teuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. KEROZENE

  Si kila teuzi ni za kukubali, nyingine ni za 'kimkakati' ili kukumaliza kisiasa au kwa kuwa tishio kwa mwenye tamaa ya Urais

  Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe...
 2. T

  Teuzi ziende hadi kwenye taasisi za dini

  Hatupigi hatua kama taifa kiutendaji kwa kuteuana kimzunguko wa sura,majina,makundi,uchawa nk Nafasi zingine twende kwa watumishi wa mashirika ya dini nao wateuliwe wakalisimamie taifa. Kuna watawa ni wataaluma wazuri tu katika fani mbalimbali,mbona wanawajibika mashuleni,mahospitalini,mifumo...
 3. Idugunde

  TEUZI: Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali Novemba 13, 2021

 4. Jaji Mfawidhi

  Sabaya Awataja "mamlaka ya Teuzi" na "makamu" Je nao Wawajibishwe?

  * HUKUMU YA SABAYA Tumefikaje Hapa? Ilikuwaje? Kipi hakikufanya kazi yake sawasawa? Taifa lenye mihimili yote, taasisi mbalimbali, vyombo vya habari, vyombo vya ulinzi na jumuia za kimataifa, likaacha mtu mmoja akateka, akaiba, akatesa, akabaka, na kuvunja sheria zote? Kabla ya kuteuliwa kuwa...
 5. nyboma

  Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

  Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi kumi za kuteuliwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Stergomena...
 6. Hakimu Mfawidhi

  UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

  Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
 7. Memento

  Rais Samia anatakiwa kuwa makini afanyapo teuzi

  Bado nashindwa kuelewa ni either hajauzoea urais au ni kwamba hayupo tu makini. Moja ya vitu ambavyo ni maajabu sani ni pale unapoona taarifa ya uteuzi kutoka Ikulu ikiwa na makosa kila Mara. Taarifa yoyote inayotoka Ikulu inapaswa kuhakikiwa sana kabla ya kwenda kwenye public. Au niseme ni...
 8. mugah di matheo

  Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika Taasisi mbalimbali

  Aliyekuwa Mkurungezi wa Azam tv ameteuliwa kuwa Mkurungezi wa Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar === Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 9. Sky Eclat

  G Malisa: Kamati Kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao ndani ya chama viongozi wa UVCCM waliokubali teuzi mpya

  Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala. Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
 10. JF Member

  Sasa ni dhahiri teuzi za Awamu ya Sita ni za wa Social Media

  Kila zama na wakati wake. Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao). Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na Profs walilamba Teuzi. Awamu ya Sita tunaona watu wanaoteuliwa ni watu wa social media. Mdau mmoja...
 11. balimar

  Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

  Salaam! HALMASHAURI ndio Ofisi pekee zinazotekeleza Sera na Utendaji wa siku kwa siku wa serikali hasa zile za Mitaa. Kiukweli Maafisa Elimu Kata ndio wanayo mawanda mapana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali anzia taaluma kwenye kata zao, miradi ya ujenzi wa majengo ya serikali na...
 12. M

  Vijana wa CCM onyesheni hasira zenu kwa mwenyekiti wenu kwa nini ateue waliofata teuzi na maslahi awaacheni nyinyi

  Nyie vijana wa CCM, mimi nawaelewa kabisa hasira yenu. Nyie mmepambana kukitetea chama, wakati hawa akina Lijualikali, Nassari, Mashinji wakipambana kuwatoa madarakani. Waliwaita majina yote yakiwemo "vijana wasiojielewa", "waimba mapambio", na majina kibao ya kejeli. Lakini leo hii wanahama...
 13. B

  Rais Samia, wakumbuke watumishi wa umma katika teuzi za Ma-DED, Ma-DAS na wakuu wa Taasisi za Umma

  MHESHIMIWA RAIS SASA NI MUDA WA KUWAKUMBUKA WATUMISHI WA UMMA KATIKA TEUZI ZA MA-DED, MA-DAS na Wakuu wa Taasisi za Umma 1. Tunatambua nguzo kuu mbili katika utendaji wa serikali. Ya kwanza ni ile ya watendaji katika shughuli za kisiasa ikiwemo Mawaziri, Manaibu Waziri, ma-RC, na ma-DC. Ya...
 14. Chief Kabikula

  Teuzi za Wakuu wa Wilaya: Je, wamefanyiwa vetting?

  Mkeka wa wakuu wa wilaya umetoka walioteuliwa wameonekana ambapo wengi ni watangazaji, wasanii, waigizaji na wengi ni vijana kweli. Swali la msingi sio kuteuliwa bali ni je wamefanyiwa vetting kujua elimu yao, uwezo, tabia, mienendo, uzoefu, busara, hekima na makandondokando yao mengine na...
 15. B

  Dar es salam na teuzi za wakuu wa wilaya

  Ukiangalia teuzi za kipindi hiki utagundua kama si 100% basi ni pungufu kidogo ya wateule wote wanaishi dar es salam au wamewahi kuishi dar es salam. Nawakumbusha tu wahusika kutazama Tanzania kwa mikoa na wilaya zote wasiwe tu wale wa dar au kuonekana kwenye tv
 16. Ritz

  Kwanini Wanachadema wanalamikia teuzi za Wakuu wa Wilaya?

  Wanabodi, Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais. Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali...
 17. Tee Bag

  Wanaolalamikia Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya tuongee hapa kidogo

  Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa..... Na Thadei Ole Mushi 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa...
 18. Mkaruka

  INAKUWAJE: Umekuwa Mbunge, umesoma nje ya nchi, umefanya kazi Obama foundation lakini bado unavizia teuzi za uDC, uRAS ?

  Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi. Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana. Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ??? Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na...
 19. GENTAMYCINE

  Baada ya teuzi, sasa Media za Tanzania zimeshawekwa 'Mfukoni' na Mamlaka

  Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi. Maziko ya Media Tanzania yamefana.
 20. Roving Journalist

  TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

  Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Top Bottom