KIWANJA KINAUZWA – KIBAHA MAILI MOJA (LOLIONDO)
Unatafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba au kuanzisha biashara? Hiki ni fursa nzuri!
📍 Mahali: Kibaha Maili Moja – Loliondo (Kwa Mama Rose)
📐 Ukubwa: 35.62m × 27.12m = 966 sq.m
✅ Kiwanja kimepimwa
✅ Kinafaa kwa makazi au biashara
✅ Umeme...
Jamani sisi Wanangorongoro tunateseka sana wakati wa kusafiri kutoka Arusha Mjini kwenda Loliondo, kinachotusumbua ni upandashwaji wa nauli kiholela bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na LATRA.
Kampuni ya Loliondo Coach ndiyo kampuni pekee inayotuhudumiwa.
Nauli ilikuwa ni TSH 18,000...
Anonymous
Thread
arusha
arusha mjini
hii
kutoka
latra
loliondo
mjini
sawa
usafiri
Mtandao wa asasi za kiraia na watetetezi wa haki za binadamu Tanzania umekosoa matokeo ya ripoti zilizotolewa na tume mbili za Rais zilizoundwa kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, zikisema tume hizo...
Abiria tunatoka kanda ya ziwa kuelekea Arusha na Moshi tumekwama hapa Shinyanga gari imekatika spring T646 EKS ya kutoka Tarime kwenda Moshi so tupo kwa mafundi wa kilocal wanachomelea hizo spring tangu saa nne na sasa ni saa tisa usiku.
Unaenda kuua jina la biashara yako uliojenga kwa muda...
Uongozi wa kampuni ya loliondo mnahitaj kuwafanyia semina elekez watumishi wenu kitengo cha mizigo
Ipo hivi-:
Tulipanda garI kutoka mwanza kuelekea arusha na tulipokaribia kufika Babati zikiwa zimebaki kama km 35 kuingia Babati mjini tukaanza kuona moshi ndani ya gari na kusikia harufu kama ya...
Mwaka 2011 historia ya Tanzania iliandika ukurasa wa kipekee uliojaa matumaini, mijadala na sintofahamu kubwa. Katika kipindi hicho jina la Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile, maarufu kama “Babu wa Loliondo,” lilitawala mijadala ya kitaifa na kimataifa. Babu huyo kutoka kijiji kidogo cha...
Dar could buy Dowans under proposed law
Tanzania has come up with a Bill, the proposed Public Procurement Act, 2010, that if passed by parliament, will pave the way for the amendment of government procurement laws to allow the purchase of secondhand plants and machinery to tackle the...
Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu .
Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake.
Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa...
Kauli ya aliyekua mkuu wa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha Marco Ng’umbi kua serikali iliwezesha ushindi wa madiwani na baadhi ya wabunge nchini katika uchaguzi uliopita, imetibua kidonda cha madai kua mifumo ya sheria za uchaguzi ili viongozi wanaopatikana watokane na matakwa ya wananchi walio...
Mzuka?
Katika mabishano ya hapa na pale kuna mshkaji akawa ananiambia Loliondo ilishanunuliwa na waarabu na hata ukiingia kwenye eneo wanaolimiliki mtandao unasoma nchi ya UAE.
Kama haitoshi anasema mara ya mwisho kuwa huko kila akitoka nje ya Loliondo siku akirudi anatumiwa message na...
Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa Mattias, kongowe au mlandizi kupitia Loliondo.
Miundombinu ya kuingia njia hiyo ndio shida ilipo...
Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu.
Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
Ukiacha matatizo ya kiafya(magonjwa, n.k), watanzania wana matatizo mengi huku wakiwa wamepoteza matumaini ya matatizo yao kutatuliwa na mfumo huu mbovu wa kiutawala tulionao. hivyo, yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata mradi tu awe na mamlaka na zaidi awe na kipaji cha kuigiza mbele ya...
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha.
Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
Na Mwandishi Maalum, New York, Marekani
Nchi ya Tanzania imeshiriki mkutano mkuu wa 78 wa Umoja wa Mataifa ulioanza 25 Septemba, 2023 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York, nchini Marekani ambapo imetumia mkutano huo kuelezea hatua za Serikali kunusuru uhifadhi na maendeleo ya...
Enzi hizo spinning doctor ilifanikiwa sana Kwa kiasi kikubwa tofauti na leo. Ndio maana Dowans Scandal ilikufa kifo cha mende. Swali je, kwa sasa spinning kupoteza nguvu ni uelewa kwa sasa kuwa mkubwa kwa watu au elimu inatolewa ipasavyo.
Kuna mambo yanachukiza sana, unawadhulumu watu haki zao Kwa matamko ya ajabu ajabu. Tuendelee na Maombi. Wengine sio waandishi wazuri, soma hapa, kama kusoma huwezi angalia hata picha.
https://x.com/Nipashetz/status/1705118421573124143?t=PH1lYCqRBljDPzKADk7X5Q&s=08
Wakuu inauma sana kile kinachoendelea Loliondo na Ngorongoro. Kule ukienda ni kama upo nchi ya kigeni.
Hebu vuta picha ya pale kijijini kwako kwenye asili yenu...ghafla wanakuja watu wanawambia mnatakiwa mhame mwende kwenye eneo jipya msilowahi kulifahamu kabla tena mhame kwa lazima. Mkibisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.