hela

 1. TENGEFU

  Waziri Bashe tulipeni hela zetu wakulima tuliouza mbegu ASA, tunaumia

  Mimi ni mmojawapo wa wakulima tulioingia mkataba na wizara ya Kilimo kuzalisha mbegu bora za kilimo kupitia wakala wa uzalishaji wa mbegu bora za Kilimo; ASA. Ni takribani miezi 9 sasa tangu Agosti na September mwaka 2021tulizalisha na kuuza mbegu kwa mujibu wa mkataba wa uzalishaji hadi sasa...
 2. Roving Journalist

  Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

  Rais Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Tabora kwa ajili ya kushiriki Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chany, leo Mei 17, 2022. Rais Samia ameanza kuongea ===== RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Lengo la Serikali ninayoiendesha inalenga kujenga miundombinu ya barabara na madaraja ili kuiunganisha...
 3. aise

  Muogope sana mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela

  Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana. Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea. Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome. Wewe hauna hela...
 4. Haya_Land

  Hivi kipindi Kama hiki Ngoswe halikuwa ameshapeleka Maombi ya sensa ?

  Wakuu eti kipindi Kama hiki Ngoswe alikuwa Ameshapeleka Maombi ya Sensa?
 5. ommytk

  Hivi ile hela mwanaume anayompaga mwanamke baada ya tendo inaitwaje?

  Habari za leo wadau ebu kwa wataalam na wahenga naomba ebu tujuzane kuhusu ili jambo maana kila mtu na ujuzi wake na je unaweza kutoa kwa mkeo ndani na kwanini mke apewi hii hela baada ya tendo
 6. Donnie Charlie

  Unaweza kuchukua hela hapa?

 7. Jidu La Mabambasi

  CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia serikalini!

  Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo. Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi: Kesi ya...
 8. Superbug

  Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

  Imagine mkeo au demu wako kakukimbia halafu baada ya muda flani anakutumia msg ya kukuomba hela je utampa? Ukimpa kwanini? Usipompa kwanini?
 9. M

  Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

  Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli. Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
 10. Chukwu emeka

  Rwanda vipi tena? Hela inawaondolea heshima kiasi hiki

  Rwanda imeingia mkataba wa poundi takribani milioni 150 ili ipokee wakimbizi haramu watakaodakwa nchini UK. Mpango aina hii muasisi ni Macron wa France. Yéyé aliingia mkataba na Libya. Pamoja na kuhamishiwa wakimbizi haramu Toka France Kwenda Libya mkataba wao pia unaitaka mamlaka ya Libya...
 11. big dreamer

  Nilikula hela ya ada form 3 nikatumia njia hii mpaka wazazi na walimu hawakugundua kama nimetafuna

  Habari wakuu! Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
 12. Wimbo

  Rais Samia, gharama za maisha zinazidi kupanda juu. Penye njaa na mateso hapawezi kuwa na amani

  Mama Mpendwa Shalom Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu. Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
 13. sky soldier

  Kuna ukweli wowote katika aina hii ya utapeli?

  Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka. Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
 14. Suley2019

  Tazama hela wanazopata Timu Zilizofuzu robo fainali Kombe za Shirikisho

 15. Mromboo

  Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Aziomba hela za NGO's kutoka USAID

  Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao...
 16. BigTall

  Matapeli wanavyotumia jina la Rais Samia, Ikulu kufanya utapeli wa kupiga hela

  Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea. Source: East Africa Radio
 17. L

  Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

  Habari za jioni wadau! Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
 18. Q

  Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

  Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako. Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
 19. Optimists

  Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

  Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa...
Top Bottom