mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania TCRA haioni hawa matapeli mitandaoni wanaotumia majina ya watu maarufu kujinadi kuwa wanatoa mikopo?

    Hii inanishangaza sana. Watu wanatoa wapi ujasiri wa hadi kulipia kabisa matangazo Insta na Facebook kunadi utapeli wao huku TCRA ikiwepo? Ninashangaa sana. Nimeona kuna matapeli yanatumia majina ya Mo Dewji, Spika Mstaafu Tulia na Lady Jay Dee kudai wanatoa mikopo huku wakijua kabisa ni uongo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni na Bush lawyers: If a person tries to frighten, threaten, intimidate or force in relation to treason in Tanzania

    Bush lawyers tuna test mitambo Under Section 39 of the Tanzania Penal Code, treason includes actions carried out with the intent to intimidate, overawe, force, or constrain the Government of the United Republic, the Parliament, or the courts. Here are simple, hypothetical examples of how a...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kakutana na raisi wa UAE leo kudumisha ushirikiano ila wewe mwarabu wa yombo dovya unajifanya kutukana wayahudi mitandaoni😁

    Endelea kupiga ramli😁
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

  5. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

    Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, Ana connections nzito sana kimataifa, Anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye utajiri mkubwa zaidi nchini, wengine wamefikia kusema kwamba hata...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Chanuo ataka kurudi kwa mumewe YJ aliyemdhilisha mitandaoni, hii dunia hii

    Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona. Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Akaunti Bandia Mitandaoni: Kwa Nini Ukubali Urafiki wa "Wachunguliaji" na Wambea?

    Katika ulimwengu wa sasa wa mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook, imekuwa kawaida kukutana na maombi ya urafiki (friend requests) au watu wanaotaka kukufuata (follow requests) kutoka kwa akaunti zisizoeleweka. Akaunti hizi mara nyingi zinatumia majina bandia, picha zisizo zao (au picha...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Onyo: Usimwoe mwanamke anayejipost mitandaoni

    Mwanamke anayejipost mitandaoni aidha ni malaya au ana tatizo la akili. Kutwa kutwa kujirekodi na kutuma picha mitandaoni. Huyo hamna kitu
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hajui kuwa hakuna kiapo kisicholindwa na Sheria/kanuni sijajua kwanini chadema wanamtumia huyu madam

    Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu mwingi ndo maana wanamtumia sana Maria Sarungi Anyway ngoja nitoe elimu kidogo. Viapo vyote...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

    Wakuu, Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM. Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Video ,Dada Anae trend Mitandaoni Kwa Kuichapa Lugha ya Malkia Vyema na Kuipaisha Tanzania Kwa Majibu Yale maskini.

    My Take Ameeleza Kwa kujiamini na Yuko smart 🔥🔥
  13. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Ile barua inayozunguka mitandaoni ni fake mpaka msemaji wa serikali atoe tamko la kuipokea

    Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria. Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mosiria Ataka Communication Authority Ichunguze Content Creators kwa Maudhui ya Utupu Mitandaoni

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imeitaka Communications Authority of Kenya (CA) kuchunguza malalamiko kuhusu baadhi ya content creators wanaodaiwa kutengeneza na kusambaza maudhui ya watu wazima pamoja na kufanya livestreams zinazotajwa kuwa na madhara, hasa kwa watoto na vijana. Katika barua ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira ataka WANA CCM wakutane, wasiingie mkenge wa maneno ya Mtandaoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM kukutana mara kwa mara katika vikao rasmi vya chama ili kujadili masuala muhimu na kuepuka kupotoswa na taarifa zisizo na ukweli zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza leo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza viongozi wa Chadema wa mstari wa mbele wa kutetea haki na Demokrasia nashauri imarisheni mfumo wa uongozi hadi vijini

    Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu. Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu. Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
  17. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa udhalilishaji mitandaoni

    Kutoka kwa dada Mariam Mbano ______ Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu ambao wanatumia matatizo ya wengine kuwadhalilisha, kuwatapeli ama kuwafanyia unyanyasaji. Huyu binti anaitwa Josephine David, picha yake imetumwa kwenye mitandao mbalimbali akidaiwa kuwa ni mwizi na tapeli. Ukweli ni kwamba...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

    SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo binadamu walivyo na haki ya kuwa watu. Sisi sio Malaika na haitakuja kutokea tukawa Malaika. Hiyo...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa anaweza kua anapitia hali gani kisaikolojia baada ya tuhuma zake za ufisadi kutrend sana mitandaoni

    Je, anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili? Kwa maoni yangu, licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kesho, wachochezi, wafaddhili wao, na wafuata mkumbo wa maandamano haramu ya fujo na ghasia, wataishia kutukana na kuporomosha matusi tu mitandaoni

    Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini. Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
Back
Top Bottom