safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
 1. Mwanamayu

  Badala ya kuhangaika kunishukuru, kafanye nilivyokufanyia kwa mwingine mbele ya safari na siku zote

  Tabia mbaya ya wengi wa madereva Bongo, hasa Dar es Salaam ni kutokuruhusu madereva wengine kuingia barabara kuu ingawaje sheria inawapa wao maamuzi hayo. Lakini, kuna wakati mwingine nao utaka kuingia njia kuu. Yawezekana hawa ndio wanaolazimisha. Na inawezekana wanabania wengine kulipiza...
 2. Mowwo

  Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

  Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua? Gharama kwa siku ni kiasi gani? Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
 3. Mwinajr25

  Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

  Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
 4. SANCTUS ANACLETUS

  Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

  Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
 5. SANCTUS ANACLETUS

  Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

  Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
 6. Lord denning

  Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

  Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
 7. Analogia Malenga

  Safari zimemfanya Tyson apate chanjo ya Corona

  Gwiji wa ngumi za kulipwa, Mike Tyson amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha. "I didn't do it willingly," Tyson alisema bondia huyo mwenye miaka 55 akikaririwa na tovuti ya...
 8. Pascal Mayalla

  Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

  Wanabodi Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!. Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!. Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha...
 9. Insigne

  Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

  Newcastle United iliingia katika mfumo wa private company limited by shares mnamo Tar. 6 September 1895, timu hii Ilijiendesha kwa mfumo huu hadi karne 20 ikiwa inatawaliwa kwa umiliki na Mckeag, Westwood na Seymoor family hadi kufikia Mwezi wa 4 1997. Katika kipindi hicho alitokea tajiri...
 10. B

  Safari ya Makamba Wizara ya Nishati, Rushwa, Kuachia ngazi na Mengineyo toka 2010

  Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia kwake bungeni. Ilikuwaje akaaminiwa katika nafasi hiyo? Na nini kilipelekea kamati hiyo kuvunjwa...
 11. Geza Ulole

  Matumizi ya ndege za kukodi kwenye safari za serikali za viongozi ni kwa faida ya nani?

  Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na wahudumu! Huu ndo uzalendo kweli? MY TAKE Mishahara ya wafanyakazi wa shirika la ndege la serikali...
 12. hp4510

  Msaada kwa wataalam wa Safari za Dubai

  Habari wakuu, Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3. Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa. Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
 13. CM 1774858

  Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma | Rais Joao wa Angola ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo

  Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma | Rais Joao wa Angola ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia, " Hakuna kama Samia " Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais...
 14. Pascal Mayalla

  Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

  Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
 15. beth

  #COVID19 Waliochanjwa kuruhusiwa kuingia Marekani kuanzia Novemba

  Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona kikamilifu wataruhusiwa. Vizuizi vya kusafiri Nchini Marekani vimekuwepo tangu mapema...
 16. Stephano Mgendanyi

  Safari ya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini New York ni ya muhimu kiuchumi

  KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI. BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia ameanza safari kuelekea New York Marekani kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na...
 17. CM 1774858

  Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari za nje 9 tu Wazalendo kelele kila kona. Je ni Ushamba?

  Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59|Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona,Je,Niushamba,Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu. ________________________________ Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji...
 18. Poppy Hatonn

  Safari ya astral

  SOMO LA TISA Katika somo la mwisho tulishughulikia katika hatua za kumaliza na mawazo. Tulisema "mawazo ni wapi unataka yawe." Hiyo ni fomula ambayo kwa kweli inaweza kutusaidia kutoka nje ya mwili, kufanya safari ya astral. Wacha tuirudie. Mawazo ni wapi unapotaka yawe. Nje yako...
 19. Poppy Hatonn

  Safari ya astral, safari ya kwenda kwenye nyota

  SOMO LA TISA Katika somo la mwisho tulishughulikia katika hatua za kumaliza na mawazo. Tulisema "mawazo ni wapi unataka yawe." Hiyo ni fomula ambayo kwa kweli inaweza kutusaidia kutoka nje ya mwili, kufanya safari ya astral. Wacha tuirudie. Mawazo ni wapi unapotaka ywe. Nje yako, ikiwa...
 20. Lycaon pictus

  Safari ya Bulicheka na mke wake katika nchi ya Wagagagigikoko.

  Unaweza kusoma bure hadithi hii na nyingine nyingi ndani ya maktaba app(by pictuss). unaweza tembelea hii thread kwa habari zaidi...
Top Bottom