Wakuu, hii ni aibu na inayotia Kinyaa!!.
Jamaa yangu huyu aliyepo Makao makuu ya Ngorongoro , ananipigia simu kumielezea adha wanayopitia huko Porini kwao kwa karibu mwezi mzima sasa !.
Petroli ianuzwa Elfu Sita kwa Lita, huku Chama cha Mapinduzi (CCM) , Mwenyekiti wake wa Wilaya, DED, DC na...
Watanzania Tunapenda maendeleo bwana.
Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu ya maji taka!
Tena kwa bei chee kabisa... Unakatibishwa inbox
Wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Morogoro, nilibahatika kufika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, ambako nilikutana na jambo lililonishangaza sana.
Kuna shule iliyopo mjini Mahenge ambayo ndani ya eneo lake kuna wananchi wanaoishi katika baadhi ya majengo yanayodaiwa kuwa...
Anonymous
Thread
eneo
eneo la shule
halmashauri
inawezekana
kuuza
ndani
shule
vipi
Tujikumbishe.
Akina Kabudi, et al ambao ni watanganyika, TANGANYIKA inauzwa na wazanzibari. Kabudi and Co. Ltd wanafurahi kwa vile wanapata Tende na Harua!
Nakililia Tanganyika yangu
RIP Mchungaji Mtikila
Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo.
Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh.
Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu.
Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine...
Habarini, nimejiunga na forever living, na sasa ni manager, ila mda wa kufanya hizi biashara mm sina. Nlijiunga kwa ajili ya matumizi yangu tu. Ila naona kama kuna fursa ya kupiga hela. Natafuta mtu mwenye uzoefu na biashara ya networking.
Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi;
Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi!
Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa;
1. Wenyeviti wa mitaa
2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa
3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
Wakuu naombeni maoni, biashara niliokua nimeeinza Sina uzoefu nayo vizuri. Hivyo nimeamua kurudi kwenye biashara ambayo nilishawahi kuifanya ila Sasa nataka niifanyie online kupitia whatsapp. Hivyo wakuu naombeni ushuhuda mliowahi kufanya biashara za bidhaa za kidigital mfano movie, mikeka...
Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo?
Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa?
Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa.
wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums),
Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa September 20, 2023 alifungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa Mzalishaji mkubwa wa nishati na kuwa na umeme wa kutosha utakaopatikana kwa urahisi na nafuu na ziada itauzwa nje ya Nchi...
Maswa, Simiyu: Wakulima wa pamba wilayani Maswa wameonywa kutokubali kuuza pamba kwa mkopo, bali wahakikishe wanalipwa fedha zao mara moja baada ya kukabidhi zao katika vituo vya ununuzi.
Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Maswa, Lukas Kuwingwa, amesema taasisi hiyo iliingilia kati baada ya wakulima wa...
Jamaa anaitwa Victor Lustig mzaliwa wa nchi ya Ufaransa. Alijulikana sana kama “mtu aliyeliuza Eiffel Tower” na cha kushangaza zaidi, alijaribu kulifanya tukio hilo mara mbili.
Mwaka 1925, Lustig alijifanya kuwa afisa wa serikali ya Ufaransa na kuwaambia wafanyabiashara wa chuma chakavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.