mawaziri

 1. B

  Mawaziri waachie Ngazi kutoa Nafasi kwa Mwanzo Mpya

  Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
 2. D

  Baadhi ya mawaziri wakiongea hawatofautiani na viongozi wa vyuo vikuu kwa hoja za kitoto

  Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea! Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango. Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
 3. B

  Tumsaidie Rais Samia kuwaondoa Watendaji Mizigo

  Kama Wananchi tunalo jukumu takatifu la kumsaidia mama Samia kuwaondoa serikalini watendaji mizigo wakiwamo Mawaziri. Hii ni hata kama jukumu hilo linaweza kuwa chungu, hatari au kuwa na consequences kwetu: Viongozi waongo wakiwamo wasioheshimu haki, wala uhuru wa watu zetu, sheria au...
 4. fasiliteta

  Mawaziri Hawa watumbiliwe

  Mpaka Sasa mawaziri walioshindwa kuendana na mama Samia Suluhu na wanapaswa kukaa pembeni ni; 1.Mwigulu Nchemba-huyu Tangu mwanzo ofisi ilimshinda,ni waziri anayeongoza kwa madudu ktk serikali hii. 2.Faustine Ndungulile-Alipitisha Makato mapya ya huduma ya...
 5. chagu wa malunde

  Tungekuwa na Katiba inayotaka Mawaziri wasiteuliwe, Mwigulu Nchemba angetufanyia dharau namna hii?

  Msomi wa hadhi ya Phd ya uchumi bila aibu anaongea mbele ya luninga ya taifa kuwa serikali ikilipa madeni kutakuwa na mzunguko wa pesa hivyo mzigo wa tozo za miamala ya simu utakuwa stahimilivu. Hii ni dharau kubwa. Mkandarasi akilipwa madeni na serikali kweli pesa inaingia kwenye mzunguko...
 6. Red Giant

  Watanzania tulikubali suala la tozo mpya za miamala halafu leo tunaanza kulalamika!

  Wabunge ni wawakilishi wetu. Tumewapeleka wakaisimamie serikali kwa niaba yetu. Kama wawakilishi wetu wamekubali maana yake tunaowakilishwa tumekubali. Kama hawa wawakilishi wameenda kukubali kitu ambacho hatujawatuma, tuwalalamikie wao na kuwawajibisha na si serikali. Zaidi ya hapo tutulie.
 7. Sexless

  Mawaziri wa awamu ya 5&6 wamekosa hadhi kabisa. Hivi ni jicho langu tu ama wote mnaona hivi?

  Mawaziri enzi za hayati Mkapa, enzi za Kikwete walikuwa wakiongea wanasikilizwa na kuheshimiwa. Walikuwa na kishindo cha kimamlaka. Lakini alipoingia mtawala wa awamu ya tano Mawaziri wakapoteza hadhi na heshima zao Ikawa ni kawa ni kawaida kusikia waziri katukanwa "pumbavu" hadharani. Ikawa...
 8. N

  Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

  Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi...
 9. Jumbe Brown

  Mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise na funzo kwa Katiba yetu bora ya mwaka 1977

  Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais. Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka. Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya 1977 ya JMT walikosea kumpa rais wetu madaraka makubwa? Kufuatia mauaji ya rais wa nchi ya Haiti...
 10. Nigrastratatract

  Marais Wastaafu Mwinyi na Jakaya Mrisho Kikwete na Mawaziri Wakuu Malecela Mizengo Pinda wasafiri kwa kwa treni kwenye reli ya SGR

  Marais Wastaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na Mawaziri Wakuu Wastaafu Mhe. John Samwel Malecela na Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda wakisafiri kwa treni katika reli ya kisasa (standard gauge) kutoka Ngerengere Mkoani Morogoro hadi Pugu Mkoani Dar es Salaam leo Julai 06...
 11. Nigrastratatract

  Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

  Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
 12. K

  Mawaziri hawa ni mizigo au Wizara zimewazidi kitaaluma na uzoefu?

  Dr. Faustine Ndugulile naamini amepwaya pale mawasiliano, kasi ya mabadiliko ya teknologia ukilinganisha na uwezo wake kiubunifu kwenye ili eneo amepwaya kabisa. Waziri wa michezo Bashungwa wizara yake imemkalia vibaya. Hana hoja au maelekezo mapya yakimkakati kwenye sekta ya michezo. Ukiona...
 13. BASIASI

  Hivi Mawaziri hawastaafu?

  Bado naendelea kujiuluza hilii swali jamani hivi mawaziri hawastaafu? Na vipi wabunge wawe na kikomo cha uongozi badala ya kuendekeza mtu mmoja anakufa unasikia alikuwa mbunge miaka 30 unawaza hapo kwake ndie alikuwa na elimu kuliko wote ama? Tunaomba hasa wabunge wapewe kikomo miaka 10 tosha...
 14. L

  Iramba ni nyumbani kwa Mawaziri watatu lakini inazidi kudorora!

  Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo. Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea...
 15. K

  Mawaziri acheni kumsifia Mama Samia kupitiliza, chapeni kazi!

  Leo huko Misungwi kulikuwa na tukio la kitaifa mbashara karibu vyombo vyote. Inasikitisha sana mnatumia muda mwingi kumpamba Rais katika hotuba zenu. Kazi tunajua mnafanya vizuri lakini mnaboa sana kumpamba mkubwa hadi mnatoka nje ya tukio. Aweso punguza mbwembwe na kuinua misuli na mifano ya...
 16. Geza Ulole

  Yoweri Museveni names new Vice President in reshuffled cabinet

  Uganda President Yoweri Museveni. PHOTO | AFP Summary The new cabinet also includes Ms Robinah Nabbanja as Prime Minister. Also in the cabinet is former NTV-Uganda Editor Agnes Nandutu, who has been named Minister in charge of Karamoja region. By AGGREY MUTAMBO WEDNESDAY JUNE 09 2021 Ugandan...
 17. S

  Mawaziri mpo wapi, mbona hatuwasikii mara baada ya uapisho?

  Naona wameingia mitini na ile kasi waliyoingia nayo sasa imepotea kabisa, tunaemuona ni Rais Samia na Waziri Mkuu kunani hizi ziara zilitakiwa kufanywa na mawaziri au mmenuna kwa kuwa kuna jicho linaangaza posho zenu? Mishahara mlipwe posho mzikwapue kwa kazi gani kubwa kihivyo? Mkitumbuliwa...
 18. Z

  Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

  Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu. Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano...
 19. N

  Je, Mawaziri nao hulipwa mishahara na posho za ubunge au wao wana mishahara tofauti?

  Hebu tujadili hili Je, ukiwa Waziri unakuwa unalipwa mishahara na marupurupu ya ubunge na kisha unaongezewa na ya Uwaziri au inakuwaje hapo?
 20. Yoda

  Utofauti wa viti kwa Waziri Mkuu, Mawaziri, Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri una tija gani kwa taifa?

  Hapa nchini viongozi wote wakubwa huwa wanawekwa viti vya kukalia vyenye utofauti na watendaji au washiriki wengine wanapokuwa katika matukio mbali mbali ya kikazi yanayohitaji vikao. Ukiingalia kiti cha waziri mkuu au mawaziri wengine wanapokuwa kwenye vikao hivyo na watendaji wao utagundua...
Top Bottom