mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo azindua kliniki ya ardhi ya kidijiti Mtwara

    MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata elimu na huduma mbalimbali za ardhi, ikiwamo upimaji, upangaji na umilikishaji. Uzinduzi huo umefanyika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania KERO Wakulima huku newala mkoani Mtwara tunapitia hali ngumu kwenye kugaiwa pembejeo za kilimo hasa salfa ya unga

    Inafika wakati salfa inakuja chache watu hulatimika kulala kwenye maghala kugaiwa salfa wakifika maafisa ugani asubuhi wanawapa watu wachache kisa wanasema mtandao unasumbua basi maghala hufungwa na ikifika asubuhi ule mzigo ulobaki unahama na wanasema pembejeo zimeisha je huwa zinaenda wapi...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Mtwara wapewa Elimu ya e- Ardhi, Wahimizwa kurasimisha Ardhi zao Kisheria

    Mtwara- Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda mkoani Mtwara wamepata elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, unaowawezesha wananchi kusajili na kurasimisha viwanja vyao ili kupata umiliki unaotambulika kisheria. Elimu hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa Ardhi (Utawala wa Ardhi), Bi...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-Ardhi Mtwara wafanya mapinduzi makubwa: Masijala za ardhi zenye majarida sasa zahamia kidijiti

    MTWARA Mkoa wa Mtwara umeanza kushuhudia mabadiliko makubwa katika usimamizi na uhifadhi wa taarifa za ardhi kupitia Mfumo wa e-Ardhi, ambapo masijala za ardhi zilizokuwa zikihifadhiwa kwa kutumia majarida sasa taarifa hizo zinaendelea kuhamishiwa katika mfumo wa kidijiti. Hatua hiyo ni sehemu...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi Mtwara waupokea vyema mfumo wa e-Ardhi, wako tayari kuwahudumia wananchi

    📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-ardhi: Mafunzo yaendelea Mtwara, Wananchi kunufaika na huduma za Ardhi Kidijiti

    Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoani Mtwara wakiendelea kupata mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi katika Ukumbi wa Chuo cha Stella Maris, Mtwara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi kwa wananchi. Kupitia mfumo huo...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mtwara kuchele! Mafunzo ya Mfumo wa e-ardhi yaanza kwa kishindo.

    MTWARA Mafunzo ya Mfumo wa e-Ardhi yameanza mkoani Mtwara, huku wataalamu wa masuala ya ardhi wakijipanga kutumia mfumo huo wa kidijiti katika kuboresha utoaji wa huduma za ardhi kwa wananchi kwa weledi, ufanisi na kwa wakati. Mafunzo hayo yanalenga kuwawezesha wataalamu wa ardhi kupata uelewa...
  8. mkumbwa junior

    JamiiForums Tanzania KERO MTWARA NSSF

    Habari,nina malalamiko kuhusu ndugu zetu wa NSSF mkoa wa mtwara hasa wilaya ya masasi kuna watumishi walikuwa wanafanya kazi kituo cha afya REHEMA newala na walikuwa wanakatwa pesa zao lakini walivoondoka kazini mpaka leo hawajapata pesa zao na wengine wamefariki wakiwa hawajapata kuna ndugu...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Bandari Mtwara ulivyoibua fursa za kiuchumi

    Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Mtwara. Mizigo inayopakiwa na au kushushwa kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DED Mtwara Mikindani: Muuza Samaki anayetozwa ushuru kisha akiomba risiti anatishiwa, aje aripoti tuwabaini wanaofanya hivyo

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nawatafuta wanafunzi wa Amanah Islamic high school Mtwara

    Habari za mchana wakuu nina shida na wanafunzi waliomaliza SHULE YA SEKONDARI AMANA ISLAMIC iliyopo MTWARA MJINI nawatafuta wanafunzi tuliohitimu kidato cha sita mwaka 2017 Nawaomba kama wapo humu JANUARY CHIUMBI JAMILA LUKANGA SHAIBU HAMIS AMID KARIMU 0791823730 0623789944
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kiukweli Umeme TANESCO Masasi-mkoani Mtwara Bado ni Kizungumkuti, wanakata sana umeme

    Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3 mfululizo, weekend zote hatuna umeme shida iko wapi? Kama wameshindwa tafadhali wataifishe tumechoka...
  13. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Serikali fungeni barabara ya Kibiti, Lindi hadi Mtwara kwaajili ya usalama wa watu

    Sisi watumiaji wa hii barabara ya kutoka Dar, Kibiti, Lindi hadi Mtwara tunaomba serikali hii kiziwi ufunge hii barabara sioni sababu ya kuendelea kutumika huku wananchi wanateseka na barabara mbovu kiasi hiki. Laiti kama serikali ingekuwa inatujali watu wake ingefunga tu ili turudi kule kwenye...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Habari Wakuu, Nategemea kuwepo Mtwara mjini kwa wiki mbili kikazi. Naomba kujua lodge nzuri na safi hasa zenye internet kwa 30,000 - 40,000. Asanteni.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Waziri Ulega atoa miezi mitatu kwa Mkandarasi wa Barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100) kukamilisha Kilemeta 50

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100), kuhakikisha wanakamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kuufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi na kuunganisha Wilaya mbalimbali za mkoa huo. Ulega ametoa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania UVCCM Mtwara: Kauli za viongozi wa upinzani zifuatiliwe

    Nyie UVCCM kauli za wapinzani zinasumu kwenu? Vipi kauli zenu nyie CCM na kauli zenu ya kwamba ni kauli za asali sana. Embu kuwe weledi hata kidogo basi ================ Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara, katika kikao chake cha kawaida kilichofanyika tarehe...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Red Cross - Mtwara umegubikwa na utata na matumizi mabaya ya madaraka

    Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe 22/06/2026. Mwenyekiti wa Mkoa ambaye hata wanachama hawajui ni mkazi wa Mkoa gani anashirikiana na baadhi...
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya lakini Watanzania tunafaidika vipi na gas ya Mtwara?

    Bei ya gas hipo juu Kwa sasa tunafaidika vipi na gas ya Mtwara iliyoua watanzania na kuwafanya vilema Watanzania wenzetu? Kimya cha wan Tanzania kuhusu gas ya Mtwara kina nipa mashaka sana watanzania tumekua makondoo kuhusu rasilimali zetu.
  20. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Hotel inauzwa, ipo Mtwara, Tanzania. Bei ni dollar 1.6m

    OPERATING BEACH HOTEL FOR SALE IN MTWARA REGION -Invest in this stunning resort and take advantage of the burgeoning tourism industry in Mtwara. -This is your chance to own a piece of paradise and capitalize on a promising future. Features of the Hotel: - 45 rooms - Restaurant -...
Back
Top Bottom