mtoto

 1. Kiki kileo

  Wanaobeza maendeleo mtoto wa miaka 8 awashangaa

  Shangazi yangu alienda kutembea Uingereza akakutana na mtoto wa miaka 8 raia wa uko, mtoto akauliza nasikia Africa ni masikini sana? Shangazi akajibu ndiyo, Mtoto akauliza wewe unatoka taifa gani? Shangazi natokea Tanzania. Mtoto akauliza mbona wewe unajua kiingereza? Shangazi akajibu...
 2. GENTAMYCINE

  Naombeni Msaada zaidi wa aina za Adhabu nje ya Kumchapa Viboko Mtoto ' Mtukutu ' wa kati ya Miaka 7 hadi 9 tu Wadau!

  Nilidhani Fimbo zangu za Kiserikali / Za Wastani ambazo ni Nne ( 4 ) pekee zingekuwa ni sehemu ya Kumbadilisha Mtoto ila nimegundua ya kwamba hizo ' Bakora ' za Kiserikali hazisaidii kabisa ' Kumuadabisha ' Mtoto hivyo sasa nataka Msaada wenu wa aina ya Adhabu ' Kali ' zaidi za Kumpa Mtoto ili...
 3. S

  Mzazi gundua na kuza kipaji cha mtoto wako

  Ni wajibu wa mzazi kugundua na kukikuza kipaji cha mtoto wake. Naomi Osaka,Venus na Serena Williams,Michael Jackson na wengineo vipaji vyao viligunduliwa na kuendelezwa na baba zao. Soma kitabu cha Jinsi ya kugundua na kukikuza kipaji cha mtoto wako kwa msaada zaidi.being 15,000. Piga simu...
 4. Sema Tanzania

  Malezi - Sheria ya Mtoto inasemaje kuhusu picha za watoto mitandaoni?

  Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inatamka wazi kwamba 'Mtu hatachapisha, kutengeneza, kuonyesha au kuagiza kuchapishwa, kuendeshwa au kuonyeshwa picha au taswira ya mtoto au mtoto aliyefariki, inayoonyesha ukatili au katika pozi za ngono.' Ama kwa kujua au bila kujua, jamii hukiuka sheria hii...
 5. snead

  Tatizo la kukosa choo watoto wadogo au kuwa na choo kigumu na jinsi ya kulitatua

  Tatizo la kukosa choo watoto wadogo au kuwa na choo kigumu na jinsi ya kulitatua Tatizo la kukosa choo watoto wadogo au kuwa na choo kigumu na jinsi ya kulitatua Watoto wadogo hasa wale ambao bado wananyonya na ndio kwanza wamenzishwa vyakula vinginevyo zaidi ya maziwa, mara nyingi hupatwa na...
 6. kalovha

  Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

  Habari wanajukwaa kongwe kabisa, Poleni na majukumu ya hapa na pale pia tusijisahau kuwa Adui yetu COVID-19 bado yupo, hivyo wazungu wanasema "Healthy is the new wealth" hivyo Afya ni mtaji wa kila mtu. Naenda straight to the point. Ni hivi: Mimi na mzee wangu ni mstaafu sasa ni miaka mitatu...
 7. Nyendo

  Adaiwa kumuua mtoto wake na kumzika

  MKAZI wa Kijiji cha Sekedidi, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, Lucia Mahazi (42), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kiume wa siku mbili na kisha kumzika, kwa madai ya kutelekezwa na mwanamume aliyempa ujauzito. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana...
 8. Asemavyo

  Niko Njia Panda: Namchumbia msichana mwenye mtoto lakini kwetu sitaki wajue ana mtoto

  Habari zenu, kuna binti niko naye kwenye mahusiano yapata miezi 8 sasa, nimefika hatua ya kutambulika kwao na yeye kutambulika kwetu, Ila kipindi naanza naye mahusiano aliniambia Ana mtoto anaishi na Bibi, yaan mama yake msichana. Tukaendelea na mahusiano. Kadri nilivyokaa naye naona anafaa...
 9. Kizinga mpemba

  Mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi na maziwa hataki kunyonya na nipo mbali na hospitali tatizo linaweza kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto

  Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya. Kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto
 10. Analogia Malenga

  Kenya mtoto auzwa kwa Tsh. 65,000

  Binti wa miaka 17, wa kidato cha pili mkazi wa Butere Kaunti ya Kakamega, amelazimika kumuuza mwanaye mara baada ya kujifungua, baada ya kufukuzwa na baba yake mlezi kwa kuwa na ujauzito huo. Taarifa zinasema binti huyo alifukuzwa kwa kuwa alipewa mimba na nduguye wa karibu hivyo mtoto ambaye...
 11. fungi6

  Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

  Ili limekua likinikumba mno nakujikuta naduwaa nakubaki nangata lips kwa nguvu nikiwaza Nimekua nikiulizwa maswali mno na watoto nyumbani, ila maswali mengine nimekua nikiishia kugoogle maana majibu nakua nakosa, na ili nisionekane sijajibu swali uwa na mimi nawauliza maswali magumu niliyo...
 12. J

  Ukiwa bepari "uchwara" kifikra usijiunge na Chadema maana utalizwa kama mtoto, nenda chama cha Wakulima na Wafanyakazi CCM

  Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa. Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama. Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika. Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
 13. mevikki

  Thread titlejamanii Naomba kuuliza nini kinasababisha mtoto kutosimama

  Message…habari Nina tatizo la mtoto kachelewa kusimama ana mwaka na miezi hata ukimsimamisha hasimami kabisa sijui tatizo litakua nini nimeenda hospitality wakaniambi calcium iko chini ana dawa anatumia nimempeleka kwenye vipimo Nairobi wanasema hana shida daktari kaniambi nimpeleke kwenye...
 14. TIASSA

  Ushauri: Jinsi ya kulea mtoto huku ukisoma

  Wasalaam Kuna kamjomba kangu kalipata ujauzito kakiwa Semester ya Kwanza Degree ya kwanza, sasa hivi mtoto anaelekea miezi 6. Je, anawezaje akaendelea na masomo huku analea? Au mtoto apelekwe kwa Bibi?
 15. protogonist

  Je, kuna tiba ya ushoga kwa mtoto wa kiume?

  Habari wakuu, Inasikitisha sana kuwa na ndugu wa aina hii lakini Mungu ameshapanga. Nia na madhumuni ya kuandika ni kuomba msaada kwenu kama kuna tiba ya tabia hizi aidha iwe ya hospital au ya kienyeji. Natanguliza shukrani ***********UPDATES*********** KAMA NILIVYOSEMA AWALI KWENYE COMMENT...
 16. Erythrocyte

  Je, ni kweli kwamba Lijuakali ameoa mtoto wa Spika Ndugai?

  Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina . Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri . Nakala : Twaha Mwaipaya
 17. J

  Anataka mtoto na mimi

  Nina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na mimi nimempenda Kiana tatizo ndoa yangu
 18. Roving Journalist

  Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

  Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao. Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara. ======...
 19. Erythrocyte

  Habari Njema: Mtoto wa Mbowe apona Corona

  Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona . Nakala imfikie Shetani popote alipo .
 20. Sky Eclat

  Simulizi: Mapenzi ya Mungu hayakwepeki mtoto wa mfalme alikufa licha ya baba yake kujenga ghorofa la vioo ili kumlinda

  Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake. Mtoto yule alipofikisha miaka minne, Mungu Mwenyezi alimtaarifu mfalme kuwa mtoto yule atakufa siku si nyingi...
Top Bottom