Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao
Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21?
Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao?
Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia
Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh...
Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee.
Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa...
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii?
Sh...
Mpendwa Msomaji,
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, ametangaza mpango wa kujenga msikiti mkubwa jijini Arusha ambao utatumika kwa ibada na kuwa kivutio cha utalii.
• Gharama: Makadirio ya awali ya ujenzi yanatajwa kuwa kati ya dola za...
CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Msikiti wa bilioni 21 una faida gani kiuchumi na well being kwa individuals, na society .
Hawa viongozi walafi na walevi wa madaraka, wanawaona Watanzania kama their source of personal income.
Juzi tumeona kaboti ka bilioni moja...
Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V).
Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
Anonymous
Thread
low voltage
maarufu
maeneo
mdogo
msikiti
sana
sauti
umeme
wakazi
Kuna msikiti na madrasa vinajengwa jirani kabisa na nyumbani kwangu mimi ni mkristo, je wakristo wenzangu wenye uzoefu na mambo hayo nauliza tu kuna shida yoyote kuishi jirani na msikiti?
Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa.
Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti...
Haya ni maneno kutoka kwa USTAZ JUMA MANUSOMA kutoka kwenye page yake ya mtandao wa kijamii Tik tok anasema
"Huu msikiti unaitwa Masjid Shafii. Nimewahi kuwa imamu na sheikh katika msikiti huu kwa kipindi fulani huko nyuma. Nililazimika kuacha baada ya kuona mshahara niliokuwa nalipwa ulikuwa...
Sisi wakazi wa Buswelu Nyamadoke, eneo la Ibinza Msikiti wa Chini, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza, tunaomba Serikali na mamlaka husika kutusaidia kutufikishia mtandao wa mabomba ya maji ili nasi tuweze kuunganishiwa huduma ya maji safi na salama.
Kwa sasa, eneo letu halina mtandao wa mabomba...
Iran imemnyonga mwanamume aliyekuwa akituhumiwa kuwa kiongozi wa mtandao unaohusishwa na idara ya ujasusi ya Israel na pia kushiriki katika kuchoma moto msikiti jijini Tehran wakati wa maandamano ya mwezi Januari, kwa mujibu wa chombo cha habari cha mahakama kiitwacho Mizan News Agency.
Mizan...
SIKU SHEIKH ROCKET ALIPOPIGA ADHANA MBILI MOJA KIBLA MASJID BADAWY NA NYINGINE NDANI SOKO MJINGA KISUTU
Sikupata kujua wala kuwaza kwa bali kuwa rafiki yangu mmoja alikuwa rafiki wa Sheikh Rocket tena rafiki yake wa kukaa, kuzungumza, kutembeleana nyumbani na kula pamoja.
Huyu sahib wangu ni...
Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka.
Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
Kanisa Kuu la Córdoba, pia linalojulikana kama Msikiti-Kanisa Kuu la Córdoba (Mezquita-Catedral de Córdoba), ni la kipekee kwa sababu ya historia yake ya ajabu na usanifu.
Awali, ujenzi huo ulianza kama kanisa la Kikristo katika karne ya 6, lakini mwaka 784 BK, uligeuzwa kuwa Msikiti wa...
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili...
Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.