Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Summary:
The project will involve the following components:[2]
A port at Manda Bay, Lamu
Standard gauge (1,435 mm (4 ft 8 1⁄2 in)) railway line to Juba and Addis Ababa, the South Sudanese and...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
It is time to put things to end now, lets give an account of progress for these two projects! No more time for mere yaps...
CC: Tony254, joto la jiwe, NDINDA n eliakeem
Moderator plse pin...
Humu jukwaani, kunapotokea ubishi wenye mwelekeo wa "Kimataifa", utaukuta ni baina ya Mkenya na Mtanzania.
Lakini inafahamika kuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ina nchi kadhaa zaidi ya Kenya na...
Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia.
Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya...
Jennifer Gitiri ameshtakiwa kwa kushikilia nafasi nono kadhaa za kazi za umma
She is:
Acting CEO, Council of Legal Education.
Acting Secretary, Council of Legal Education
Deputy Director, Assets...
Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyikazi (COTU), Francis Atwoli amewashukia Wakenya wanaolalamika kuhusu Kupanda kwa gharama za Maisha na Kodi, akisema Ruto alikuwa wazi kuwa anataka...
Wiki ijayo ninatarajia kwenda Mombasa nchini Kenya. Nipo Mwanza, na nitavukia mpaka wa Sirari. Naombeni mwongozo kwa wenyeji na wazoefu:
1. Ni muda gani mzur kusafiri kutoka Sirari kwenda...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametia saini muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote na sasa imekua sheria kamili.
Novemba 2, 2023 Bunge lilipitisha muswada huo kwa asilimia 100 na...
Ni mchungaji Paul Mackenzie wa nchini Kenya ambaye pia shambani Kwake walikutwa wamezikwa Waumini wake zaidi ya 400 Kinyume cha sheria
---
Kenya court jails cult leader Mackenzie for one and half...
Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika
17 Julai 2018
Sambaza habari hii Email Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Whatsapp
Image...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Chagua amewakosoa Magavana wa maeneo yaliyokumbwa na Mafuriko nchini humo na kueleza kuwa hajaridhishwa na hatua wanazochukua ili kukabiliana na janga hilo lililoua...
Kikosi cha kanda ya Afrika Mashariki kimeanza kuondoka katika eneo lenye matatizo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wanajeshi hao walitumwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo...
Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika...
Takwimu nchini Kenya zinaonesha nchi hiyo inashika nafasi ya saba kwenye orodha ya mataifa yenye idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI duniani, huku Rwanda na Tanzania zikitajwa kufanikia...
Mwanaharakati wa ODM, Nuru Maloba Okanga, ameshtakiwa kwa kumtusi Rais William Ruto kupitia akaunti yake ya YouTube.
Okanga alifika mbele ya Hakimu Mkuu wa Milimani, Lucas Onyina, ambapo alikana...
Rufiji Hydropower Project
The 2,100MW Rufiji hydropower project is being built on the Rufiji River in Stielger’s Gorge, Selous Game Reserve of Tanzania. With a gross output of 5,920GWh, the plant...
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa...