kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo bora ukamatwe na Trafiki si Manispaa, huduma yao lazima ikuingize matatizoni

    Sisi tunaoendesha usafiri wa Bajaj na Bodaboda hasa Taksi Mtandao tunaomba utaratibu wa Kariakoo wa kushusha abiria uwekwe wazi na katika mpangilio unaeleweka. Hatujui ni wapi pakupakia wala kushusha, tunakamatwa na kutozwa pesa nyingi kila mara imekuwa ni bora ukamatwe na Traffic Police na...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Suala la Machinga kuondolewa kariakoo kuna haja serikali ipelekwa mahakamani.

    Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa. Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo. Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi...
  3. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kiongozi wa Yanga anafanya mawasiliano na baadhi ya wachezaji wa Simba ili awarubuni kuelekea darby ya kariakoo ya tar.10.10.2026

    Hapo vip! Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi. Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
  4. makpridash

    JamiiForums Tanzania Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

    Habari kwako wewe Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa. Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni. Mimi kama mtu mzima huyu...
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi kuwa kariakoo hapo baadae asema Diwani Haji Fundi Haji siku ya usafi wa mazingira

    Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya kuifanya kata hiyo kuwa kariakoo ya baadae
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Biashara kariakoo kupangwa upya

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkoa unaandaa utaratibu mpya wa kuwapanga na kuwatambua wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo kwa kuzingatia ukubwa na aina ya biashara wanazofanya. Alisema hatua hiyo inalenga kuondoa mkanganyiko uliopo katika eneo hilo, ambako...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba kuweni makini wachezaji wasirubuniwe kuelekea kariakoo darby ya.10.10.2026

    Hapo VIP! Wanajua Simba sasa hivi inakikosi imara Na hawezi kushinda match. Sasa kuweni making wachezaji wasinunuliwe Na vijisent wakauza match.Hawa jamaa mnajua wanatembelea upepo wa siasa uliopo kwa sasa madatakani. Uongozi wa Simba kuweni makini sana
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot for sale at Kariakoo Gerezani Sokoine drive

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 2B. For more...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Apartment for sale at Kariakoo Tandamti street

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  11. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 15 simu zinazoongoza Kwa mauzo Kariakoo mpaka Sasa

    Soko la kariakoo ndio soko kubwa Tanzania na afrika mashariki lenye kila aina ya products , zaidi linauza simu za kila aina . Maelfu kwa maelfu ya simu yanauzwa kila siku , lakini ulisha wahi kujiuliza ni simu gani haswa zinaongoza kuuzwa katika soko hili maaraufu afrika mashariki ? Kama bado...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED DAWASA: Tumerekebisha mfumo wa maji taka uliokuwa na changamoto TANDAMTI - Kariakoo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya maji taka kusambaa katika Mitaa ya Tandamti / Mkunguni / Sikukuu/ Congo maeneo ya Kariakoo imefanyiwa kazi. DAWASA imeeleza “Changamoto hiyo tayari imefanyiwa kazi kikamilifu, pichani ni eneo la TANDAMTI...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Kariakoo napataje frem nzuri iliyopo mbele

    Mambo vipi wadau, natafuta frem nzuri iliyoko mbele Kariakoo. Karibuni wadau kwa maelekezo zaidi.
  14. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Apartment inauzwa Kariakoo, Dar Es Salaam kwa bei ya Milioni 115

    Watu wa Kariakoo na wawekezaji mpo? Apartment safi inauzwa KARIAKOO MJINI! Location: Kariakoo - katikati ya biashara, karibu na soko, usafiri masaa 24 Details: ✓ Bedrooms 3 - kubwa na zenye nafasi ✓ Ipo Floor ya 5 - hewa safi na muonekano mzuri ✓ Inafaa kwa kuishi na kwa kupangisha - wateja...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo Mitaa ya Likoma & Masasi Street maji taka yanatiririka barabarani, ni hatari kwa Watu

    Hali ya maji taka yanayotiririka barabarani katika maeneo ya Likoma Street na Masasi Street, Kariakoo – Dar es Salaam. Kwa sasa ni siku kadhaa hali imekuwa hivyo, yanatiririka barabarani, hali hii imekuwa kero kubwa kwa watembea kwa miguu, hasa pale wanapopishana na Vyombo vya Moto na kurushiwa...
  16. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Bhana

    Unaweza kuona Mtu yuko bize sana akienda huku na huko Kumbe kapotea. Wakuja msiivanie miji ya watu.
  17. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs?

    Wakuu mambo niaje? Kwa hapa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs za Uingereza kama hizi?
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Jackson wa Oysterbay Polisi, atambuliwa kwenye CCTV footage ya utekaji wa Kijana Kariakoo

  19. M

    JamiiForums Tanzania Video ya CCTV camera ikionyesha utekaji wa Peter Richard Mushi Kariakoo

    Huyu kwenye video Anaitwa Peter Richard Mushi ni fundi simu Kariakooalipigiwa simu tarehe13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anahitaji kutengenezewa simuAlimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza Alikutana na huyo mteja...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kijana Peter Richard Mushi {Tosh} wa Kariakoo apotea kusikojulikana baada ya kupigiwa simu na mteja wake akampokee

    TAARIFA YA MTU ANAYETAFUTWA JINA: Peter Richard Mushi (Tosh) UMRI: Miaka 35 KAZI: Fundi Simu ENEO LA KAZI: Kariakoo, Mtaa wa Agrey, karibu na Akiba Bank. TAARIFA ZA KUPOTEA: Peter Richard Mushi (Tosh) alionekana kwa mara ya mwisho tarehe 13 Agosti 2026, majira ya mchana. Alipigiwa simu na mtu...
Back
Top Bottom