amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha Yangu ya Leo Unaionaje?

    Wakati Wakenya wakiendelea kuishiikiza serikali kupunguza bei ya mafuta kwa kufanya maandamano makubwa, hivi ndivyo mchora katuni wetu Meddy Jumanne anatathimini kadhia hiyo. Wewe umeona nini? Tuambie kwenye komenti. chanzo.DW Kiswahili
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traoré: Sitaki Polisi Watembee na Bunduki Nchini kwangu, Wananchi Hawapaswi kuishi Kwa Uoga Rais Ibrahim Traore

    Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, ameendelea kusisitiza umuhimu wa amani na mshikamano kati ya vyombo vya dola na wananchi, kwa kueleza kuwa hataki polisi wake kutumia vitisho kwa raia wala kutembea na bunduki kwa namna inayoweza kuleta hofu kwa wananchi. Traoré amesema lengo lake ni kuona...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanauawa kwa risasi South Africa (Sauzi). Nini kiko nyuma ya pazia?

    Kuna video moja nimekutana nayo mtandaoni kutoka NYUNDO TV inayozungumzia suala zito sana na la kusikitisha ambalo limekuwa likitokea hivi karibuni kwa ndugu zetu walioko Diaspora. Video hiyo imebeba maudhui: "Kwa nini watanzania wengi kufa kwa kupigwa risasi South Afrika siri hii hapa." Kama...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno picha yangu ya leo asubuhi

    Mtego waPanya huo.................... UTANI KIDOGO! KIM JOUNG UN Ameweka Bendera Ya IRAN Korea Kaskazini Ili TRUMP Afikirie Kuwa Ni Iran. apate Kuipiga Korea ya Kaskazini.......
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Jerusalem leo yageuka kama Gaza, Makombora toka Iran yameshushwa kama mvua 30 Km za Maraba zimeharibiwa vibaya sana

    Jerusalem today looks like Gaza .. IsraHELL you get what you deserve
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mtakumbuka huu UJUMBE , tunaelekea Tanzania kuwa kama ZIMBABWE.Ameandika Mheshimiwa Godbless Lema

    Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni kielelezo cha...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi amemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania asiruhusu kesi kama hizo. Tundu Lissu atolewe

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA akabidhiwa Gari Na Wa-Tanzania Wenye Urai Wa Oman

  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba29 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa – vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imempiga Marufuku Dawa ya Kutibu Maradhi ya Uvimbe WaTezi Dume ya Dr Samsung Misango Asiuze.Kwani Anaharibu biashara ya vidonge

    Serikali imempiga Marufuku Dawa ya Kutibu Maradhi ya Uvimbe WaTezi Dume ya Dr Samsung Misango Asiuze.Kwani Anaharibu biashara ya vidonge Vinavyouzwa na serikali na kufanya Operesheni ya Tezi Dume wagonjwa hawaendi tena kutibiwa Hospitali.Kwani Dawa Za Hospitali haziwezi kuponyesha Maradhi ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Abdallah Makame: Oktoba 29 watu waliokuwa na silaha waliua wenzao na kuvamia vituo vya polisi

    Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi. Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ulaya Baridi Kali kuna barifu nyingi sana Kaka bora tubaki huko huko Home huku hakufai au wewe unaonaje ?

  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Rwanda inahatarisha Usalama wa eneo la Afrika Mashariki

    Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani. Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kwamba, badala ya kupiga hatua kuelekea amani, Rwanda inaongoza eneo hilo kuelekea ukosefu wa...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania John Heche amtumia Ujumbe wa wazi Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Usinywe TENA Dawa Hizi TANO ( 5 ) Ukiwa Na MALARIA

  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Faida mojawapo inayopatikana kutokana na maandamano

  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Baba wa Taifa. RIP Baba wa Taifa Tanzania, Mwalimu Nyerere

  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ulaya Ni Magumu sana...............

  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ninajipongeza leo siku kuu yangu ya kuzaliwa, HAPPY BIRTHDAY TO ME

    Today is My Happy Birthday nina jipongeza mwenyewe siku yangu ya kuzaliwa Ninawakaribisha Marafiki zangu wote karibuni tusherehekee sikukuu yangu ya kuzaliwa. Karibuni nyote. . ...
  20. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
Back
Top Bottom