Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.
Pia katika Uwizi...
Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua mpango mzima.
https://youtu.be/jXrtCkOsKBQ?si=-IbKOvkyyzaCB09s
Hapo vip!!
Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe.
Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za wivu,za kishetani ,za kijinga,za kimaskini na kipumbavu zilizopo kwenye ligi yetu ambazo...
Wanabodi,
Ulimwengu wa Mwilna Ulimwengu wa Roho
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Kusikia Sauti
Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unaisikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila...
Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili kuufanyia marekebisho makubwa Uwanja wa Sokoine hususani eneo la kuchezea (pitch) kwani Uwanja huo si...
Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo.
Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, itakayofanyika Aprili 13, 2025 Jijini Dar es Salaam.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf...
Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election?
Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via...
Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi
Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki katika mjadala wa ngazi ya juu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) jijini Roma, Italia ukilenga...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached
14 hours ago
Share
US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025.
US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Beijing na Taipei.
Chini ya dharura hiyo, meli na ndege zitahamasishwa...
VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk
Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato.
Nina shahada ya maendeleo ya jamii.
Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
Wana jamvi,
Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja.
It's very important to support domestic...
Wakuu,
Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear.
Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa kama mdhamini mkuu wa usalama wa Ulaya pamoja na kuwa na sera zisizotabirika tena katika mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.