dereva

 1. Synthesizer

  Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

  Nimesoma habari kuwa ajali imetokea huko Dodoma usiku wa Jumapili 29 December wakati lori lenye namba T364 AZZ lilipokuwa likijaribu kukwepa shimo kubwa barabarani liliigonga Coaster yenye namba T846AYU na watu sita kufa hapo hapo. KUna majeruhi wako hospitali wengine ICU. Kutokana na tukio...
 2. Bonde la Baraka

  Mjadala: Leseni inapokwisha muda wake ni sahihi dereva kuilipia kisha kupewa mpya bila kupewa mafunzo tena?

  Kuna vitu mtu unashindwa kujua lengo la serikali zetu hizi, dereva anapewa leseni, anaendesha gari kwa miaka fulani kisha inachuja (expire). Inampasa alipie kiasi fulani kisha apewe kadi (leseni) nyingine. Lengo ni kudhibiti ajali barabarani au kuongeza mapato? Kama lengo ni kuongeza mapato...
 3. mageta mageta

  Dereva wa uber

  Habari wana JF Dereva wa uber anahitajika Vigezo: 1. Awe na experience ya biashara 2.awe na account uber [active account] 3.awe mkazi wa dar es salaam Kama yupo anitafute kwa namba hii 0656735641
 4. Influenza

  Waziri Lugola amkamata dereva wa basi aliyetaka kusababisha ajali, apelekwa Polisi abiria warudishiwa nauli

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha kuovateki bila ya kuwa na tahadhari katika barabara kuu ya Mwanza Mara. Magari hayo ni basi lililokuwa na abiri liitwalo Manoni Safaris lenye namba za usajili...
 5. mohamedidrisa789

  Dereva wa magari madogo anatafuta kazi kwa mshahara wowote ule wala hachagui kazi

  Dereva wa magari madogo anatafuta kazi yoyote ile ya udereva.yupo dar es salaam, ana uzoefu wa kuendesha magari ya aina yoyote ile na hachagui kazi. Mawasiliano 071666219 na 0621537507
 6. Mwalimu wa tuisheni

  Hivi ni vigezogani vinatakiwa ili mtu aweze kuwa dereva wa gari la wagonjwa?

  Vigezo gani au sifa zipi anatakiwa awenazo mtu anyetaka kuwa dereva wa gari la wagojwa Nawakilisha.....
Top