lissu

 1. Mpinzire

  Kama Dkt. Slaa 2010 alipata kura Milion 2 mwaka 2010, kuna aliyetegemea Lissu kupata kura hata Milion 3 kweli?

  Habari watani wetu wa jadi..! Ndugu zangu w upinzani naomba niwakumbushe matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, kipindi ambacho Chadema ilikubalika chini ya Dr. slaa n ndio kipindi ambacho CCM ilichokwa. 1. KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO: 96, 933 (1.12%) 2. KIKWETE JAKAYA MRISHO/CCM...
 2. Jelavic

  Tundu Lissu kwenye kampeni zako ulimkumbusha Rais Magufuli juu ya ahadi yake aliyoitoa Singida kuitekeleza kabla ya 2020, amekusikia ametekeleza

  Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa atatumia njia gani, wengine walivyoona watu wanahudhuria mikutano ya kampeni ya upinzani walibeza kuwa...
 3. Sky Eclat

  Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

  Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo. 1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90%...
 4. Lord denning

  Ushauri wangu kwa Lissu baada ya Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kutangazwa

  Tundu Antiphas Lissu Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa nayo kabla hata ya uchaguzi. Kilichofanyika Jana ni kujaribu kuionesha dunia kuwa kuna uchaguzi wakati...
 5. Q

  Tundu Lissu: Siyatambu matokeo yote yanayoendelea kutangazwa na Tume

  Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje, Tundu Lissu ambaye ni mgombea urais kupitia CHADEMA amesema kutokana na ukiukwaji mwingi wa sheria na kanuni za uchaguzi hayatambui matokeo hayo na amewataka wananchi kujiandaa kuchukua hatua zozote zile ikiwemo kuandamana kudai haki...
 6. Consultant

  NEC waanza kutangaza matokeo. Lissu “kapigwa” vibaya so far

  NEC wameanza kutangaza matokeo ya Urais kutoka Majimboni. Kwa majimbo machache yaliyotangazwa, JP Magufuli amezoa atleast 78% ya kura zote. Kuna majimbo ambayo Lissu kaambilia kura 1000 tu kati ya kura 71,000. What happened? Zile nyomi zote ilikuwa danganya toto? Hawa watu wanaibaje kura wakati...
 7. C

  Mhe Tundu Lissu ameweza kupiga kura?

  Wakuu salamu kwenu Sijaweza kuona picha za mheshimiwa rais mtarajiwa akipiga kura. Ningependa kujua iwapo ameweza.
 8. Roving Journalist

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

  MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
 9. Kabende Msakila

  Uchaguzi 2020 Dkt. John Pombe Magufuli, Adv. Tundu Antipas Lissu, Maalim Seif Sharif Hamadi, Dkt Hessein Ally Mwinyi na wagombea wengine - hongereni kwa kampeni

  Waheshimiwa:- Dkt. John Pombe Magufuli Adv Tundu Antipas Lissu Maalim Seif Sharif Hamadi Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na Wengine - Salaam za 28/10/2020!!! Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa, maendeleo na maridhiano nimeandika uzi huu kwa ajili ya kuwapongeza sana sana kwa kushiriki kampeni za...
 10. BAK

  Uchaguzi 2020 Pongezi nyingi sana kwa Lissu, Mkewe, Uongozi wa CHADEMA na Watanzania walioshiriki kwenye kampeni za CHADEMA

  Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na kutugusa mamilioni ya Watanzania Wazee, vijana na hata watoto. Ulikutana na vikwazo vya aina mbali mbali...
 11. Titicomb

  Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

  Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi. Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe. Inajulikana hakuna mahali duniani...
 12. Yericko Nyerere

  Uchaguzi 2020 Kwanini Lissu atashinda kwa kishindo?

  Twende taratibu, Leo baada ya kukamilisha zoezi la kampeni kwa muda wa miezi miwili, naomba nitoe upembuzi wa kiutafiti kwanini Tundu Lissu atamshinda kwa mbali John Magufuli. Iwe kwa tume hiihii ya ccm au vyovyote lakini Lissu atashinda na atatangazwa na kuwa Rais wa Tanzania. Tanzania katika...
 13. S

  Uchaguzi 2020 Watu wakijitokeza kwa wingi kupiga kura kesho, itakuwa ni dalili ya awali ya Lissu na upinzani kwa ujumla kuzoa kushinda huu uchaguzi

  Wandungu, kesho mkiona watu wamejitokeza kwa wingi kupiga kura, basi mtambue hiyo ni dalili ya mapema kabisa kuwa Lissu na wagombea wengine wa upinzani wanakwenda kupata kura nyingi na za ushindi ingawa tatizo linaweza kuwa katika kuwatangaza. Sababu kubwa ni kuwa,siasa za kuhamahama kwa kile...
 14. F

  Tundu Lissu ni shujaa

  Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga. Hata baada ya hila za kila aina dhidi yake na wagombea wa CHADEMA...
 15. Rutunga M

  Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

  TCAA wamezuia chopper ya Tundu Lissu kuruka kutoka KIA kwenda Dar kwenye mkutano wa kufunga kampeni kwa madai ya hali mbaya ya hewa. Baada ya kusota zaidi ya masaa matano pale KIA hatimaye Lissu akaamua waruke kwa lazima bila kibali cha TCAA. Alikuwa tayari kwa lolote hata kama ni chopper yao...
 16. Pascal Mayalla

  JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

  Wanabodi, Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri, Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize Kwa faida ya...
 17. R

  Tetesi: Lissu azuiliwa KIA

  Kuna tetesi kuwa Lissu amezuiliwa kuondoka KIA kuja Dar. Mwenye fununu atuhabarishe.
 18. mulwanaka

  Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

  ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU ------- Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper yetu ili tuweze kwenda Dar kwa ajili ya mkutano wetu wa kufunga kampeni unaotakiwa kuanzia Kawe saa...
 19. Roving Journalist

  Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

  Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
 20. Mulokozijr12

  Uchaguzi 2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

  Nawasalimu wanajukwaa, Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa minyukano ya hoja humu jukwaani kwa ustaarabu wa hali ya juu, hii inaonesha jukwaa bado lina watu makini sana. Nikirudi kwenye mada yangu,ni ukweli usiopingika kuwa wapinzani hamkujipanga vyema kwa ajili ya uchaguzi yanayotokea ACT ni...
Top Bottom