...
  12. 888I

    JamiiForums Tanzania Sitaki kusema kuhusu Barabara LAKINI SIMANJIRO HAINA BARABARA 🙌

    https://www.instagram.com/reel/DdmI0Qxj1u4/?stkn=bm9ncGdxNDd2NW9u
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

    Assalam Alaykum ndugu zangu wanabodi. Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana serikali imemkatalia. Sijui sheria inasemaje kuhusu mwananchi kujitolea ujenzi wa barabara ila kama...
  14. bakari khalidi

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba yenye maduka 12 inauzwa Kinondoni Road, bei bilioni 3.5 (sqm 1,343)

    ARDHI YA THAMANI INAUZWA! 🏢🏠 Kiwanja chenye maduka 12 ya biashara, pamoja na nyumba ya kuishi, kikiwa kando ya barabara ya lami. Eneo bora kwa uwekezaji na biashara yenye kipato.
  15. chokambayaa

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara Iringa Dodoma

    Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Mbezi Makonde, bajeti zinatengwa ila haitengenezwi

    Barabara ya Mbezi Makonde kuelekea Baraza la Mitihani, kupitia eneo la kwa Mzee Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati wa kudumu. Kila tunapouliza kuhusu uboreshaji wa barabara hii, tunaambiwa wananchi tujichangie na kuitengeneza wenyewe...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa barabara ya Mombasa kwenda Fumba umekuwa kero kwa Wananchi unasababisha vumbi kubwa

    Mimi ni mdau wa JamiiForums ninayeishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B. Ninaomba kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu vumbi linalosababishwa na ujenzi wa barabara ya Mombasa kuelekea Fumba, inayojengwa na kampuni ya IRIS. Mkandarasi amemwaga fusi katika eneo hilo bila...
  18. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Update: Foleni kubwa Barabara ya Mwai Kibaki

    Sasa hivi ni saa 18: 59 foleni ni kubwa sana gari za kutoka Morocco kuelekea kawe na kutoka kawe kuelekea Morocco hazitembei kabisa, Kama unaweza kutokupita barabara ya Mwai Kibaki usipite, tumia njia mbadala au subiri.
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ajali ni Ubovu wa Barabara!

    Haijawahi kutokea "mamlaka " ikasema chanzo cha ajali ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu. Mitaani na barabara kuu, TANROAD wanapata hela kutoka mafuta tunayoweka kwenye magari, yet hawazibi mashimo. Mitaani wanaweka bumps, lakini hawaweki alama, ajali za kupinduka. Madaraja membamba na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
Back
Top Bottom