foleni

  1. H

    JamiiForums Tanzania Foleni njia ya Goba kupita Makongo

    Njia kuelekea goba kupitia Milimani then Makong imekuwa ba foleni mbaya sana, inatuumiza sana sisi wa goba haa ukizingatia njii hii inasav wakazi wa makongo, goba, madale, kimara, mbezi na sehemu zingine. Unaweza kaa kw foleni for 3hours sehemu ya dk25 na mamlaka zipo tuu. Ukifiatilia ni uzembe...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Juma Nature: Manispaa saidieni raia, foleni ya malori ni kero kubwa Mbagala, tunataabika

    Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Nature akielekezea changamoto ya malori mengi maeneo ya Mbagala ambapo anadai yamekuwa kero na kusababisha udumbufu mkubwa. Nature, staa wa Sitaki Demu na Hakuna Kulala, ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Juni 20, 2026. Pia soma: ~ Hivi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunasota kupata Visa ya China hapa Dar, tunawahi foleni lakini siku ya tatu sasa hatupati huduma

    Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi. Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo hatufanikiwi kupata huduma tunazotarajia, baadhi ya waombaji tumeomba kwa siku ya tatu mfululizo bila...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawapendi kupanga foleni au kukaa kwenye mstari kwa utaratibu kabisa?

    Kama umefika umekuta watu wamepanga foleni au kuna mstari wanahudumiwa kwa nini usikae kwenye foleni na wewe usubirie zamu yako ili waliokutangulia kuwahi wahudumiwe kwanza?! Kama uko barabarani kwa nini unatanua? Tabia za kipumbavu na kinyani za Waafrika zinaanzia mbali sana. Tukiwa shule ya...
  5. Tutu kalundji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Foleni zinavyotuweka kwenye majaribu

    Wakuu picha ndilo linaanza
  6. kimsboy

    JamiiForums Tanzania KERO Lugalo hadi Mwenge kuna foleni balaa

    Kama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu Kuna foleni ya kutisha na haisogei nimekaa hapa ni lisaa limekata hakuna matumaini ya kusogea hata, natamani hata nilitelekeze gari nichukue boda maana kuna mahali natakiwa kuwahi... Hii ya leo ni...
  7. feyzal

    JamiiForums Tanzania KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

    Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale. Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem. Mamlaka...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Morogoro Road kuna foleni leo hatari. Kama sio lazima usipite!

    Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara. Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwananyamala Hospital iongezewe Madaktari, foleni ni kubwa kumuona daktari

    Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri. Nimefika hapa tangu saa mbili asubuhi, lakini hadi kufikia saa 8:20 mchana hatukuwa na uhakika wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya foleni NATTA Mwanza, mistari ya Zebra nayo imefutika, ni kero hasa asubuhi

    Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili vya daladala—kimoja cha kwenda mjini na kingine cha kutoka mjini—lakini miundombinu iliyokuwepo...
  11. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Foleni Challenge

    Leo amepatikana mshindi wa Foleni challenge Dae es salaam, Je unahisi nini hasa kilichoandikwa ndai kilichoshawishi wizara nzima ya ujenzi ?
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  13. P

    JamiiForums Tanzania KERO Hii foleni Mbezi Beach barabara ya chini ni kiboko, hadi bajaji na baiskeli zinakwama!

    Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee? Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo. Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Posta - Salender (1.8km) ila unakaa masaa 2 kwenye foleni

    2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Foleni haitembei kati ya Tegeta na Mbezi Afrikana saa 5 za usiku

    Habari ndiyo hiyo, kama unatarajia kwenda popote, badili njia. Hata bodaboda hazipiti
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara ya kupunguza foleni Dodoma ni mpya lakini imejengwa kizamani, hakuna sehemu ya gari kupaki kwa dharura

    Pia soma:TANROADS: Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) haijakamilika rasmi, inatumika kwa dharura
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KERO Traffic wanaoongoza magari Masana ni chanzo kikubwa cha foleni, tunasimamishwa zaidi ya dakika 30

    Nyakati za asubuhi hapa jijini Dar es salaam kumekuwepo na utaratibu wa Askari wa usalama barabarani (Traffic) wanasimama barabarani hasa maeneo ya Crossway au sehemu zenye mataa ili kudhibiti uelekeo wa magari kwa lengo la kupunguza foleni lakini hali imekuwa tofauti kwani wamekuwa cha...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yapitisha Randama ya Bajeti Wizara ya Ujenzi 2026/2027, yapongeza mikakati ya kupunguza foleni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini. Akizungumza jijini Dodoma...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwani mamlaka jijini Arusha hazioni mashimo barabarani Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi? Yanachangia foleni

    Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Kongowe - Kibaha leo 12.03.26 ni mbaya sana

    Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi. Sereikali mko wapi? Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa barabara hii mtakua mmefanya kitu? Wako wapi mawaziri wenye maono na maamuzi? Wako wapi wakuu wa...
Back
Top Bottom