• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

uchumi

 1. K

  Kwanini wenzetu wameweza kujenga uchumi wa nchi zao nchi za Afrika zimefeli wapi?

  hivi ni kwanini mpaka leo bajeti zetu zinategemea misaada ya nje? kwanini mpaka leo tumeshindwa angalau kucopy kwa wenzetu wao wamefanyeje kujenga uchumi wao? mbali na kwamba sisi hatuna technolojia kama wao lakini kwanini tumeshindwa japo kuweka mifumo sahihi ya ukusanyaji kodi ili kwamba kila...
 2. chinembe

  Baada ya janga la Corona kutikisa uchumi, taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula kusubiri mataifa yakakope

  Taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula,aliyenacho ataongezewa, jamaa wametikisa uchumi wa dunia na sasa wako tayari kukopesha ili kusaidia hali ya mambo iliyokorogeka. Kutokana na demand kubwa ya kukopa, riba itakuwa juu, na wakopeshaji watachagua wa kukopesha... Kipaumbele watapewa mataifa...
 3. mirindimo

  TRA yabambikia makampuni kesi za Uhujumu uchumi, kupitia risiti zenye makosa miaka 10 na zaidi iliyopita

  Wakati dunia nzima iko locked down ikihaha kupambana na Corona virus TRA wao wanahaha kukusanya kodi wavunje rekodi, nimeshuhudia kampuni zikiandikiwa barua kua mwaka 2010, 2014, 2015 zilipeleka return zenye risiti ambazo mashine zake VAT haitambuliki, hapa nilijiuliza maswali ya msingi; 1. Je...
 4. C

  Umefanya Lockdown na uchumi wako wa kuunga unga unakosa hela ya kuwalipa Madaktari na manesi wanazikimbia Hospitali! Ni majanga zaidi ya CORONA

  Upeo wa viongozi wa Afrika ni mdogo sana wamejitenga na Madaktari wamejitenga na naturalists, unaambiwa asilimia karibia 100 ya wanaokufa na ugonjwa huu ni wazee kuanzia miaka 70+ kwa huku Afrika ni wachache mnoo almost negligible. Unaambia mazingira ya kijiografia kiuchumi hayaruhusu viongozi...
 5. 2019

  Tetesi: Jipangeni kisaikolojia corona ilitabiriwa muda mrefu | itafanya uharibifu mkubwa sana kwenye uchumi wa dunia

  UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma. Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa Ngoja nione ni wangapi wataisoma🤔 Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe...
 6. K

  Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

  Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete. Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo...
 7. OEDIPUS

  Kirusi cha Corona ni Kirusi kwa Uchumi pia

  Kirusi cha Corona, sio tu ni kirusi kinachoathiri watu kiafya pekee, bali kiuchumi pia. Na kuna uwezekano mkubwa wa uchumi kubadilika kwa kipindi hiki. Had sasa kirusi hiki kimeshaathiri burudani, usafiri na utalii kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni shughuli hizo zimepata zuio la wazi. Mambo mengine...
 8. J

  Wazanzibari wahakikishiwa uwepo wa akiba ya kutosha ya chakula, Waziri Hamad aitaka BOT na WB kusaidia uchumi

  Waziri Amina wa SMZ amesema Zanzibar ina akiba ya kutosha ya chakula ukiwemo mchele na sukari na kwamba hata sasa kuna meli yenye tani 600 za mchele bandarini na ameelekeza mchele huo utolewe haraka. Hivyo amewataka wananchi kutokuwa na hofu ya upungufu wa chakula katika kipindi hiki cha...
 9. Analogia Malenga

  Rwanda yachukua hatua kuokoa uchumi

 10. Synthesizer

  Tanzania ina mambo ya ajabu sana; Uhamiaji inanyima watu wanaotusaidia uchumi work permits, wanapofunga ofisi na kuaga Serikali inawaomba wasiondoke!

  Niliwahi kusema humu JF kwamba Tanzania ina mambo ya ajabu sana kuhusiana na utoaji wa work na residence permits hata kwa watu ambao ni wawekezaji, japo kila siku tunapiga kelele eti kuvutia wawekezaji. Wawekezaji wanapokuja wanapata shida sana kupewa work au residence permits. Kuna wawekezaji...
 11. B

  Magufuli amkaanga vikali Waziri Kamwelwe, atishia kumuweka ndani kwa Uhujumu Uchumi

  March 16, 2020 Kilosa, Morogoro Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli akiwa wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro akifanya ukaguzi wa daraja muhimu kwa taifa la Kiyegeya lililobomoka Machi 2, 2020 kufuatia mvua nyingi alionesha kutoridhishwa na utendaji wa safu za wateule wake hasa Waziri wa...
 12. wanzagitalewa

  Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi

  Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki. Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa...
 13. Pascal Mayalla

  Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

  Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
 14. wanzagitalewa

  Tufanye yafuatayo ili kuvuna matunda ya Uchumi wa Kidijitali

  Inafahamika wazi namna gani teknolojia imesaidia nchi nyingi kuendelea kiuchumi. Hii inadhihirika wazi pia kwa nchi za Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matumizi ya simu za mkononi na mtandao wa intaneti vimesaidia kukuza fursa nyingi za biashara na mamilioni ya watu. Sasa...
 15. J

  DPP: Zaidi ya watuhumiwa 300 wa Uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru

  Mkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru. DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia...
 16. J

  Kwanini chama cha CHADEMA hakifanyi tathmini ya hali ya uchumi kama alivyokuwa akifanya Prof Lipumba? Au hakina wataalamu!

  Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani. Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF. Tangu Chadema wawe chama kikuu...
 17. B

  Gavana wa Benki Kuu afafanua hali ya uchumi

  February 29, 2020 Prof. Florens Luoga, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) aongea na kujibu maswali mbalimbali kuhusu hali ya kiuchumi, bei za mazao, biashara na fedha Tanzania. PART I Thamani ya Shillingi ya Tanzania na exchange rate kimataifa Mfumuko wa bei unacheza 3% kwa muda mrefu Bei...
 18. kagoshima

  Kumbe inawezekana kupeleleza wahujumu uchumi huku wenyewe wakiwa nje?

  Mbona mheshimiwa Lugola anachunguzwa yuko huru. Hebu wajuvi wa mambo tuelezeni. Kuna watu kadhaa wapo mahabusu kwa tuhuma za kesi za uhujumu uchumi bila dhamana takwa la kisheria (moja ya sheria kandamizi kwa mtazamo wa wengi). Cha ajabu waziri wa zamani mambo ya ndani kangi lugola mheshimiwa...
 19. mjusilizard

  Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

  Hongera kwa kuongezewa mshahara! Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya? HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid. Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii...
 20. S

  Kiongozi asie na maarifa ya katika siasa na kuendesha uchumi, ni mzigo mzito kwa chama chake na kwa wananchi wake kwa ujumla

  Kiongozi yoyote wa kisiasa asie na maarifa ya kawaida kabisa katika kuendesha uchumi na kufanya siasa,kiongozi wa aina hiyo ni mzigo kwa chama chake, na pia watu wote aliokabidhiwa jukumu la kuwaongoza. Sometimes ni bora ukamudu/ukafanya vizuri katika uchumi kwani uchumi unaweza kukubeba...
Top