sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kwanini mwanaume mwenye wake wengi halali nao sehemu moja?

    wakuu wasaalamu. Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine wilaya nyingine, au wilaya moja lakini mbali mbali! Na kabla hajaoa alimtaarifu Mke wake...
  2. G

    Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga Biashara ikiwa na wateja...
  3. W

    Changamoto gani umewahi kutana nayo sehemu umejitolea kufanya kazi?

    Wakuu habari, Embu tujadili hili swala hapa. Mimi baada ya kumaliza form 6 niliamua kujitolea kwenye shule fulani hivi ya sekondari nikisubiri kujiunga na chuo kikuu. Sasa bwana pale kuna changamoto nilikutana nayo kwamba kuna supervisor wangu alinielewa. Mimi nikamkatia bwana kwa sababu...
  4. R

    TANROADS Tanga rekebisha sehemu ya Mwakidila kwenda daraja la wachina Mwahako, hakupitiki na mvua za leo

    Mchina amemwaga tope na sasa leo na mvua hii ya tangu saa 9 usiku mpaka sasa hapapitiki. Tafadhali njooni mkwangue mtoe huo "uji" ambao umeweka madimbwi kwenye kipande hicho. Kutoka Chalinze kwenda daraja la wachina. Actually ni mpaka kwenda Kibaoni junction ya kwenda Mgwisha.
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao. Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
  6. aBuwash

    Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  7. Chris makini

    Tatizo la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma na kuhisi kizunguzungu inaweza kuwa ni dalili ya changamoto gani?

    Habari ndugu Wana jf. Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende kwenye tatizo nina mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 anasumbuliwa na kichwa kuuma na kuwa...
  8. P

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Wakuu, Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye, dunia haijawahi kuona kama huyu! Hivi hamuoni aibu? Hamsikii haya kwa huu ujinga mnaofanya? Yaani...
  9. N

    Déjà vu: Umewahi kuwa sehemu, au kufanya kitu ukahisi ulichofanya au mazingira ya hapo kwa muda huo yamejirudia kabisa?

    Hiyo hali inaitwa déjà vu, Wanasayansi wameielezea kwa theories tofauti wakielezea inasababishwa na nini. Ila bado hamna jibu rasmi linalokubaliwa na wanasayansi: Theory mojawapo inaeleza kwamba, Namna ambayo ubongo huhifadhi kumbukumbu, mfano kuna jina unalijua limehifadhiwa kwenye ubongo...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Georgian politician punches opponent in face in brawl over ‘foreign agent’ law

    Georgian lawmakers came to blows in parliament on Monday as ruling party legislators looked set to advance a controversial bill on “foreign agents” that has been criticized by Western countries and sparked protests at home. Footage broadcast on Georgian television showed Mamuka Mdinaradze...
  11. R

    Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  12. Bulaya001

    Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

    Salamu wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo. Natanguliza shukrani 🙏🙏
  13. H

    Ubaguzi na dharau uko kila sehemu, unahitaji jicho la tatu kuona mambo

    Wengi tunadhani ubaguzi ni wa rangi tu, hapana kuna ubaguzi wa nchi kubaguliwa bila kujali rangi zao. Mimi nataka kuongelea Tanzania tu. Nchi yetu kuna matabaka tofauti, Mswahili, mwaarabu. Indian na mpaka wasomali lakini sote ni wa Tanzania. Kuna jambo mimi muda mrefu limekuwa linanikera sana...
  14. M

    Kufananisha mafuriko ya Rufiji na yanayotokea sehemu nyingine ya nchi ni kutaka kuficha udhaifu wa viongozi na watendaji

    Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji. Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji kamwe hayawezi kuwa sawa na mengine kwa sababu, 1. Ukubwa wa mafuriko na eneo kubwa...
  15. mchawi wa kusini

    Sijaona viongozi wa Serikali wakiizungumzia Rufiji kama ilivyotokea sehemu nyingine zilizopata majanga

    Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
  16. R

    Kwanini Ibada ya Eid maeneo mengi Tanzania imefanyika nje ya nyumba za Ibada?Kiimani kuna Sehemu tumekiuka masharti ya dini au inaruhusiwa

    Dini ya kiislam inatoa mwongozo wa kila jambo linalohusu ibada na hata maisha binafsi ya muumini wa dini hiyo. Nimeona ibada ya Eid ikifanyika maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na maeneo mengine kama haya. Mimi kama great thinker kazi yangu nikuibua mada kwa lengo la kubadilishana uzoefu...
Back
Top Bottom