da'vinci mshana jr amber rutty baby

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Unatoka Kazini Muda kama huu Kisha Pap Unamkuta kiumbe huyu anatoka nyumbani kwako endelea

    UNATOKA KAZINI MIDA KAMA HII Unampigia mkeo simu halafu haipokelewi,unaamua tu kuelekea nyumbani Ile unafika ndani ya Uzio wako,kabla haujaingia ndani unakuta Mzee mzima SAWAKA Ametuna na ametulia hapo kwa kushiba Vipi utaingia kuhakiki kwanza usalama ama utaanza Na mshukiwa Namba moja...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania rais Wa Iran Akihutubia Umoja Wa Mataifa Sisi Sio Magaidi Sisi Ni Waathirika wa Ugaidi

    Raisi wa Iran leo kazungumza na dunia mbele ya mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa umoja wa Mataifa UNGA wa 81, Hotuba yake ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa ili kupata muelekeo wa Iran juu mambo makubwa mawili. 1- Msimamo wa Iran baada ya vita ya siku 100 ya Marekani na Israel...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyajuwa Kuhusu Vioo Unavyotumia Nyumbani Kwako

    Imani ya kale zaidi duniani kuhusu kioo inasema hivi: Taswira yako kwenye kioo si picha tu. Ni sehemu ya nafsi yako. Katika tamaduni za kale, watu waliamini roho inaweza kujitenga na mwili na kuonekana kwenye maji yaliyotulia ama kwenye kioo. Kitu chochote kilichovuruga taswira hiyo...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetoa wito wa kulindwa kwa raia, kuruhusiwa kwa msaada wa kibinadamu bila vikwazo katika ukanda wa Gaza na Mashariki ya Kati.

    Tanzania imetoa wito wa kulindwa kwa raia, kuruhusiwa kwa msaada wa kibinadamu bila vikwazo na kuhuishwa kwa diplomasia yenye lengo la kupata amani ya kudumu katika ukanda wa Gaza na Mashariki ya Kati. Akihutubia Kikao cha 81 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 22, 2026, Makamu wa Rais...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno Moja Picha yangu Ya Leo usiku

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nachoka!!🤣🤣🤣

  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Bahari imekauka ARGENTINA ALLAH Amedhihirisha nchini Humo

    https://www.facebook.com/reel/1267096312175168 Bahari imekauka ARGENTINA ALLAH Amedhihirisha Uwezo wake nchini Humo
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Lissu: Hakuna Kosa La kuzuia Uchaguzi na Wala Kukinukisha, Tusitishane

    "Ni kwamba hakuna kutishana na vilevile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi hata wasemeje, halipo wala la kuvuruga uchaguzi halipo kwa sheria za Tanzania wala la kukinukisha halipo hata wasemeje sio makosa tusibabaishane na tusitishane" Maneno ya Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI Mambo Makubwa 3 Yanaweza Kutokea iwapo hawa Vigogo kutoa Ushahidi Mahakamani

    Wakili Maduhu William Amechambua kuhusu kuitwa kwa CDF JACOB MKUNDA,,IGF CAMILLIUS WAMBURA NA DCI RAMADHAN KINGAI NA UTETEZI DHIDI YA KESI YA UHAIN NAYOMKABILI MHE LISSU Na haya ndio maswali matatu mazito Kwanza Je Jamhuri wanayo nafasi ya kukata rufaa juu ya haya Maamuz ya Mahakama? Na je...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwa Sasa Hivi Ukila Mboga Kama Umekula Sumu.Ninashauri Serikali iingilie kati kwa undani zaidi kuhusu suala hili

    Mheshimiwa Waziri Muhusika wa Kilimo alifuatilie jambo hili ni Muhimu kwa ajili ya Afya za Wananchi wanaokula mboga za majani. Kwani Wakulima wanawamaliza walaji wa mboga za majani Kwa kutia sumu nyingi ndani ya mboga za majani.
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kiapo kimemtetemesha Ndejembi Wakati akila kiapo cha Makamu wa Rais

    Hiki Kitabu chekundu ni Hatari sana kukishika.
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ingelikuwa ni wewe ungemfanya kitu gani huyu mbwa?

  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania TOP 10 YA Nchi Zenye vurugu Zaidi Barani AFRIKA (2025–2026

    TOP 10 YA NCHI ZENYE VURUGU ZAIDI AFRIKA (2025–2026) Orodha hii inazingatia migogoro ya silaha, ugaidi, mapinduzi, vita vya wenyewe kwa wenyewe na kiwango cha ukosefu wa usalama. 1. Sudan Vita vya wenyewe kwa wenyewe kati ya jeshi na RSF vimesababisha maelfu ya vifo na mamilioni ya watu...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete___ Wakati mwingine acheni watu waseme , mjue wapi mnakosea..............

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Katuni Yangu Ya Leo Jumatatu

    Kauli ya Prof. Anna Tibaijuka inaibua mjadala muhimu kuhusu ukweli wa hali ya deni la taifa (Tanzania). Inaonyesha kuwa huenda kuna tofauti kati ya kauli za viongozi na tathmini za kitaalamu. Hii ni ishara ya umuhimu wa uwazi, uwajibikaji na tathmini ya kina ili kuhakikisha deni halileti mzigo...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya limepiga kura kukielekeza chombo tendaji cha Umoja wa Ulaya kufutilia mbali mpango wa kuipatia Tanzania kiasi dola milioni 179

    Bunge la Ulaya limepiga kura kukielekeza chombo tendaji cha Umoja wa Ulaya kufutilia mbali mpango wa kuipatia Tanzania kiasi dola milioni 179 sawa na shilingi 469.5 bilioni za nchi hiyo kutokana na madai ya udanganyifu kwenye uchaguzi na ukiukaji wa haki za binadamu. Wabunge wa Ulaya...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Enteromix: Chanjo ya saratani kutoka Urusi iliyofikia ufanisi wa asilimia 100 kwenye majaribio ya kitabibu

    Katika kile kinachoweza kuwa muujiza wa kuokoa na kuboresha maisha ya maelfu ya watu duniani, chanjo ya mRNA ya Urusi iitwayo Enteromix imeonesha ufanisi wa asilimia 100 na usalama katika majaribio ya kitabibu. Hii inaweza kuleta matumaini makubwa katika kupambana na saratani sugu na hata...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Taifa teule la Mungu wa-israil wamewakamata Watoto wadogo wa Ki-Palestina na kuwaweka ndani jela Maisha

    Taifa Teule La Mungu Wa-israil Wamewakamata Watoto Wadogo wa Ki-Palestina Na Kuwaweka ndani jela Maisha..Aliyechukuwa video kwa siri akirikodi Sauti za Watoto wakati wa Sikukuu ya eid Wakitoa Takbir Watoto wa Kipalestina.Mtangazaji akitokwa na machozi kwakusikia watoto wadogo wa Ki-Palestina...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Amina Chifupa ilivyoyeyuka

    Mwezi huu wa Juni, Tanzania inatimiza miaka 19 tangu kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM, Amina Chifupa Mpakanjia, aliyefariki tarehe 26 Juni 2007 akiwa na umri wa miaka 26. Kila mwaka ifikapo tarehe 26 Juni, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Matumizi na...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha Yangu ya Leo Unaionaje?

    Wakati Wakenya wakiendelea kuishiikiza serikali kupunguza bei ya mafuta kwa kufanya maandamano makubwa, hivi ndivyo mchora katuni wetu Meddy Jumanne anatathimini kadhia hiyo. Wewe umeona nini? Tuambie kwenye komenti. chanzo.DW Kiswahili
Back
Top Bottom