Kamanda Jeshi la Wanahewa la Zambia adaiwa kupigwa risasi na mkewe

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,319
24,218
Lusaka, Zambia
1706573006252.png

Picha maktaba : Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha mstaafu na mkewe Jane Lusengo Shikapwasha .


Bi. Jane Lusengo Shikapwasha umri miaka 73 (kulia ktk picha) ambaye ni mke wa Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha ni mshukiwa mkuu wa madai ya mauaji hayo.

Kamanda huyo wa zamani wa Jeshi la Wanahewa la Zambia na waziri wa zamani wa mambo ya ndani , alifariki Jumatatu usiku katika Hospitali ya Kijeshi ya Maina Soko baada ya kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake katika hali isiyoeleweka.

Makachero wataalamu wa bunduki wametumwa nyumbani kwa marehemu Lusaka Ibex Hill ili kubaini chanzo cha mauaji hayo ambayo yamelishtua taifa.
1706574357630.png

Picha maktaba: mama Jane Lusengo Shikapwasha na mumewe.


Katika mahojiano na Diamond News, mwakilishi wa familia na aliyekuwa Mke wa Rais, Dk. Maureen Mwanawasa, anasema familia hiyo itazingatia uchunguzi huo. Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha mstaafu, alikuwa rubani mzoefu aliyepanda vyeo ndani ya jeshi, alipata kuwa rubani wa ndege ya rais wa kwanza wa Zambia Kenneth David Kaunda na pia mchungaji wa kanisa.

January 2024
President Hichilema Mourns Former Foreign Minister Ronnie Shikapwasha


1706573935287.png

Photo : the late Rev. Lt. General Ronnie Shikapwasha

President Hakainde Hichilema has learnt with deep sadness the news of the passing of Lieutenant General Ronnie Shikapwasha, former Cabinet Minister and Zambia Air Force Commander.


Lt. Gen. Shikapwasha, 76, passed away on 15th January, 2024 at Maina Soko Medical Centre in Lusaka. He served as Minister of Foreign Affairs of the Republic of Zambia from 10th January, 2005 to 26th July, 2006.


“We received the news of the passing of Lieutenant General Ronnie Shikapwasha, former Zambia Air Force Commander and Cabinet Minister, with profound sadness. Our prayers and thoughts are with his family and loved ones during this difficult time. May his soul rest in peace,” read the President’s message of condolences.

During his years of active public service, Lt. General Shikapwasha also served as Minister of Home Affairs and Minister of Information and Broadcasting Services. Lt. Gen Shikapwasha was Member of Parliament for Keembe Constituency from 2003 to 2016.
 
... huyo mama kabila gani? Circumstancial evidence kwenye hili tukio inam-favor kwa kila hali; ana roho ngumu sana kumuua mume, jenerali, mchungaji, waziri, na kubwa zaidi binadamu tena nyumbani kwake kwa kutumia bunduki! Mbaya sana.
 
Rambirambi za zamiminika kumkumbuka marehemu Rev. Lt. General Ronnie Shikapwasha.


View: https://m.youtube.com/watch?v=zV30XdRbsEQ
A look at the life of former member of Parliament for Keembe, former Minister of Information and former ZAF Commander LT Gen Ronnie Shikapwasha.

Mapenzi yashakuwa tabu kulingana na nyakati na timu kataa ndoa inajichukulia tu ushindi kimasihara.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Back
Top Bottom