zambia

 1. Sky Eclat

  Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

  Mwanaume huyu toka jamii kutoka Ndola aliamua kumuacha mke wake waliyeoana miaka saba iliyopita na kufanikiwa kupata watoto wawili. Mwanamke huyu alienda mahakamani ilikutafuta suluhu ya ndoa yake na maridhiano na mume wake, akiomba mahakama imsaidie kunusuru ndoa yake na kuongeza kuwa hajui...
 2. N

  Uongozi wa Simba: Mmechafuliwa Kenya na Zambia chukueni hatua

  Jamani sven kasema lini kwenye interview haya maneno? Nimeamini utopolo wako vizuri kwenye propaganda ila uongozi wa sasa kama mazezeta hivi ..Chukueni hatua kwa huyu blogger haraka sana First ilkuw a page ya kikenya inaitwa african sports today wao walisema tu remarks zake hazikuupendeza...
 3. Analogia Malenga

  Mipira ya kondomu yenye hitilafu yazua hisia kali Zambia

  Mbunge mmoja wa Zambia amelinganisha usambazi wa mipira ya kondomu nchini humo na glavu kutokana na bidhaa hizo mbili kushindwa kuafikia viwango vya usalama na ‘mauaji ya kimbari’. ‘’Kile ambacho wizara ya afya inakifanya ni mauaji ya kimbari'' mbunge Mwansa Mbulakulima aliambia BBC. Unapoweka...
 4. Miss Zomboko

  Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

  Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
 5. Miss Zomboko

  Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

  Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
 6. Synthesizer

  Magufuli ili TAZARA isife, ongea na China ili iunganishwe na Malawi kupitia Mbeya au Tunduma, na pia ipitie Morogoro na Iringa mjini!

  TAZARA haina hali nzuri. Na sababu kubwa ni kwamba utegemezi wa Zambia kwa TAZARA umepungua sana. Kwa sasa Zambia inaweza kupitisha mizigo yao sehemu nyingine zaidi ya Dar es Salaam, kutia ndaniMsumbiji na Afrika Kusini. Lazima tuseme ukweli Wazambia kwa sasa hawana shida sana na TAZARA, japo...
 7. Kijana wa jana

  Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji

  Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' , ambapo walikatakata miili ripoti nyengine zinasema. Watu kadhaa pia walikatwa vichwa katika kijiji...
 8. Geza Ulole

  While Kenya keeps sleeping, Zambia clinches deal to defer Chinese debt

  Zambia clinches deal to defer Chinese debt THURSDAY OCTOBER 29 2020 Zambian President Edgar Lungu. FILE PHOTO | AFP Summary The move to defer debt comes three months after Zambia's President Edgar Lungu asked his Chinese counterpart Xi Jinping for debt relief due to the economic impact of the...
 9. Analogia Malenga

  Wabunge 15 wa Zambia wakutwa na virusi vya corona

  Waziri wa Afya wa Zambia Chitalu Chilufya amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika bunge la nchi hiyo, wabunge 15 wamekutwa na maambukizi. Amri ya upimaji huo ilitolewa baada ya wabunge wawili kufariki dunia juma lililopita. Mmoja miongoni mwa hao aliugua ugonjwa...
 10. CHIPESI NAMISUKU

  Majibu ya David Kafulila kwa Zitto Zuberi Kabwe kuhusu uchumi wa kati

  Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano. Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
 11. M

  A man is arrested over Burning and Killing two Chinese Nationals in Zambia..

  Photo Credit: Zambia Police According to reports from the Zambia Police, a 22-year old man has been arrested over an aggravated robbery and the murder of two Chinese traders in Zambia. The police and fire service of Zambia were responding to a fire outbreak in a warehouse belonging to the...
 12. Synthesizer

  Yaliyotokea mpakani na Kenya, Zambia na Rwanda yanaonyesha haja ya umakini kwa Magufuli kuteua wakuu wa mikoa ya mipakani wenye uwezo wa kidiplomasia

  Nakumbuka katika kuteua wakuu wa mikoa muda fulani uliopita, Raisi Magufuli alisema kwamba alikuwa akiteua wakuu wa mikoa ya mipakani wengi wakiwa wanajeshi ili kusaidia katika suala la ulinzi mipakani. Lakini sasa, migongano na nchi jirani za Kenya, Zambia, Rwanda na hata Uganda zimetufundisha...
 13. Hata Sina kinyongo

  Baada ya Zambia kuufunga mpaka wa Tunduma na mizigo mingi ya Congo kukawia kufika Congo wajibu mapigo;wawakatia umeme Wazambia!

  Inaitwa man to man! Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa! Chanzo ni...
 14. Tuttyfruity

  Rais wa Zambia atoa amri ya kufunga mpaka wa Tanzania na Zambia

  Leo tarehe 10/05/2020 Rais wa Zambia Edgar Chagwa lungu ametoa amri ya kufunga mpaka wa Zambia na Tanzania (Nakonde) na kupiga marufuku mtu yeyote pamoja na magari au treni kuingia na kutoka Mji wa nakonde. Mji wa nakonde umepakana na mji wa tunduma ambapo ndo mpaka wa Tanzania na zambia ulipo...
 15. J

  David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

  Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka. Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya...
 16. Zanika

  Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde

  Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde bali ilisimamisha shughuli ktk mpaka huo kwa siku tano > Waziri wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufya alisema Rais Edgar Lungu aliagiza mpaka huo ufungwe kuanzia Mei 11, 2020
 17. G Sam

  Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

  Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia. Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho...
 18. Roving Journalist

  Serikali yafafanua madereva kuzuiwa kuingia Zambia

  Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu Idara ya Uhamiaji nchini Zambia kuwazuia madereva wa IT katika mpaka wa Tunduma Mkoani Songwe kuingia nchini Zambia, ikiwa ni katika kujikinga na Virusi vya Corona. Mkuu wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Juma Said Irando ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya...
 19. I

  Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

 20. J

  Tanzania haitasita kuizuia Zambia kupitishia mizigo yao hapa nchini

  Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC. Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini. Source ITV habari!
Top Bottom